<Ujenzi wafikia asilimia 85,
<Asisitiza kuzingatia muda na ubora wa ujenzi
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji(NIRC), Bw. Raymond Mndolwa, amefanya ziara ya kikazi katika bwawa la kilimo cha Umwagiliaji la Mkomazi lililopo kijiji cha Manga Mtindiro, Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga...
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bibi. Devotha Minja, ameanza ziara yake mkoani Tabora ya kuomba kura za wananchi kukipa ridhaa chama hicho kuongoza Tanzania huku akikiahidi wakiingia madarakani kukibadili kilimo hapa nchini, kuwa cha umwagiliaji kuachana na...
Nikiwa Rais wa Tanzania kutajengwa Irrigation scheme kubwa za kilimo cha mpunga, lengo ni kuhakikisha Tanzania tunakuwa wazalishaji wakubwa wa zao la mpunga na kwa kuanzia target ni tani million 50+ kwa mwaka na baadae tani million 200+
Asilimia kubwa sana ya ngano inayotumika viwandani inakua imported
Sasa nikiwa Rais wa Tanzania yale mashamba kule hanang ya ngano yatarudishwa na kutaanzishwa Irrigation scheme kubwa za kilimo cha ngano cha umwagiliaji lengo ni kuhakikisha kwa mwaka tunavuna ngano zaidi ya tani million 50
Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, imeanza utekelezaji wa uchimbaji wa visima virefu 67,000 vya maji kwa ajili ya kiliko cha Umwagiliaji nchini.
Lengo ni kuhakikisha kuwa Taifa linaondokana na kilimo cha kutegemea mvua na kuwa na uhakika wa maji kwa ajili ya kilimo na kulima zaidi...
NIRC YAENDELEA NA UTELEKELZAJI WA AHADI YA RAIS SAMIA KUCHIMBA VISIMA 67,000 VYA UMWAGILIAJI,NCHI NZIMA
📍Dodoma
Serikali ya Awamu ya Sita, kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, imeanza utekelezaji wa ahadi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya uchimbaji wa visima virefu 67,000 vya maji kwa...
Wananchi wa Kata ya Chomachankola iliyopo wilayani Igunga mkoani Tabora, wamekataa uwekwaji wa mradi wa skimu ya umwagiliaji katika eneo lililotengwa kwa ajili ya mradi, wakidai kuwa eneo hilo wamekuwa wakifanyia matambiko ya kimila.
Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Dkt...
📍NIRC: Igunga
Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imeingia mkataba na mkandarasi mzawa kampuni ya Samota limited kujenga mradi wa skimu ya umwagiliaji Mwamapuli, katika kijiji cha Mwanzugi wilayani Igunga mkoani Tabora, mradi ambao utagharimu zaidi ya shilingi bilioni 26.9...
Kampeni ya Mama Hana Deni inayoongozwa na Msanii na Mtangazaji Baba levo imefika kwenye mradi mkubwa na wa kisasa wa Umwagiliaji Mkoani Iringa na kushuhudia namna ambavyo maji yanasafilishwa kwa zaidi ya kilometa 20 kuyafuata mashamba ya mpunga ya Wananchi wakulima Mkoani humo.
Zamani wakulima...
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutembelea mradi wa miundombinu ya Umwagiliaji katika shamba la mbegu la Wakala wa Mbegu (ASA) lililopo Ngaramtoni, eneo lililowekewa miundombinu ya Umwagiliaji Hekta 160 kati ya 200...
📌NIRC Dodoma
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi trilioni 1.2 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali katika sekta ya umwagiliaji nchini. Lengo ni kuboresha kilimo nchini, na kuongeza hali ya upatikanaji wa chakula ili kufikia adhima...
WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro wamewataka wakandarasi wa ukarabati wa skimu ya umwagiliaji ya Ndungu na Kihurio kuongeza kasi ili wananchi waweze kunufaika na fedha zilizowekezwa na serikali.
Kauli hiyo imekuja mara baada ya Kamati hiyo kufika katika...
KAZI INAENDELEA! VIJIJI 28, WANANCHI 20,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA UMWAGILIAJI MKOMAZI, KOROGWE TANGA
Mradi wa Mkomazi ni wa kihistoria, kwani ulianzishwa zaidi ya miaka 50 iliyopita lakini utekelezaji wake umekuwa ukisuasua kwa muda mrefu na Sasa unatekelezwa kikamilifu chini ya Serikali ya...
SERIKALI ya Awamu ya Sita ,kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini Mkataba Wa kukarabati skimu zilizopo katika bonde la Mto wa Mbu Wilayani Monduli, kwa gharama ya shilingi bilioni 17.
Mradi huo unajumuisha ukarabati wa mifereji yenye urefu wa jumla ya Mita 37,484.71, sawa na...
📌NIRC, Monduli
SERIKALI ya Awamu ya Sita ,kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini Mkataba Wa kukarabati skimu zilizopo katika bonde la Mto wa Mbu Wilayani Monduli, kwa gharama ya shilingi bilioni 17
Mradi huo unajumuisha ukarabati wa mifereji yenye urefu wa jumla ya Mita...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imependekeza Wizara ya Kilimo kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji ivunje mkataba na Mkandarasi Badr East Africa Enterpries Limited ambaye anatakeleza ujenzi wa mradi wa Skimu ya Umwagiliaji Mgongola Wilayani Mvomero mkoani...
ZAIDI YA BILIONI 10 SKIMU YA UMWAGILIAJI MASIMBA KUNUFAISHA WAKULIMA 24,000 MKOANI SINGIDA
📍 NIRC Singida.
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba ambaye ni mbunge wa Iramba Magharibi ameipongeza Wizara ya Kilimo kwa kuendelea kuboresha sekta ya kilimo nchini kupitia Tume ya Taifa ya...
Na Mwandishi Wetu
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeshiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanaendelea Mkoani Kagera.
Akifungua maonyesho hayo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Mkuu wa Wilaya ya Muleba Dkt Abel Nyamahanga amesema Mkoa wa Kagera unakabiliwa na changamoto ya...
Na MWANDISHI WETU
WIZARA ya Kilimo imekubali yaishe kwa kuwa tayari kulipa shilingi bilioni 16 ili kuliokoa shamba la ushirika, Chauru, la wakulima wadogo wa Umwagiliaji Ruvu, lililopo Mkoa wa Pwani.
Hayo yamebainika katika muendelezo wa ziara za Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe mkoani humo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.