Habari wanajf!
Jamaa alikuwa anamiliki kiwanja.
2022 Akaenda ofisi za Ardhi kwa lengo la kupima kiwanja chake, baada ya vipimo akaanza mchakato wa kuomba hadi, kabla hajafanya malipo kwa ajili ya hati akapata dharura na kusafiri ambapo alirudi mwaka huu, amekuta kile kiwanja chake tayari kuna...