umbali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums USINUNUE KIWANJA KWA KUANGALIA UMBALI WA LEO, ANGALIA MAENDELEO YA KESHO

    Ndugu yangu,kabla hujaamua kwamba kiwanja kiko mbali, jiulize swali moja;Je, mji unaendelea kuelekea upande gani? Kila mji una mipaka yake ya sasa, lakini ukuaji wa miji hauishii kwenye mipaka hiyo. Kadiri watu wanavyoongezeka, biashara zinavyopanuka na makazi yanavyohitajika, maeneo mapya...
  2. JamiiForums Mfanyabiashara avunja rekodi ya kuendesha pikipiki juu ya maji kwa zaidi ya umbali wa kilometa 40

    Mfanyabiashara kutoka Nchini China na Mwanzilishi wa kampuni ya ZXMoto, Zhang Xue, ameweka historia katika kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness baada ya kufanikiwa kuendesha pikipiki umbali wa kilomita 40.74 juu ya maji katika Mkoa wa Hunan Nchini China. Zhang amefanya zoezi hilo kwa kutumia...
  3. A

    JamiiForums KERO LATRA Simiyu haifanyi kazi, abiria wanatozwa nauli ambazo haziendani na umbali wa safari

    Mamlaka ya Usafirishaji Simiyu haifanyi kazi kwa usahihi, kwani abiria wamekuwa wakitozwa nauli ambazo haziendani na umbali wanaosafiri. Mfano, umbali kutoka Bariadi mpaka Dutwa ni km 38, ambapo nauli inayotozwa ni Sh3,000, huku umbali kutoka Mwakibuga wa km 6 ukitozwa Sh2,000. Umbali kutoka...
  4. JamiiForums Kigoma imeiacha singida kwa umbali sana.

    Nimekuwa sehemu zote mbili katika shughuli zangu binafsi kigoma kwa maendeleo iko chini lakini singida naona imejifia kabisa, hii mikoa inazidiwa kwa mbali na Town council nyingi kimaendeleo na utafutaji wa fursa. Hivi watu wanaoishi singida wanapataje maisha? Kwa nilivyoona pale ukienda hata...
  5. A

    JamiiForums KERO Malipo ya likizo kwa Watumishi: Baadhi ya Halmashauri Mkoa wa Kigoma hawalipwi kulingana na Umbali

    Kuna Halmashauri iliyopo mkoa wa Kigoma, suala la malipo ya likizo haipewi kipaumbele na ukiomba malipo yanakatwa bila kupewa sababu ya msingi. Unachoambiwa ni ujaze Vendor Form alafu unaingiziwa kiasi wanachojua wao. Je! Kwanini elimu isitolewe kuhusu malipo ya likizo ili kuepusha kunyimwa...
  6. JamiiForums Tukielekea mwisho wa mwaka umetembea kwa miguu umbali mrefu kiasi gani ?

    Tunapoelekea ukingoni mwa mwaka 2025, kila mmoja wetu ana kumbukumbu inayomfanya acheke au kutikisa kichwa. Kwangu mimi, tukio lisilosahaulika ni safari ya miguu iliyoanza kwa mkasa na kuishia kwa ushindi. Baada ya kupoteza simu yangu na kukwama bila njia mbadala ya usafiri, nilijikuta...
  7. JamiiForums M23 ni mzoefu wa vita na JWTZ ni mzoefu wa kulinda amani.Je watawezana kama M23 anazidi kuvuka umbali

    M23 ilishatumiwa sana kuhusu inashirikiana na nchi fulani na nchi hiyo ilikana. Sawa hata kukana nayo RSF kule sudani walisema hivyo hivyo. Ila leo RSF imekuwa tishio mpaka nje ya mipaka yake ya sudani. Kwa majigambo yetu ambayo tunajivunia tokea kumshinda Uganda utawala wa amini ni sawa na...
  8. JamiiForums Hali ilivyokuwa Trh 29 na 30 Oktoba uliwezaje kuishi (survive). Je ulitembea umbali gani hadi kupata usafiri?

    hali ilivyo trh 29 na 30 October kwako uliwezaje kusavaivu(survive) je ulitembea umbali gani hadi kupata usafiri? Mimi nilipangiwa kusimamia kituo cha kupigia kura pale mnazi 1, lumumba tulifika siku 1 kabla kama wasimamizi tukalala hapo ,tukalipwa posho elfu 90 lkn moyoni nilitaman sana kutoka...
  9. JamiiForums Putin katika harakati ya kuunda silaha inayoweza kusafiri umbali wa kilomita 3.2 kwa sekunde

    Likiwa ncha yake imeelekezwa kwenye jua katika uwanja wa gwaride huko Beijing, makombora ya Jeshi la Jamhuri ya China yalisogea polepole kupita umati wa watu waliokuwa kwenye kundi moja la lori kubwa lililofichwa Yakiwa na Sindano yenye ncha kali mbele yake, yenye urefu wa mita 11 na uzani wa...
  10. JamiiForums Vita vya iran na israel umbali wa nchi hizo unafanywa teknolojia hivi TZ tutaweza.

    Nimetafakari sana jinsi wenzetu wanaweza kupiga kwa kutumia makombora kwenda kwenye kambi za kijeshi,wapi walipo viongozi na hapo vita hivi nchi zote sio karibu zote zipo mbali. Sasa hapa kwetu tuna uchumi mzuri kuliko marekani na ulaya ndio natafakari. Nimeona aina za makombora wanayotumia...
  11. JamiiForums Nashauri Serikali ingeangalia namna ya kuwakopesha walimu baskeli za kwendea kazini wanateseka mna kwa kutembea umbali mrefu

    Wengine mpaka miguu imeota vinumbu sabb ya kutembea umbali mrefu kwenda kazini. Tuwahurumieni walimu jamani
  12. M

    JamiiForums Usidharau hatua zako ndogo bali ziunganishe kwa nidhamu ili upate umbali mrefu

    Kama wasemavyo maisha ni hatua ndivyo ilivyo japo inahitaji nidhamu na subira ya juu sana kuunganisha hizo hatua ili upate umbali mrefu. Ukimuona mtu yupo mbali kwenye jambo fulani kuna uwezekano mkubwa alianza na hatua ndogo ndogo ambapo zikiwekwa pamoja ndio huo umbali alionao sasa...
  13. JamiiForums Atembea umbali wa kilomita 850 kwenda kumpiga mteja aliyetoa maneno ya kejeli mtandaoni

    China bhana kila kitu kinawezekana!! Umeshawahi kuwaza siku utembee umbali mrefu kwenda kumtafutia mteja aliyetukana bidhaa zako na kumpiga. Kuna jamaa mmoja ambaye ni muuzaji wa bidhaa mbalimbali kupitia online Aliweza kutembea umbali wa kilomita 850km ili kumfuata mteja ambaye alitoa maneno...
  14. JamiiForums Kumbe safari ya Arusha Mpaka Kenya (Nairobi) ni masaa matatu mpaka nne, Basi Haichoshi kabisa,naweza enda na kurudi chap kulitumikia taifa langu

    The total driving distance from Arusha, Tanzania to Nairobi, Kenya is 170 miles or 274 kilometers.(TravelMath Calculator). The driving distance from Nairobi (NBO) to Arusha (ARK) is 160 miles / 257 kilometers, and travel time by car is about 3 hours 14 minutes. (Air Miles calculator) Trippy
  15. JamiiForums Falcon asafiri kutoka Afrika Kusini mpaka Finland kwa umbali wa Kilomita 230 kwa siku

    Imeelezwa kuwa ndege huyo aina ya Faicon aliyefuatiliwa mwenendo wake na kifaa cha GPS amesafiri kutoka Afrika Kusini hadi Finland akikamilishsa Kilomita 230 kila siku na kukamilisha safari yake baada ya siku 42 Habari kamili ni hii hapa The female falcon was equipped with a GPS tracker during...
  16. JamiiForums Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

    Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo...
  17. JamiiForums Hivi ushawai kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari yako katikati ya safari hebu tuambie ulitembea umbali gani kwa miguu

    Kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani ni vitu ambavyo vinatokea kama ajari Wadau hivi sikuna watu humu walishawai kusota umbali mrefu baada ya kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani kitendo kilichokulazimu utembee kwa miguu mpaka sehemu unayokwenda. Sasa hebu tupe story ilikuwaje...
  18. JamiiForums TMA: Kimbunga “HIDAYA” kipo umbali wa Kilomita 120+ kutoka Pwani ya Dar es Salaam

    Dar es Salaam, 04 Mei 2024 saa 12:00 Asubuhi: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo karibu na maeneo ya pwani ya nchi yetu. Hadi kufikia saa 9 usiku wa kuamkia leo, Kimbunga “HIDAYA” kilikuwa katika eneo la bahari takriban...
  19. K

    JamiiForums Haya majenereta yanaweza kutoa na kupeleka maji umbali gani?

    Jamani nimeambatanisha picha za maelezo ya generator mbili za kuvuta na kusukuma maji .Naomba mtaalamu aniambie generator hizi Kila Moja inaweza kuvuta maki kutoka vhanzo kwa umbali Gani na kutupa majo Kwa umbali Gani?na kiwango cha maji yakusukumwa kwa dakika ni kiasi gani?
  20. JamiiForums Ni kwanini Wanaotembea umbali mrefu kwa Miguu au wafanya Mazoezi ya Kutembea kwa Miguu hufaidika na yafuatayo?

    1. Hawazeeki upesi 2. Huwa ni Wakakamavu 3. Hawaugui hovyo 4. Huishi muda mrefu 5. Upumuaji wao (siyo Kujamba) huwa mzuri 6. Miili yao huwa na Mvuto 7. Uwezo wa Akili huongezeka Nayasubiri kwa bashasha zote Majibu yenu ili basi nami GENTAMYCINE kuanzia Kesho nianze Ratiba ya kutafuta kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…