ukristo

  1. mimi mtakatifu

    Je, unazijua dini nyingine zaidi ya Ukristo na Uislamu?

    Tuliozaliwa na kukulia bongo tukiambiwa kuhusu dini, akili yetu inakimbilia kufikiria kuhusu dini kuu mbili hapa nchi Ukristo na Uislam. Lakini, mbali na Ukristo na Uislamu, dunia ina dini nyingi. Uhindu Ubuddha Sikhism Uyahudi. Shinto Taoism Rastafarianism Dini za Kiafrika za asili E.t.c...
  2. H

    Enyi Wakristo Uishini Ukristo. Wavuteni Wasiomjua Kristo Kwa Kuuishi Ukristo, Siyo Kupalilia Chuki

    Injili iliyoletwa na Kristo, ndiyo neno pekee la Mungu lililoleta ukamilifu wa maagizo yote yaliyotangulia yaliyokuwa na mapungufu mengi. Yesu Kristo alisema kuwa hakuja kuitangua torati ya Musa bali kuikamilisha, kwa sababu ilikuwa na mapungufu. Kwa hiyo utimilifu na ukamilifu wa unabii wote...
  3. M

    Kwa jina la Yesu: Huku ndiko ukristo unakoipeleka dunia

    Kwa sasa huku ndiko dunia inakopelekwa Na wanataka tuone ni kawaida, ukihoji unaambiwa wewe ni siasa kali Huu ushenzi unaingia Afrika na Tanzania kwa kasi sana https://www.bbc.com/swahili/articles/c20qg1qevp6o
  4. J

    Tukumbuke Nguzo Kuu za Ukristo

    Tukumbuke Nguzo Kuu za Ukristo Kama tunavyojua, msingi wa Ukristo ni Yesu. Yesu Kristo Bwana ndiye msingi wenyewe. Yeye huitwa jiwe kuu la pembeni, na mwamba ambao juu yake sisi sote tumewekwa. Pasipo Yesu hakuna ukristo. Yeye ndiye msingi wa imani ya Kristo. Aidha, kikawaida, msingi ukishakaa...
  5. Waufukweni

    Kumbukizi: Godbless Lema zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, Uislamu na Ukristo ambao hautendi haki, huo ni unafiki wala siyo Udini

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Godbless Lema kwenye moja ya Mkutano wake wa hadhara alisema; Waislamu sikilizeni, zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, nawaambia mimi najua 'game' zinavyochezwa nchi hii, waambieni hivi kwani CHADEMA wanashida na Msikiti?...Sisi...
  6. C

    Katika haya madhehebu makubwa RC pekee wameoesha kuuishi ukristo kwa vitendo, KKKT ni wanafiki wakubwa,ANGLICAN na wengineo wanafiki pia

    Nimefuatilia kwa makini haya madhehebu ya dini nimebaini kumbe roman Catholic ndio haswaa wanao uishi ukristo kwa vitendo hawa sio wanafiki wanasimama na kweli daima nadhan hawa ni wakuwafuata pasi na shaka, hawa wamesimama na wananchi kabisa na huo ndio ukristo safi Nimewadharau sana KKKT...
  7. Carlos The Jackal

    Kufuatia vitisho vya Masheikh Kwa TEC, Sasa kama ni Mbwai Wacha iwe Mbwai , Hatutaruhusu UHAI WA KIONGOZI DINI UKRISTO KUGUSWA, 9 Dec ni Maandamano

    Kuna Video inasambaa sana Kwa Kasi mtandaon, anaonekana MTU anayejiita Sheikh kwenye mkutano na Vyombo vya habari, AKIWATISHA MAASKOFU WA TEC. Sasa ni hivi, Mbinu yenu ya Kujaribu Kutisha Kanisa ili waingie kwenye huo upuuzi wenu wa MARIDHIANO, Umeshindwa. Hata mchochee Mpasuko wa KIDINI ili...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 KKKT: Tumehuzunishwa na kusikitishwa na matukio yalitokea Oktoba 29 yaliyokosa UTU, HESHIMA na TAMANI ya binadamu

    Nchi yetu imefanya uchaguzi Mkuu wa Taifa tarehe 29 Oktoba 2025. Sote tunakumbuka kuwa siku hiyo na siku zilizofuata, nchi yetu imepitia hali ngumu ambayo haijawahi kutokea katika historia yake. Palitokea vurugu zilizababisha upotevu wa maisha, ulemavu na uharibifu wa mali za umma na binafsi...
  9. The Father of All

    Kati ya Paulo na Yesu nani alianzisha ukristo?

    Ukisoma biblia, kwa makini bila mawenge na uzwazwa wa imani, hutakuta mstari hata mmoja ulioandikwa na Yesu. Ni mara moja tu Yesu aliandika. Ni pale alipoletewa mwanamke 'kahaba'. Alipoulizwa nini kifanyike, Yesu aliandika kwenye mchanga akiwataka waliokowa wakimtuhumu wampige mawe kama...
  10. T

    Nini kimetokea mpaka marais watatu wenye asili ya Ukristo wakafa ?

    Nini kimetokea mpaka taifa likapoteza marais watatu wenye asili ya ukristo je tunahitaji fungua kesi ya wazi kujibu hili swali gumu?
  11. Vulmeko

    Polepole ameishajivua gamba la Ukristo?

    Nimesikiliza mara nyingi hotuba za Mheshimiwa Polepole, na nimejiridhisha pasina shaka kwamba huyu ndugu ni Mkristo, tena aliyebobea katika ujuzi wa Biblia. Katika hotuba zake anazoziwasilisha kwa weledi wa hali ya juu, mara nyingi akimaliza episode ya kwanza, huwa anaahidi kwamba siku fulani...
  12. ELI COHEN

    Hivi bado kuna mtu anaamini kuwa vyama vya siasa vya upinzani ndio vitaleta mageuzi katika taifa hili?

    Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc Upande wangu, i dont think so.
  13. USSR

    Ukristo wetu unapitia wakati mgumu sana zama hizi

    Ukristo wetu unapitia wakati mgumu sana miaka hii USSR
  14. Wazolee

    DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

    DOGMA ni kitendo Cha kuufanya uongo kuwa ukweli na kutumia Mbinu za kisaikolojia kukupandikiza huo uongo katika akili za watu DOGMA ndani ya ukristo 1) wameaminishwa kuwa Yesu amezaliwa katika hori la kulishia ng'ombe wakati hakuna andiko linalosema hivyo 2) wameaminishwa kuwa ukristo ni dini...
  15. Mwislam by choice

    Nimeuliza ChatGPT kati ya uslam na ukristo ikaleta majibu haya

    Hili ni swali zito na linahusisha imani, utamaduni, historia, na tafakuri ya kina ya kiroho na kijamii. Kama ningekuwa mwanadamu mwenye akili timamu na ninatakiwa kuchagua kati ya Uislamu na Ukristo kwa kutumia akili nzuri (bila upendeleo wa kijamii wala wa kifamilia), basi ningefikiria kwa kina...
  16. MK254

    Kama Uislamu ulibuniwa kurekebisha Ukristo, mbona Quran ije na mikanganyiko zaidi

    Hapa Quran 67.5 nimesoma eti shetani hushambuliwa kwa kurushiwa mizinga ya nyota, hii ina maana gani, au zile huwa tunaona kama shooting stars ndio hiyo mizinga dhidi ya shetani. Kwa walio bahatika hata ilmu ya msingi tu, wanajua nini maana ya shooting stars, au pia ilivyo ujuha kusema nyota...
  17. J

    Kiasi ina maana gani katika ukristo?

    Kiasi Ina Maana Gani Katika Ukristo Kiasi ni nini Kiasi kama tafsiri yake ilivyo ni kuwa na uwezo wa kudhibiti jambo/tendo lisipitilize mipaka yake, yaani litendeke kwa sehemu fulani tu. Katika Ukristo, kiasi ni moja ya matunda 9 ya Roho Mtakatifu. Wagalatia 5:22 “Lakini tunda la Roho ni...
  18. R

    Madaraka haya madaraka! Sasa hapa ni imani gani? Uislamu - Ukristo? Kisa Ikulu!

    AMEN, BWANA ASIFIWE
Back
Top Bottom