Inakuwaje unafanya uovu kwa makusudi kabisa ya mtu, mwananchi au kiongozi unamweka ndani unambambikia kesi za uongo unamweka gelezani kwa muda mrefu huku uchunguzi bado haujakamilika.
Unaremote mahakama kama nyumba yako uliyowapangisha wafanyakazi wako. Unafikiria hata mpaka uamuzi wa kumtoa...
Asilimia kubwa ya wanawake hutoka kwenye umaskini kupitia ndoa, na asilimia kubwa ya wanaume huingia kwenye umaskini kupitia ndoa.
80% of the time, women escape poverty through marriage AND 80% of the time, men enter poverty through marriage.
Nikuache na kibao cha KING KIKI -Baba Paroko...
Ni Watanzania wengi ambao bado tuna michango yetu katika Mfuko wa PPF kabla ya kuunganishwa katika mfuko mmojs ns mifuko mingine kadhaa kuwa PSSSF, licha ya kwamba tumechangia pia NSSF.
Sasa endapo, umekosa Ajira na kupata malipo ya 33.3% ya mshahara wako wa Mwisho wa Six month (Lump sum) na...
"Mimi nimetokea familia maskini", "Mimi nimelala kwenye ngozi ya ng'ombe badala ya godoro".... "Mimi sina biashara yoyote na kiasi nilicho nacho benki hakizidi hata Tsh 20m".... viongozi wenye kauli za aina hii HATUWATAKI. Hakuna ufahari wowote kwenye umaskini. UMASKINI NI LAANA.
Ninaandika huu...
Historia inaonyesha ufaransa na Uingireza iliwahi kunyonga watawala wawili Kwa sababu mbalimbali
Kwa upande wa ufaransa ilimnyonga Louis na Malkia Maria Kwa sababu kuu ni
Umaskini na njaa
Kodi kubwa
Kokosekana Kwa haki na usawa
Kuupuuza matatizo ya wananchi
Kwa upande wa kiongozi wa...
Maswahiba wanaosema urusi ni mtu mzuri embu watajeni ila mimi nataka nimuongelee yeye kwanza.
Hapa kenya kuna kitu kimetokea cha kuwa beba vijana waende kupigana Ukrainian.
Ukandamizaji wa habari na mambo yanayo fanywa kama kuwekewa sumu,kutekwa urusi sio mageni kwa kisingizio kulinda Amani...
Uchunguzi binafsi uliofanywa na Bey umegundua kwamba makelele ni sehemu na asili ya maskini,huko kwa watu mbao wana maisha magumu ndio wanapenda makelele
Nenda kwenye nyumba au makazi ambao wanaishi wenye hela huwa hakuna makelele kabisa,kule huwezi kukuta kuna Subwoofer,kule kuna Television...
Moja ya mambo ambayo binafsi siyapendi ni hali za watanzania zinavyotisha kimwonekano
Mfano sahivi kampeni zinaendelea za vyama mbalimbali ila ukiangalia wanaosikiliza kampeni hali zao zinatisha yaani sio nzuri
Nguo walizovaa sio nadhifu
Vitu walivyovyaa ni vibaya
Watoto ni wachafu kupita...
Wadau,
Ni msiba mzito kwa Tanzania kuwa CCM priority yake ni kupambana kuendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote ikiwemo kupokea pesa chafu kutoka kwa watu ambao wakati mwingine inawaita mafisadi, kuua, kuteka na kulawiti wale wanaopingana nayo kwa hoja , yote hayo inaweza kuyafanya...
bila
kupata
kupata maendeleo
kutengeneza
madarakani
maendeleo
miaka
miaka 60
miaka 60 ya uhuru
passport
serikali
serikali ya ccm
shaka
uhuru
umaskini
uzembe
CCM imeigeuza Tanzania kuwa laboratory ya umaskini wa kimfumo. Badala ya kutengeneza mazingira ya usawa wa kiuchumi, mmejenga structures zinazowanufaisha wachache huku mamilioni wakizama kwenye umasikini wa kurithishana. Kilimo kimebaki kuwa cha jembe la mkono, elimu ni kwa wenye uwezo, afya ni...
Umaskini wa Watanzania haukuletwa na Mungu. Umeletwa na CCM. Leo akina mama wakienda kujifungua wanaambiwa lete beseni, lete wembe, lete mpira, lete sindano. Walitakiwa wakivikute hospitali.”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Wasalam...
Mda huu nimetoka ota ndoto ya ajabu sana.. ila nasemaje
Kama kijana ambaye unategemea kuja kujikwamua katika cheni ya umasikini jua
Umasikini ulionao sasa hvi unasababishwa na mfumo wa sehemu husika. Hvo kupambana kwako na umaskini ni kupambana na mfumo..
Hivo kuna mawili either...
Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.
Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana.
Leo hii tena CCM nchi nzima...
Utasikia Bondeni au Afrika Kusini imeendelea. Mara Kenya iko juu sana ukanda huu na upuuzi mwingine mwingi.
Ukiziangalia nchi za kiafrika kwa makini, zote ni wagonjwa wa kiitwacho coloniality au mabaki na makandokando ya ukoloni.
Ni sawa na wadudu walio kwenye mfuko wa plastiki wakigombania...
Uchawa unaliangamiza Taifa hakuna kusema ukweli , hakuna Uzalendo tena .
Umaskini,Tamaa ,Uvivu na kupenda madaraka umefanya kuisahau Tanzania , palipo na pesa hakuna haki , hakuna kukemea ubaya na kuimba mapambio ya aliyeshika rupia .
Ni lini tutaupinga kwa nguvu Uchawa na machawa wakalijua...
Mtaani maisha ni kama jungle – ukiwa soft, unaliwa bila huruma. Vitu haviendi kwa mpangilio, hakuna guarantee ya kesho, na ukiwa na stress sana unaweza kujikuta ukibadilisha ndoto zako kuwa ndoto za kuamka. Kila kona ni shida, kila mtu anakimbiza daily survival, na wengi wamekuwa slaves wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.