umama

  1. Genius Man

    Unakuta mbaba mtu mzima naye anakaa heti mama mama mama msituletee ujinga na umama kwenye vitu msingi

    Unakuta mbaba mtu mzima naye anakaa heti mama mama mama msituletee ujinga na umama kwenye vitu msingi. Ulekeo wa umama mnaofanya hauna msingi wowote bali ni ujinga na upumbavu mbona mlikuwa amumuiti mama akiwa makamu wa rais. Kwahiyo mnampenda samia kweli au mnataka vyeo na rushwa ? ukiona mtu...
  2. Moto wa volcano

    Sijui nawaonaje wanaume wanafanya challenge tik tok ni umama

    Aibu sana kwa mtu mwanaume tena mwengine anaweza kuwa baba wa familia anafanya challenge za kipuuzi tik tok utadhani demu .
  3. G

    Vijana wa vyuoni, mjifunza na mjichanganye na bodaboda, mama ntilie, kinyozi, dalali, wafugaji, n.k. Just in case ! walezi na wazazi muwasihi.

    MOVED >>
  4. Ubungo Mataa

    CRBD Simbamking acheni usumbufu huu

    Wakuu heshima mbele. Nimetoa elfu 40 kwa sim banking kuja kwenye lain yangu ya simu ili niweze kulipia huduma fulan ambayo nimeshaitumia na ndio nataka kuondoka. Pesa imekatwa kwenye CRDB account ila kwenye simu (airtel money) haisomi. Nawapigia customer care, ananiambie ni kweli ila pesa...
  5. sky soldier

    vijana wa Arusha wanapigana kwa visu. Wanaume tunazichapa kavu na maisha yanaendelea

    Kisu ni moja ya silaha hatari sana ila watu wanachukulia poa. Kuna sehemu kisu kikigusa ni kitendo cha sekunde kadhaa tu unapoteza lita za damu Hivi karibuni kuna kijana kachomwa kisu ikiwa ni muendelezo wa matukio haya ya kinyama, Pichani ni Marehemu Bennyrick Lamar akiwa kapakiwa kwenye...
  6. Mr mutuu

    Vodacom kuna muda mnakua na ujinga sana

    Hivi mnajiona nyie ni wajanja sana au si wateja wenu ndo mnatukuta malofa sana? Hivi kwanini mtu kama ana dakika bado zimebaki kwenye kifurushi chake let's say Cha mwezi halafu akiunga kingine kabla Kile hakijaisha msifanye tu kutop up hilo bando, au basi akiendelea kutumia mkate zile dakika...
  7. N

    Kwa wanaume wenzangu mnaotumia muda mwingi kuongea na akina dada/mama

    Hii nawausia wanaume wanaotumia muda mwingi kusogoa na kuongea na akina mama/dada hasa maofisini nk huo ni umama....mara nyingi huwa na nyie mnageuka kuwa na tabia za kimama kwani lazima mtaongea umbea umbea tu tena mbaya zaidi lazima hao wanawake watawachomekea stori za mabwana/waume zao...
Back
Top Bottom