ukuaji wa uchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    PostGE2025 Nawaza tu endapo CNN wangesema Tanzania inaongoza kwa ukuaji wa uchumi barani Afrika, hizi kauli za vyombo vya ndani tu, mara ni AI tusinge zisikia

    Ubinafsi na roho mbaya ndivyo zilivyo, hao CNN wangepongeza ukuaji wa uchumi au wangepongeza utawala wa Samia yani ingekuwa ndio hashtag ya Msigwa na Samia, wala tusingezisikia habari za AI wala nini, kweli ujinga na upumbavu ni homa kali sana Tanzania.
  2. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde: Mradi mkubwa wa dhahabu Sengerema kuchochea ukuaji wa uchumi nchini

    WAZIRI MAVUNDE: MRADI MKUBWA WA DHAHABU SENGEREMA KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI NCHINI ☑️ Serikali yasaini mkataba wa nyongeza ya hisa kutoka asilimia 16 hadi 20 na Kampuni ya Nyanzaga ☑️ Mwekezaji arejesha Leseni Serikalini, Waziri Mavunde aagiza kupewa wachimbaji wadogo ☑️ Mradi kugharimu...
  3. J

    David Kafulila aeleza misingi minne ya kujenga uchumi wa kisasa

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchjni PPPC Bwana David Kafulila amesema ukuaji huu wa wa kasi wa Uchumi wa Tanzania 1unatokana na ukuaji wa Diplomasia Kimataifa. Mkurugenzi Kafulila ametaja mambo manne ambayo ni muhimu kwenye kujenga Uchumi wa kisasa. Kwanza, Mkurugenzi huyo...
  4. Five55

    VIDEO: Ona Sam Sasali alivyopàmbana na Kafulila TVs zikiwa Live " Hizo namba za ukuaji wa uchumi zinafaida gani kwa mwananchi wa kawaida?"

    Mtangazaji machachari wa kituo cha runinga cha Clouds Media Sam Sasali akimuhoji Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika Mdahalo wa The Cafe Talk alikuwa na haya ya kusema, Kwanza mtangazaji Sam Sasali alitaka kujua uhalisia wa tarakimu za ukuaji...
  5. J

    Kwa Mujibu wa Fitch Rating, Tanzania yaizidi Marekani kwa kasi ya Ukuaji wa Uchumi

    KAMPUNI ya kimataifa ya Fitch Rating inayojihusisha kufanya tathmini ya nchi kukopesheka katika masoko ya mitaji ya kimataifa, imeithibitisha Tanzania kuwa na uchumi thabiti wenye uwezo wa kukopesheka katika masoko ya mitaji kimataifa. Kupitia taarifa ya kampuni hiyo iliyochapisha hivi...
  6. nyachina

    Ongezeko la deni la taifa na ukuaji wa uchumi wa Tanzania

    DENI LA TAIFA Naomba kutoa hoja hii tafakarishi kwa mustakabali wa nchi yetu. Naomba tuwapime viongozi wetu katika ukuaji wa uchumi wa nchi ukilinganisha na ongezeko la deni. Tulinganishe ukuaji wa deni kati ya awamu ya Nne ya JK (miaka 10) na awamu hizi mbili za JPM na SSH. Wakati JK anaingia...
  7. Waufukweni

    Prof. Mkumbo aweka wazi Sekta 5 kinara wa Uchumi 2025/26. Sanaa na Burudani yashangaza kwa Ukuaji mkubwa

    Akiwasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2025/26, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, ameweka mambo hadharani kwa msisitizo mkubwa akitaja sekta tano zilizoshika hatamu kwa kasi ya ukuaji wa...
  8. MS Immany

    Tunatumia vigezo gani kupima ukuaji wa Uchumi?

    JamiiForums, Tunasema Tanzania uchumi umekua na unaongezeka Kwa Kasi, Tunatumia vigezo gani kuproval icho kitu ingawajee huku watu wake walia Maisha magumu.? Kila kukicha Pia soma Vigezo vinavyotumiwa kupima uchumi wa nchi na kuona kama uchumi umekua au lah!
  9. L

    China yaweka lengo la asilimia 5 la ukuaji wa uchumi, wakati Marekani inajaribu kuvuruga utaratibu wa uchumi dunia

    Kwenye ufunguzi wa mkutano wa bunge la umma uliofanyika hapa Beijing, Waziri Mkuu wa China Bw. Li Qiang amewasilisha ripoti ya serikali inayokadiria ongezeko la uchumi wa China kwa mwaka huu kuwa asilimia 5. Makadirio hayo yamefikiwa kwa kuzingatia utulivu wa ndani, na maendeleo ya hali ya...
  10. Waufukweni

    Rais Samia atishwa na kasi ya ongezeko la Idadi ya Watu, lisilioendana na kasi ya ukuaji wa Uchumi wetu

    Rais Samia, ameonya juu ya ongezeko la idadi ya watu lisiloendana na kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi. Akizungumza leo, Februari 1, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014, toleo la 2023, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Mrisho Kikwete, jijini Dodoma, Rais...
  11. Mkalukungone Mwamba

    Dkt. Biteko: Ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote unategemea upatikanaji wa nishati ya uhakika na yenye gharama nafuu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote unategemea upatikanaji wa nishati ya uhakika na yenye gharama nafuu. Soma Pia: Dkt. Biteko aeleza Tanzania inavyojiandaa kuuza umeme nchi jirani na uwepo wa soko la uhakika "Kwa nchi...
  12. Miki123

    Uwezo wa Marais wa Tanzania kwa kuangalia ukuaji wa uchumi kwenye miaka mitano ya mwanzo (GDP per capita)

    Hii ni rank ya maraisi kutokana na ukuaji wa pato la mtu mmoja mmoja kipindi ambapo wameingia madarakani katika miaka yao mitano ya mwanzao, rank inaanza kwa mwenye pafomansi kubwa hadi mwenye ndogo (orodha hii imeondoa awamu ya kwanza na ya pili) 1. Rais Benjamin William Mkapa Kati ya mwaka...
  13. L

    Rais Samia awa gumzo Duniani. Ripoti ya uchumi Duniani yaipa Tanzania ya Rais Samia Alama B+ ukuaji wa Uchumi

    Ndugu zangu Watanzania, DUNIA inaendelea kuchangazwa na Maajabu yanayoendelea kufanywa Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Katika kukuza na kuupaisha Uchumi wa Tanzania utafikiri ndege za kivita. Rais Samia anaendelea kuteka...
  14. ChoiceVariable

    Tanzania miongoni mwa nchi 10 zitakazosukuma uchumi wa Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kukua zaidi mwaka 2024

    Tanzania imeorodheshwa miongoni mwa Nchi 10 ambazo Uchumi wake utakua zaidi na kusaidia Bara la Afrika yaani Sub-Saharan Afrika. Taarifa iliyotpkewa na WB imesema Uchumi wa Afrika utapungua kidogo Kwa sababu ya vita vya Sudan kinyume na makadirio ya awali My Take: Tanzania ya Mama Samia...
  15. ward41

    Pengo la ukuaji wa uchumi kati ya Marekani na Urusi ni kubwa sana

    USA🇺🇸 anazidi kupaa tu kila mwaka. Russia hayupo tena top 10. Putin anapotea Maxima Kwa hiyo gap, China apambane Sana, alafu ana population kubwa, 1.4 billion, mwenzie familia ndogo. Labda miaka 200 ijayo, anaweza kuwa status ya USA🇺🇸
  16. Gemini AI

    SoC04 Udhibiti wa Kupanda kwa Gharama za Intaneti Unavyoweza Kuongeza Kasi ya Ukuaji wa Uchumi wa Kidigitali

    Utangulizi Kupunguzwa kwa gharama za intaneti ni suala muhimu linalogusa nyanja nyingi za maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Tanzania, kama nchi nyingi za Afrika, ina nafasi kubwa ya kukuza uchumi wa kidigitali kupitia upatikanaji wa intaneti nafuu na yenye kasi. Katika makala hii, tutaangalia...
  17. BARD AI

    Tanzania yawa miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri kiuchumi Afrika 2024. Yazipiku Kenya na Uganda

    Nchi 3 za Afrika Mashariki zimetajwa katika orodha hiyo ambapo zitaongozwa na Rwanda inayotarajiwa kupata Ukuaji wa 7.2% ikifuatiwa na Tanzania 6.1% na Uganda itakayokua na Ukuaji wa Uchumia wa 6%. Afrika itachangia uchumi wa nchi kumi na moja kati ya 20 zinazokuwa kwa kasi zaidi duniani...
  18. ChoiceVariable

    Kati ya nchi 10 zitakazoongoza kwa kasi ya ukuaji wa uchumi duniani mwaka 2024, nchi 6 zinatoka Afrika ikiwemo Tanzania

    Shirika la Fedha Duniani IMF linasema Mwaka 2024 utashududia uchumi wa Dunia ukipungua Kasi ya Ukuaji wake Kwa miaka 3 mfululizo. Licha ya kupungua uchumi wa Dunia ila upande wa pili Kuna habari njema ya Nchi 10 Zinazotajwa kuongoza Kwa Kasi kubwa ya Ukuaji wa Uchumi Duniani,Nchi 6 Zinatoka...
  19. L

    Simu janja kutoka nchini China zachochea ukuaji wa uchumi wa kidijitali Afrika

    China ni nchi inayoendelea ambayo imepata mafanikio makubwa sana katika maendeleo ya teknolojia, hususan katika teknolojia ya mawasiliano. Simu janja zinazotengenezwa nchini China zimekuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo ya uchumi wa kidijitali katika nchi nyingi zinazoendelea hususan za...
Back
Top Bottom