TUZITUNZE TUNU ZA UPENDO, UMOJA NA AMANI: BASHUNGWA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuishi kwa kutunza tunu za upendo, umoja, amani na kufanya matendo ya huruma.
Bashungwa ameeleza hayo wakati alipoungana na waumini wa Kanisa Katoliki...