umakini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kalonzo: Tunachunguza kwa umakini mauzo ya hivi karibuni ya hisa za Nation Media Group

    Kalonzo Musyoka ambaye ni kiongozi wa chama cha upinzani cha Wiper Democratic Movement na aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wakati wa uongozi wa Mwai Kibaki, amesema wanafanya uchunguzi juu ya mauzo ya hisa yaliyofanyika hivi karibuni kwenye taasisi ya Nation Media Group kwa bwana Rostam Aziz...
  2. Mwigulu: Hotuba ya Rais Samia hapa Bungeni ilikuwa nzito, inayoonesha umakini, umahiri na kutoa mwelekeo na dira

  3. Nina mashaka sana na Mange Kimambi. Inabidi atazamwe kwa umakini mkubwa

    Sehemu ya kwanza (01) Binafsi niweke wazi, mimi si kada au mfuasi wa chama chochote kile cha kisiasa , ila huwa sikubaliani na utawala huu usiofaa wa ccm maana ni kama wamejimilikisha nchi na wanafanya chochote kile wanachojisikia . Tamani langu siku moja tuwe na nchi ambayo inajali haki...
  4. M

    Kwa gharama nilizoingia kwenye vifurushi vya internet najilaumu sana kwanini sikutilia umakini kununua router za unlimited Internet

    Sijawahi kuwa na uhuru wa kutumia internet kama sasa baada ya kununua unlimited internet, Sina hofu ya kumaliza MB, sina haja ya kupunguza ubora wa video, siogopi video calls, sizikwepi post zeny video kwenye mitandao ya kijamii, n.k. kuna muda nilikuwa najiunga mpaka kifurushi cha elf 5 kwa...
  5. Wakuu tuwe makini lock milango kabla ya kuanza kuendesha gari

    Habari wana JF. Leo nikiwa kwenye safari zangu mjini Dar es salaam Kuna gari ilikuwa inazunguka round-about, ghafla mlango wa nyuma ulifunguka na akadondoka mtoto umri kama miaka 4 hivi. Na dereva aliyekuwa anaendesha hilo gari hajajua kwamba mtoto kadondoka, Kwa nyuma pia kulikuwa kuna gari...
  6. Ahmed Ally: Usajili utakaofanywa na Simba utakuwa na umakini wa ICU

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema kuwa usajili utakaofanywa na Simba safari hii utakuwa na umakini wa kiwango cha ICU (Intensive Care). "Taarifa tu ni kwamba usajili wetu safari hii unafanyika kwa umakini wa ICU, na wachezaji waliopendekezwa na mwalimu...
  7. U busy na simu unafanya wamama wanaolea wasiweke umakini kumtazama mtoto

    WTF ! Wanawake siku hizi pasua unakuta mdada analea mtoto muda wote busy na simu ku chart online hana muda wakuweka umakini kwa mtoto matoke yake mtoto anapata madhara kwa uzembe wa mama kuendekeza mitandao zaidi
  8. L

    Tazama namna Ridhiwani Kikwete alivyoingia kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri huku akisikilizwa kwa umakini na wenzake

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo namna Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Alivyoingia Kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo na kuongozwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Sana Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani...
  9. Tujadili kwa Umakini: Nani anateka na kwanini wanaotekwa ni wakosoaji wa utawala?

    Tujiulize kwa uzito na dhamira safi: Kwa nini matukio ya utekaji yameendelea kuwa siri nzito inayoumiza jamii, na kwa nini wahanga wakubwa ni wale tu wanaothubutu kusema wazi kuhusu mfumo wa uongozi? Hii sio coincidence—ni pattern ya hatari. Kama taifa, hatuwezi kuendelea kufumba macho huku...
  10. W

    Niliwahi kumjua mtu poa sana ila nilipogundua ni jambazi hadi kupigwa kwake risasi, tangu siku hiyo naishi na watu kwa umakini sana

    Hapo zamani niliwahi kuishi na jirani, Tulikuwa tukiishi kwenye nyumba moja iliyogawanywa sehemu mbili. Alionekana mpole, muelewa, mpenda mazoezi na mtu wa kuaminika. Tulikuwa tukiongea mara kwa mara, na kila kitu kilionekana kiko sawa. Siku moja niliwahi kutembelea sehemu aliyodai kuwa ofisi...
  11. L

    PICHA: Tazama Namna Walinzi Wa Rais Samia Walivyo Makini na Umakini Kumlinda

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa ziara za Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya...
  12. Nahisi nimebambikiziwa mimba

    Wakuu habari zenu, nilikuwa naomba ushauri wenu katika pitapita zangu za kupambana na maisha nikapata mda kidogo wa kukaa nyumbani mkoani. Baada ya kufika kuna kama stationary ipo jilani nikamuomba mwenye stationary nijishikize apo akasema hakuna shida, ni mtu ninaye muheshimu, ..... Baada ya...
  13. Mikeka: pata odds za zilizochambuliwa kwa umakini na pro'

    Follow the Betting Intelligence channel on WhatsApp: Betting Intelligence | WhatsApp Channel
  14. A

    Umakini katika Kuadhibu watoto wetu

    Nilikua natumia muda kufikiria namna gani ni mwadhibu mwanangu kulingana na kosa alilotenda, kiasi kwamba mpaka nahairisha kumwadhibu au nasahau. Nimelelewa na mzazi ambaye anapiga balaa, yaani anatandika kinouma. kiasi kwamba ninamuogopa mpaka leo. Lakini katika kusoma soma kwangu nikapata...
  15. PreGE2025 Ukimsikiliza Lissu kwa Umakini, Utagundua kuna kiongozi mkubwa yuko nyuma ya CHADEMA

    Wakuu mambo vipi? Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea Utagundua kitu Fulani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua Possibly wakaja...
  16. Hii ni aibu kubwa Azam media sidhani kama kuna umakini kwenye upande wa usimamizi!

    Chombo kinachotegemewa kutoa habari mambo yapo hivi...mpira umekwisha au unaendelea dk ya 90....
  17. Ukiliangalia vizuri na umakini goli walilofunga KMC utagundua Diarra ni shati!

    Diarra ni tapeli wa mpira mjanja mjanja anakwenda kuaibika mwisho wake umefika...ndio maana yule chikola alikuwa anachungulia mbali goli walilofunga KMC FC hata mtu mwenye chongo au aliyefungwa kitambaa cha macho hafungwi jamaa ni tapeli sana tuanze kumuhesabia siku jamaa wameweka shati golini...
  18. Mwanaume jifunze kujidhibiti hasa linapokuja suala la hamu ya ngono

    Ngono ni tamu sana, lakini inaweza kuharibu maisha yako na mustakabali wako mzuri. Somo la kwanza – Uume wako si rafiki yako; unaweza kuwa adui mkubwa mpaka utakapojifunza jinsi ya kuudhibiti. Jifunze kujidhibiti hasa linapokuja suala la hamu ya ngono, hutajuta maishani. Mwanaume mwenye...
  19. Je, unatamani kuwa tajiri basi soma kwa umakini huu uzi

    “Siri 12 Ambazo Matajiri Hawataki Uzijue” Tunaishi katika dunia iliyoundwa na matajiri, kwa faida ya matajiri. Kila kitu, kuanzia vyombo vya habari unavyotumia hadi ushauri unaopewa, kimepangwa kwa makusudi kukuweka kwenye mbio zisizoisha za kutafuta maisha, huku wao wakizidi kupaa juu. Ni...
  20. Crown Media zingatieni umakini wa maudhui, sio kukurupuka kuwa wa kwanza

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…