ukweli ni upi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stakehigh

    Ukweli ni upi kuhusu chanzo cha vita ya Kagera?

    Kutoka makala yenye episode ya arusha one radio, chanzo cha vita ni mwanajeshi wa uganda kufungwa tanzania, however katika makala za encyclopedia kuna taarifa kwamba, Nyerere alifadhili mapinduzi ya obote kurejea madarakni ambayo yalishindwa hivo amin akaamua kulipua kagera ikiwemo kiwanda cha...
  2. Marry Diana

    Ukweli ni upi na usahihi ni upi?

    Wakubwa shikamooni, Leo ni siku nzuri yenye furaha ikiwa ni katikati ya mwezi wa kumi na moja. Kwangu ni siku nzuri na ya muhimu,lakini pia ni siku nimeletewa zawadi fulani na boss,dada na mkubwa wangu ikiwa ni alama ya upendo na mahusiano mema kazini na nyumbani . Lakini pamoja na hayo...
  3. Orketeemi

    Ukweli ni upi kuhusu Serikali ya awamu ya sita?

    Nawaita hapa wote. Wadau wa CCM , wadau wa vyama vya upinzani, wasio na vyama na watu wengine. Maneno mtaani ni mengi kuhusu Serikali ya awamu ya sita. Yanasemwa mengi kuihusu ikiwemo ufisadi unaofanywa na Rais , familia yake pamoja na watu wa karibu yake. Lakini haya husemwa kila awamu...
  4. KyemanaMugaza

    Ukweli ni upi?

    INASEMEKANA WANAWAKE HAWAELEWEKI NA WANACHO KITAKA KWA WANAUME Inasemekana kuwa wanawake hawajui kile wanachokitaka kutoka kwa wanaume. Ukiwa na pesa, atakuchiti kwa sababu ya muda; ukiwa na muda, atakuchiti kwa sababu huna pesa; ukiwa na nguvu, atakuchiti kwa sababu haujakuwa romantic. Je...
  5. A

    Ukweli ni upi kama dunia inatawaliwa na uwongo

    Habari wana jamvi kwa miaka ya hivi karibuni takribani 3 nmekuwa nkifuatilia projects mbali mbali kuhusu hawa viumbe wa kigeni duniani yaani ALIENS Nimekuwa nikofuatilia documentaries za historia za kale sana za civilizations mbali mbali kama mesopotania, maya, Egypt n.k mpaka india huko...
  6. HOST NOT FOUND

    Tashwishwi ya Biblia kweli ni kitabu cha Mungu?

    BAADHI YA MISTARI YA BIBLIA 2 samweli 1:18 (Kama ilivyoandikwa katika kitabu Cha YASHARI), akasema , wana wa Yuda wafundishwe haya. Yoshua 10:13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia, Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao. Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu...
Back
Top Bottom