umbea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Putin awajibu G7 kibabe

    The Russian president was asked about jokes made at his expense earlier this week, when Boris Johnson joked: ‘Shall we take our clothes off? We have to show we’re tougher than Putin.’ Canada’s Justin Trudeau then cited the dictator’s topless photos, saying, ‘We’re going to get the bare-chested...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kukiita kipindi cha UMBEA ICU ni kuikosea heshima taaluma ya Afya ,wahusika mnakosea sana .

    Habari wana Jf , Hivi unawezaje ita kipindi cha umbea jina la Chumba ambacho ni chumba maalumu cha wagonjwa mahututi wanao pigania uhai wao ? Kibaya zaidi unavaa sare za wahudumu na kuanza jadili umbea ,nadhani ni kebehi na kukos heshima kwa watumishi wa afya .
  3. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Aliepeleka umbea kwa avengers sijapenda kabisa😂😂😂

  4. Dumuzii

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza leo nimesutwa umbea

    Poleni na shughuli. Jaman mwenzenu sijawahi kuwa mbea ila leo yamenikuta kumbe ndio mambo yanakuwaga hivi....? Kuna Mteja alileta kazi hapa officin kwangu kwa kuwa nilikua busy na kazi nyingine na yeye alikua na haraka na kazi yake nika mwambia aje nayo kesho . Kesho yake hakuja nayo hadi kama...
  5. warumi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Warumi nafukutwa na umbea leo

    Kwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yaani umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako Warumi nina miaka 43 hata boyfriend sina .... Secondly, I’m loving this new couple ya mjini, Harmonize na Kajala...
Back
Top Bottom