ukuaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. VN Warehouse Limited

    Ukuaji wa Biashara huonekana pale watu wasiokujua wanapoanza kununua

    Habari wana JF, Kuna kipimo ambacho wafanyabiashara wengi hawakiangalii wanapopima ukuaji wa biashara zao. Wengi huangalia: •Mauzo yameongezeka? •Stock inaisha? •Faida ipo? Lakini kuna swali moja la msingi sana: Ni wateja wangapi wanaokuja kwako ambao hawakuwahi kukujua kabla ya kuanzisha...
  2. Amicable Group

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, usipite bila kusoma.

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha katika Sheria na mifumo ya kodi. Kumbuka kuwa kuanzia tarehe...
  3. Amicable Group

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, usipite bila kusoma.

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha katika Sheria na mifumo ya kodi. Kumbuka kuwa kuanzia tarehe...
  4. Bwege2030

    UNCTAD Yatabiri Ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) la Tanzania Kufikia 5.8% Mwaka 2026

    UNCTAD Yatabiri Ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) la Tanzania Kufikia 5.8% Mwaka 2026 Huku Mfumuko wa Bei Ukishuka Hadi 2.8% Licha ya Kudorora kwa Uchumi wa Dunia. Umoja wa Mataifa ya Hali ya Uchumi Duniani na Matarajio ya Mwaka 2026 (UNCTAD’s World Economic Situation and Prospects 2026) inatabiri...
  5. N

    Mitandao ya Kijamii na Majukwaa ya Mtandaoni ni chachu ya ukuaji wa elimu ya Demokrasia Nchini

    Licha ya Mitandao ya Kijamii kurahisisha mawasiliano na kupatikana kwa taarifa katika jamii, imesaidia pia kukuza demokrasia kwa kuwawezesha wananchi kutoa maoni, kuhoji viongozi, na kushiriki mijadala ya kidemokrasia. Kupitia majukwaa ya mitandao hayo kama WhatsApp, X (zamani Twitter)...
  6. B

    Tanzania kuendelea kufaidi programu za biashara za pande mbili, Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA)

    12 January 2026 Baraza la Wawakilishi laongeza muda wa mkataba wa AGOA Januari 12, 2026 WASHINGTON, DC – Baraza la Wawakilishi limepiga kura ya kuendelea na programu za biashara za pande mbili, Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA) na HOPE/HELP kwa Haiti, ambazo zinalinda na kuimarisha...
  7. stakehigh

    Baada ya miaka 35, mwili hufika ukomo wa ukuaji

    Unapofika miaka 3, viungo vyote vya mwili hufika ukomo wa ukuaji hivo kila kitu kinaanza kurudi chini, mfano unachelewa kupona vidonda, dawa nyingi zinakukataa na maradhi huja mara kwa mara, kitakchokusaidia ni kama ulikua mtu wa mazoezi nyuma! kama ulikua na lifestyle nzuri ya mazoezi basi...
  8. L

    Makumbusho ya kijiolojia yaliyojengwa na China yachochea ukuaji wa sekta ya utalii nchini Tanzania

    China ni nchi kubwa inayoendelea ambayo imekuwa ikisaidia nchi nyingine zinazoendelea, zikiwemo za Afrika, kufikia maendeleo kulingana na mazingira halisi ya nchi husika. Juhudi hizo za China zinaonekana katika maeneo mbalimbali ikiwemo sekta ya kilimo, afya, uchumi na biashara, na ujenzi wa...
  9. tonicimmobility

    Nafanyaje kumsaidia mdogo wangu kukabiliana na mabadiliko ya ukuaji wake kimwili?

    Wakuu! Nisaidieni mimi ni Dada mtu Nina mdogo wangu alienifuata jinsia (kiume) umri (16) anakabiliwa na madadiliko ya ukuaji kimwili, miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kubadilika kwa sauti yake. Siku za hivi karibuni sauti yake imekua kubwa sana na nzito, hali inawafanya marafiki na...
  10. Godfrey- denis

    Umenunua hisa za benki yoyote kwenye soko la hisa la Dar-es-Salaam?

    Sekta ya Bank inazidi kukua. Takwimu za nusu ya kwanza ya mwaka 2025 zinaonesha picha nzuri sana kwa sekta ya benki nchini. Benki za biashara zimepata jumla ya faida ya Sh1.2 trilioni, ongezeko la 9% ukilinganisha na Sh1.09 trilioni kipindi kama hicho mwaka 2024. Ukuaji huu umechochewa na...
  11. Blasio Kachuchu

    Miaka 28 ya Benki ya Exim Tanzania: Safari ya Ukuaji, Ubunifu na Kusonga Mbele Pamoja na Wewe

    Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Exim Bank Tanzania, Jaffari Matundu (kulia), akikata keki wakati wa maadhimisho ya miaka 28 ya benki hiyo yaliyofanyika makao makuu yake jijini Dar es Salaam, Agosti 15, 2025. Kushoto ni Eugen Massawe, Mkuu wa Uendeshaji wa Matawi ya benki hiyo. Afisa Mtendaji Mkuu...
  12. B-2 STEALTH BOMBER

    Kila hotuba zao kwenye uzinduzi wa miraji yao utasikia itachochea ukuaji wa biashara/imekuza biashara. Njoo sasa kwa CAG

    Kila hotuba za wanaotuongoza utawasikia wanajitapa mradi huu chini ya mama.samia umekuza biashara kwa asilimia 120% au utakuza uchumi kwa 180%. Ili mradi tu uongo uongo na kuwahadaa watanganyika. Inasikitisha zaidi pale wanapo jifanya kama.hawaoni uhalisia. Ipo shida kwenye usimamizi wa hiyo...
  13. stakehigh

    kuanzia miaka 30 kwenda mbele mwili hufika kikomo cha ukuaji, sasa apa mazoezi ndo yatakuokoa

  14. Five55

    VIDEO: Ona Sam Sasali alivyopàmbana na Kafulila TVs zikiwa Live " Hizo namba za ukuaji wa uchumi zinafaida gani kwa mwananchi wa kawaida?"

    Mtangazaji machachari wa kituo cha runinga cha Clouds Media Sam Sasali akimuhoji Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika Mdahalo wa The Cafe Talk alikuwa na haya ya kusema, Kwanza mtangazaji Sam Sasali alitaka kujua uhalisia wa tarakimu za ukuaji...
  15. J

    Kwa Mujibu wa Fitch Rating, Tanzania yaizidi Marekani kwa kasi ya Ukuaji wa Uchumi

    KAMPUNI ya kimataifa ya Fitch Rating inayojihusisha kufanya tathmini ya nchi kukopesheka katika masoko ya mitaji ya kimataifa, imeithibitisha Tanzania kuwa na uchumi thabiti wenye uwezo wa kukopesheka katika masoko ya mitaji kimataifa. Kupitia taarifa ya kampuni hiyo iliyochapisha hivi...
  16. nyachina

    Ongezeko la deni la taifa na ukuaji wa uchumi wa Tanzania

    DENI LA TAIFA Naomba kutoa hoja hii tafakarishi kwa mustakabali wa nchi yetu. Naomba tuwapime viongozi wetu katika ukuaji wa uchumi wa nchi ukilinganisha na ongezeko la deni. Tulinganishe ukuaji wa deni kati ya awamu ya Nne ya JK (miaka 10) na awamu hizi mbili za JPM na SSH. Wakati JK anaingia...
  17. Just Pray

    Professa Tibaijuka ashtushwa na kasi ya ukuaji wa deni la taifa

    " Je deni la Taifa ni himilivu kweli? Kuna vigezo viwili vya kuangalia. 1. Kwanza ni mtazamo wa mapato ya serikali yanayotumika kulipia Deni. Hapa tumelemewa kwani hadi Juni 2024, Tanzania ilitumia asilimia 44.3 ya mapato yake ya ndani kwa ajili ya kulipia deni la umma ikivuka kabisa kiwango cha...
  18. W

    Miongoni mwa dhima kuu za bajeti 2025/2026 ni Kuongeza kasi ya ukuaji wa Pato Halisi la Taifa kufikia asilimia 6.0

    Shabaha za Uchumi Jumla Mheshimiwa Spika, kwa kuzingatia mwenendo wa viashiria mbalimbali vya uchumi jumla na utekelezaji wa bajeti ya Serikali, shabaha na malengo ya uchumi jumla kwa mwaka 2025/26 ni kama ifuatavyo: (i) Kuongeza kasi ya ukuaji wa Pato Halisi la Taifa kufikia asilimia 6.0...
  19. Waufukweni

    Prof. Mkumbo aweka wazi Sekta 5 kinara wa Uchumi 2025/26. Sanaa na Burudani yashangaza kwa Ukuaji mkubwa

    Akiwasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2025/26, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, ameweka mambo hadharani kwa msisitizo mkubwa akitaja sekta tano zilizoshika hatamu kwa kasi ya ukuaji wa...
  20. Fascinating

    Ukuaji wa Pesa Taslimu hasa wingi wa Noti kubwa (10,000) kuna Changamoto za Kiuchumi?

    Kulingana na ripoti ya BoT ya robo ya mwisho ya 2024, mzunguko wa fedha Tanzania unaonyesha ukuaji wa kushangaza, lakini pia unaonesha mapungufu ya kiuchumi yanayohitaji uchunguzi wa kina. Pesa taslimu iliyo nje ya mifumo ya benki imepanda kutoka trilioni 4.5 mwaka 2020 hadi trilioni 7.3 mwaka...
Back
Top Bottom