ulinzi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: John Mrema ni moja ya watu wa hovyo ndani ya chadema, ni shamba boy wa mwamba

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa Mjini. sina cha kuongeza wala siweki neno langu lolote lile zaidi ya kukuwekea Alichokiandika Mwenyewe. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa...
  2. JamiiForums Tanzania Iran iko "overrated" lakini ni wa kawaida sana kwenye ulinzi

    kitendo cha kiongozi wa kisiasa wa Hamas kuuwawa tena nchini kwao, kwenye mji mkuu wao, mgeni aliku alikwa na raisi, na wameshindwa kumlinda, inaonesha ni jinsi gani hawako vile watu wanawadhania. Kuna kesi nyingi sana za kuuwawa wanasanyansi wa nyukria wa Iran. Ni wazi kuwa Iran kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Ijue MTAKUWWA Awamu ya 2

    Wasaalam. MTAKUWWA kirefu chake ni Mpango Kazi wa Taifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (wa kike na kiume). Awamu ya kwanza ulikuwa 2017/18-2021/22. Awamu ya 2 ni 2024/25-2028/29 ambapo, tulizindua tarehe 15 Mei, 2029. Kwa kifupi, ziko Kamati za Ulinzi wa Wanawake na Watoto...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani: Mkuu wa Idara ya Ulinzi wa Viongozi (Secret Service) ajiuzulu

    U.S Mkurugenzi wa Huduma ya Ulinzi wa Viongozi (Secret Service) Kimberly Cheatle amejiuzulu baada ya shinikizo kutoka kwa wabunge kumtaka ajiuzulu kufuatia kushindwa kudhibiti shambulio la jaribio la mauaji ya Rais wa zamani Donald Trump mnamo Julai 13, vyanzo vitatu viliiambia NBC News...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kudokeza ulinzi wa Rais uimarishwe naona mtu kabadilishiwa majukumu, ni mkuu wa Misafara ya Rais

    Kuna jambo moja Hatari lilikuwa limepangwa dhid ya Rais Samia nikatoa angalizo, Ila baadae mliona ana msafara wa magari 120 na ulinzi mkali; ni pale ambapo walipanga kumfanyia mafia Naona ameamua amtoe muhusika wa ulinzi hadi kuwa RAS Kilimanjaro kutoka kuwa mkuu wa kikosi cha ulinzi wa Rais...
  6. JamiiForums Tanzania Nimekataa kulipa Pesa ya Taka na ulinzi kama hawatanipa risiti za EFD. Nimepewa barua ya wito serikali za mitaa

    Kwema Wakuu Nimeletewa barua ya serikali za mitaa ikiwa na wito WA kutaka niende ofisi za serikali za mitaa. Kisa na mkasa NI kugoma kulipa Pesa ya taka na ulinzi àmbayo haizidi elfu Tano. Yàani taka 3,000/= ulinzi 2000/= Walijaribu kunipa risiti za kawaida nikawakatalia nikawaambia waje na...
  7. JamiiForums Tanzania Kwani kuna Tishio lolote Zanzibar? Kama hakuna kulikoni 'Dogo' ana Ulinzi mkali ulio makini mno?

    au nae ameshanusa kuwa mbio za mwakani 2025 zinaweza kuwa na kile kilichotokea Iran Watu wakamaliza Shughuli?
  8. JamiiForums Tanzania Vyombo vya ulinzi na usalama barabarani , lichunguzeni haraka sana suala hili na kama ni kweli basi mfanye ufumbuzi ili kunusuru Maisha ya Watanzania

    Naandika kama mzalendo na mwenye upendo wa dhati na taifa langu Tanzania. kuna mazunumzo niliyasikia yanayohusu Teknolojia kutoka kwa watu nisiowafahamu maana nilikutana nao stendi ya basi wote tukiwa kama wasafiri tu wao walikua wawili walikua wakipiga story za hapa na pale kutokana na...
  9. JamiiForums Tanzania Urusi Yapeleka Mfumo wa Ulinzi wa Anga Chapa S-500 Huko Crimea Baada Ya Mifumo Ya S-300&400 Kushindwa Kazi

    Urusi Baada Ya Mifumo yake Ya ulinzi wa Anga Chapa S-300&400 Kushindwa kufua dafu mbele ya makombora ya ballistic ya Kimarekani Chapa ATACMS,yanatumika na vikosi vya Ukraine, imeamua kupeleka Mfumo wao wa Kisasa na ghali zaidi huko Crimea. Mytake :Tusubiri tuone matokeo ya hayo machumachuma...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Dira ya Usawa wa Jinsia na Ulinzi wa Mtoto

    Tanzania iko katika wakati muhimu katika historia yake. Dira hii inaangazia hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kutokomeza ubaguzi wa kijinsia, kukomesha ndoa za utotoni, utumikishwaji wa watoto, tohara kwa wanawake na unyanyasaji huku tukikuza elimu na mazingira tegemezi kwa watoto wote. Suluhu...
  11. JamiiForums Tanzania Morogoro: Watuhumiwa Watano wa makosa ya mauaji Wilayani Kilosa wakamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linaendelea kuimarisha operesheni zake dhidi ya uhalifu na wahalifu. Operesheni hizo zimepata mafanikio makubwa ikiwemo kuwakamata watuhumiwa watano wa matukio ya mauaji ambayo yametokea katika wilaya ya Kilombero na Kilosa kati ya Mei 26, 2024 na Juni 2, 2024...
  12. JamiiForums Tanzania Bajeti Wizara ya Ulinzi trilioni 3.3, Wizara ya Ujenzi trilioni 1.7, ni maboresho ya Jeshi letu au kuna kitu serikali imekiona?

    Nimeona bajeti ya hizi Wizara mbili, Wizara ya Ulinzi ina bajeti kubwa kuliko hata Wizara ya Ujenzi. Nadhani ni jambo jema kwa kuwa majemedari wanatakiwa kushinda bila kuinua silaha, na gharama za kurudisha amani ni kubwa kuliko gharama za kuitunza. Pia nchi yetu imezungukwa na nchi zenye mambo...
  13. JamiiForums Tanzania Upigaji, utapeli, uliojifichika kwenye kofia ya Kampuni Binafsi za Ulinzi

    Ni uchunguzi wa miezi zaidi ya mitatu kwa nyakati tofauti kwenye maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam na mikoa jirani, ambapo safari yangu inakutana na Walinzi wa kampuni binafsi wakitoa kauli zenye kuashiria uwepo wa mazingira ya upigaji, utapeli na usanii. Nini kinabainika? Kwa siku za hivi...
  14. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Umoja wa Ulaya yasema Chat GPT bado haifikii viwango vya usahihi wa Taarifa

    Juhudi za openAI za kupunguza matokeo yasiyo ya kweli kutoka kwenye chatbot yake ya ChatGPT yamegonga mwamba kwa sheria za data za Umoja wa Ulaya Jopo la wachunguzi lililoundwa kwaajili kufuatilia usahihi wa taarifa za ChatGPT imesema "Ingawa hatua zilizochukuliwa ili kuzingatia kanuni ya uwazi...
  15. C

    JamiiForums Tanzania RC Makonda yupo na ataendelea kuwepo sana maana hakuna wa kumtumbua na baada ya uchaguzi mkuu atakuwa Waziri Mkuu au Waziri wa Ulinzi

    Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi. Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala...
  16. JamiiForums Tanzania SoC04 Sekta ya ulinzi na usalama Kwa upande wa Polisi wanapuuzia kigezo cha elimu wakati wa udahili

    Tanzania Tuitakayo inahitaji ulinzi imara ili kuimarisha usalama WA wananchi na mali zao. Kwa sasa kumekuwa na uhitaji wa mkubwa wa Polisi Jamii kwenye kata mbali nchini, Hali hii inatupa taswira sio tu ongezeko la watu lakini hata ongezeko la uharifu. Kwa kipindi Cha miongo kadhaa hapo nyuma...
  17. JamiiForums Tanzania Ulinzi wa TV pamoja na Friji

    Mdau umewahi kusikia kuhusu Tv guard ama Fridge Guard? "Bidhaa za Ulinzi wa TV na Jokofu: Kuweka Vifaa Vyako Salama na Imara! Je! Umewahi kuwaza jinsi ghafla umeme unavyozimika au kuwa na spikes za umeme zisizotarajiwa zinaweza kuathiri vifaa vyako vya umeme kama TV na jokofu? Ndiyo maana...
  18. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Bajeti Wizara ya Ulinzi na JKT (NUKUU)

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Hotuba ya Bajeti. Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb). Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
  19. A

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Ali Khamenei aongezewe ulinzi

    Kwanza nitoe pole Kwa taifa la Iran Kwa kumpoteza Kiongozi wao, Pili, inafaa Ulinzi uimarishwe Kwa Ayatollah Ali ili kumlinda na mashambulizi ya maadui ambao dunia inawajua Ila ndo vile
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mwendesha Mashkata wa ICC aomba Hati ya Kukamatwa kwa Netanyahu na Waziri wake wa ulinzi kwa uhalifu wa kivita huko Palestine

    Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita. Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…