ukristo

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kama Uislam/Quran na Ukristo/Biblia vingekuwa vya thamani wazungu na waarabu wasingevileta kwa Waafrika na wangeenda wao mbinguni kwanza

    Habarini, Ni kiasi cha kufikiri kidogo tu na wala haihitaji nguvu nyingi au muda mwingi juu ya ukweli. Kama waarabu wanatuuzia mafuta kwa bei kubwa na waliwauza WAAFRIKA kama bidhaa hivi kweli mtu mwenye akili zako unaweza kusimama na kupiga kelele kuwa watakupeleka mbinguni? Kama wazungu...
  2. JamiiForums Tanzania Ndugu Zangu Wenye Imani za Kikristo na Kiislamu, Mlijengaje Imani Zenu? Mimi hata Upagani Umenishinda; Nifanyeje Kumuona Mungu Mnayemuona?

    Dini zote zinaegemea juu ya udhaifu wa binadamu wa kufikiria na kukubali hali ya kutokuwepo baada ya kifo. Lakini ni nini hasa kinachotufanya tusikubali wazo la kutoweka bila alama yoyote? Je, ni woga wa kutokuwa na maana, au ni hitaji la kufarijika kwamba kuna mwendelezo wa safari hii baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Ukristo na Uislam

    Mtasalimiwa na Boss la DP World Nilijua ndani ya ukristo tu ndo kuna madhebu yanayopingana huku yote yakimuamini YESU.Ebu ona hapa. 1.Wakati kuna wakrito wamefunga Kwaresma kuna wakristo hawana habari na huo mfungo na hawautambui.Ila wote ni waumini wa Kristo. 2.Wakati kuna waislam wamemaliza...
  4. JamiiForums Tanzania Muuni atema madini "Uislamu unatukuza waarabu, Ukristo unatukuza wazungu"

    Jamaa ukimuona unaweza kudhani ni muuni tu asiye na madini au asiyejua chochote, lakini ukimsikiliza ndio unajua anafahamu vitu vingi ambavyo hata watu wenye kuvaa vizuri hawavijui wala kuwa na Elimu navyo https://youtu.be/2YU9_VZnA64
  5. JamiiForums Tanzania Jifunze namna rahisi ya kuwatambua wahubiri wa uongo, mahubiri na imani za kitapeli katika ukristo

    Kumekuwa na wimbi kubwa la mahubiri, imani potofu chini ya mwamvuli wa ukristo kiasi cha imani hali ya kikristo kuonekana ni uongo, utapeli, uzushi nk. Athari zake zimekuwa mbaya kwa waumini wengi wa kikristo. Mwanzoni lilikuwa linaonekana kama ni tatizo la wakristo wachanga tu lakini kwa sasa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hiki ni kielezo tosha ya kwamba mpaka kufika 2050 na kuendelea ukristo utajifia barani Ulaya na America

    Hizi ni picha zikionesha umati wa watu kutoka taifa la marekani ambao ni waislamu wakiswali swala ya Taraweeh eneo la Times square katika jiji la New york nchini Marekani. Kwa ishara hii naona kabisa mpaka miaka ya 2050 ukristo utakuwa unaelekea kujifia huko nchini Marekani.
  7. JamiiForums Tanzania Uislam na Ukristo (Monotheism) havina nuru

    Sipo Hapa Kubeza,Kukashifu au Kutweza Dini Au Imani ya Mtu yeyote", Hivyo Tafadhari Wazee wa kuita Wengine Wapinga kristo Au Makafiri Mpite Mbali Huu Uzi Hauwahusu". Sina Shaka Na Uwepo Mungu Kwa Uelewa Wangu wa Kupembua Mambo Nimejiridhisha Na Kuthibitisha Uwepo Wa Mungu". Ila Kwa Miaka 23 Ya...
  8. JamiiForums Tanzania Sayansi yathibitisha Wakristo ndio watu wenye furaha zaidi

    Utafiti wa Kisayansi Wathibitisha: Wakristo ni Watu Wenye Furaha Zaidi Utafiti wa kisayansi unaoendelea unathibitisha kuwa Wakristo mara kwa mara huripoti viwango vya juu vya furaha na kuridhika na maisha ikilinganishwa na wasioamini. Tafiti kutoka Pew Research na Gallup zinaonyesha kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mbobezi wa Atheism, ageuka na kuwa Mkristo

    Huyo si mwingine bali ni C.S. Lewis C.S. Lewis, once a firm atheist, became one of the greatest Christian thinkers and writers of the 20th century. His journey from skepticism to faith was not emotional or blind—it was the result of deep intellectual reflection. Through his powerful books, he...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Ukristo unakataza kuoa wake wengi?

    Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie...
  11. JamiiForums Tanzania Pentekoste iliyochangamka

    Pentekoste imechanganyikiwa,wala haijui ikitakacho. ile injili iliokuwa ikihubiriwa imegeuzwa ufisadi. Hali ya pentekoste ni mbaya kwa sasa kuzidi Roman. imekuwa na kanisa la watafuta miujiza na pesa. chumvi na maji. moja ya mambo kanisa limejichanganya nayo; 1; mahubiri ya pesa tu na mali...
  12. JamiiForums Tanzania Ukristo pia unakataza madeni kabisa achia mbali riba

    Ukisoma vitabu vya Biblia takatifu vya Warumi 13:8 na Methali 22:7 vyote mtawalia vinasema msiwiwe na mtu chochote na kwamba mkopaji ni mtumwa wa mkopeshaji...sasa nyi wakristo mmepigwa marufuku kabisa kukopa ila mnakaza fuvu. Muokoke.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu ina mkakati gani na hawa wanauza mihadarati ya kiimani kwa jina la Yesu au ukristo?

    Taifa linaangamia na kutengeneza jamii ya mataahira. Wakuu wangu wa serikali nawaheshimu sana lakini hapo mmekaa kimya. Kusema serikali haina dini mnamaanisha matapeli waliojificha kwenye imani ya dini mkono wa serikali ambao tunajua ni mrefu hauwafikii hawa matapeli na ambao asilimia kubwa wapo...
  14. JamiiForums Tanzania Ukristo unaruhusu ndoa ya mke wapili kwa mujibu wa andiko hili

    Ukisoma Biblia, kutoka 21, 10. Inasema "Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa." Ukisoma toka mwanzo utagundua kuwa utagundua hapa yamezungumziwa mambo ya kuachia watumwa.. Sipingi hilo, lakini kitendo tu cha...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kweli Waafrika wameshindwa kutambua Ukristo na Uislam siyo kwaajili yao?

    Jabarini, Hivi kweli hata wasomi wa Kiafrika wenye Phd wamegoma kabisaaaa kutambua kuwa Ukristo na Uislam siyo kwaajili yao bali ni kwaajili ya warabu na wazungu/wakoloni. Yaani wameelezwa kuwa Waafrika wametokana na manyani na wakati huohuo wameelezwa kuwa wametokana na udongo pia wametokana...
  16. JamiiForums Tanzania Mstari huu ndani ya Biblia wachungaji wa kileo hawaupendi, wanauruka kama haupo kabisa, ingawa ndio msingi mkuu wa Ukristo

    Wachungaji, mitume, manabii, walimu na Wainjilisti ambao ni viongozi wa makanisa ya kileo huu mstari wanauruka kama haeauoni. Huu mstari unawahukumu, maana wanajikusanyia sadaka kisha kufungua maduka makubwa, kusomesha watoto wao nje ya nchi , wananunua range , v8 n.k huku waumini wakiambiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Je kuna haja ya kuamini ukristo na uislam wakati vimejengwa kwenye uongo?

    Wanabodi, hakuna haja ya kuzungusha. Hakuna ubishi. Waanzilishi wa Ukristo na Uislam ni Yesu na Muhammad. Hakuna ubishi kuwa hakuna anayejua namna hawa waanzilishi walivyofanana wala kuwa. Hakuna ubishi, wakristo wana picha feki za wazungu waliomuigiza Yesu. Hakuna ubishi, waislam hata...
  18. JamiiForums Tanzania Hii bendera imekuwa chapa ya kitambulisho cha wanaochukia uyahudi, ukristo na umagharibi

  19. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri mara nyingi kwanini unawazungumzia watu katika ukristo?

    Habarini wana jf. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia tabiri za wachungaji mbalimbali hasa kwa miaka 3 mfululizo ingawa hata huko nyuma nilikuwa nikifuatilia. Mara nyingi watabiri wengi wamekuwa ni hawa wanaojiita manabii wa kikiristo wa makanisa ya kilokole. Nimekuwa nikitafakari sana kuhusu...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini dini hizi UYAHUDI, UKRISTO na UISLAMU zinatofautiana siku ya kusali wakati chimbuko lao Moja (Abrahamic Religions)

    Kama wote tunavyojua, Dini ni miongozo ya kiimani hapa Duniani, mafundisho yake utupa njia na namna ya kuishi hapa duniani kwa kufuata miongozo ya mnae mwabudu. Leo nitazungumzia kwa nini siku za Kuabudu utofautiana katika kila Dini na nitajikita zaidi kwenye Dini zenye chimbuko la Ibrahimu au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…