ukosefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa "Siasa Safi" Afrika ndo chanzo cha Umaskini

    Afrika kote tunafanana kwa tabia zetu za kizombi. Siasa Safi inawekwa Kapuni na wachache. Watu wanapiga bila kupingwa. NB: poleni FRELIMO, SWAPO na Vyama vyote rafiki.
  2. JamiiForums Tanzania Tusimung'unye maneno, tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania ni matokeo ya utawala wa Magufuli

    Hello! Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe. Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze angalau 2030. Baada ya kuingia Magufuli Ikulu na kuwa Rais cha kwanza kabisa akaenda kupambana na...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mikumi: Kata 8 hazijaanza kupiga kura, msimamizi adaiwa kutopokea simu

    Wakati zoezi la upigaji wa kura za kuchagua viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa likiwa limeanza tangu saa 02:00 asubuhi nchini, hali ni tofauti kwa jimbo la Mikumi, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro ambapo inadaiwa kuwa kata nane (8) kati ya 15 za jimbo hilo zoezi la upigaji wa kura...
  4. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukosefu wa madarasa shule ya msingi Mkululu

    Hali ni mbaya sana yule ya msingi Mkululu watoto wanasomea chini ya miti kwasababu ya kukosa madarasa. Shule ipo kata ya Mkululu wilaya Masasi mkoa wa Mtwara. Raisi tunaomba msaada wako.
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Umtakaye kaenguliwa piga Kura ya HAPANA

    CCM wamedhania kuengua wagombea na sasa kujitapa kuwa Wapinzani hawajaweka wagombea wa kutosha kama CCM ndio ujanja. Kutokupiga kura ni kuihalalishia ushindi CCM hivyo njia sahihi ni wapinzani na wale wote wanaojitambua kupiga kura ya kuwakataa ya HAPANA kwa wingi sana hadi wajue pamoja na...
  6. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya watanzania yanazorota kwasababu ya ushamba wa matajiri na ukosefu wa maono toka kwa Wanasiasa

    Eti leo tunawashangilia matajiri wetu, kina MO na Azam, kwa kuujaza utajiri wao kupitia kuuza energy drinks, barafu za ukwaju, tambi, na viberiti. Lakini je, tupo serious kweli kama taifa? Tunafurahia mafanikio haya huku tukiangalia ajira za wanyonge zikiteketezwa kwa sababu shughuli ndogondogo...
  7. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maji: Watumia mkojo wa ng'ombe kujisafisha wakiwa hedhini

    Changamoto ya upatikanaji wa maji katika Kijiji cha Oltepes kilichopo Kata ya Orbomba, wilayani Longido huwalazimu wasichana na wanawake wa eneo hilo kutumia siagi ya ng’ombe ili kudhibiti damu ya hedhi na mkojo wa ng’ombe kujisafisha. Wanawake hao hulazimika kutumia siagi hiyo (mafuta ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania NUKUU: Kutokana kanuni ya 50/50 wanawake kuajiriwa kumesababisha ukosefu wa ajira nchini

    Kwa mujibu wa historia ya Tanzania itakumbukwa miaka 1961 mpaka 1989 idadi ya wanawake wasomi haikuwa kubwa kama miaka 2020's, lakini pia idadi ya wanawake waliokuwa kwenye ajira ama biashara ilikua ni chache ikilinganishwa na leo hii Mwanamke alitambulika kama mama nyumbani Kitendo cha...
  9. JamiiForums Tanzania Namna Tanzania Inavyoweza Kuongeza Idadi ya Walipa Kodi: Suluhisho kwa Wimbi la Umaskini na Ukosefu wa Ajira

    Tanzania ni nchi yenye uchumi unaoendelea, lakini changamoto kubwa bado ni umaskini na ukosefu wa ajira, hasa miongoni mwa vijana. Katika hotuba ya hivi karibuni, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alibainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, ni watu milioni 2 tu wanaolipa kodi. Hii ni...
  10. JamiiForums Tanzania Ni ukosefu au upungufu wa akili kufurahia vifo au maumivu ya wanadamu wengine yatokanayo na vita!

    Katika pita pita zangu huku JF nimeshtushwa na kiasi kikubwa cha ukosefu au upungufu wa akili wa kundi kubwa la watu wanaoshabikia vita ya mashariki ya kati na kwingineko Kwangu mimi, vita na matokeo yake au madhila yoyote yatokanayo na ukandamizaji wa aina yoyote siyo jambo la kushangilia au...
  11. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maji Tabata, DAWASA hawana majibu

    Kwenu Wahusika, kwa mara ya pili! Naandika kutoa malalamiko yangu na kuhusu kukosekana kwa maji kutoka DAWASA katika maeneo mengi ya Tabata, kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa ambayo pia inatufanya kuingia gharama kubwa kupata maji hayo. Bill yetu ya hivi karibuni inaonyesha matumizi ya maji kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa mitambo ya uchakataji Mkonge yatajwa kuwa ni chagamoto kubwa kwa wakulima

    Changamoto ya uhaba wa mashine za kuchakata Mkonge (korona) inayowakabili wakulima katika maeneo yao inatarajiwa kuwa historia hatua itakayochochea ongezeko la uzalishaji wa zao hilo. Hatua hiyo imetokana na ziara ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), ambao...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Hizi teua-tangua za awamu ya sita zinaonesha ukosefu wa umakini katika maamuzi ya kitaifa

    Ni udhaifu mkubwa sana kuteua viongozi wa kitaifa halafu kuwatengua muda mfupi baadaye na kuwateua tena. Haya yote yanadhihirisha ukosefu wa umakini katika kufanya maamuzi mazito kwa maslahi ya Taifa. Nafikiri teuzi na tangua nyingi hufanywa kwa mihemko. Ninapendekeza teuzi na tanguzi za...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa Maji baadhi ya maeneo ya Tabata

    Ndugu DAWASA na Waziri wa maji, Ninaandika kueleza hasira yangu kuhusu tatizo linaloendelea la ukosefu wa maji katika baadhi ya maeneo ya Tabata Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa hatujawa na maji, na licha ya kupiga simu mara kwa mara kwa laini ya huduma kwa wateja, tumeambiwa kwamba hawana taarifa...
  15. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Ajira chanzo cha Maovu

    ukweli ni kwamba watu wengi ukosefu wa ajira unaokumba vijana wengi unasababisha maovu kuongezeka ikiwamo,Wizi na mauaji. Vijana wengi wamechomwa moto, wengine wako Mahabusu, wengine Gerezani kisa tu walikosa ajira wakaamua kushawishika kufanya vitu visivyofaa. Serikali iendelee kuzalisha ajira...
  16. JamiiForums Tanzania Barcelona na Real Madrid ni Timu za wanachama kunachosumbua Simba na Yanga ni umasikini na ukosefu wa mipango thabiti

    Simba na Yanga ni timu kubwa zisizo na vyanzo vya mapato vinavyoeleweka hii ni kutokana na ukosefu wa mipango ya kueleweka , lakini pia kuwa na viongozi wabovu . Ingawa na siasa inachangia pia , mikataba inatekelezwa kimaneno hakuna vitendo . Hatumuelewi Mzee Magoma sababu ya umasikini wa...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Tutengeneze mazingira rafiki kwa wawekezaji kupunguza ukosefu wa ajira

    Ukosefu wa ajira ni miongoni mwa changamoto sugu ulimwenguni kama taifa yatupaswa kuwa na mikakati mipya na endelevu kupunguza ukosefu wa ajira nchini. Bendera ya Tanzania. Kila mwaka mamia ya wahitimu wanatunukiwa vyeti vya kuhitimu katika kozi mbalimbali kutoka vyuo vya ndani na nje ya nchi...
  18. JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana wasomi na mikakati ya kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Tanzania ni miongoni mwa nchi za Kiafrika zinazokabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana wasomi wanaohitimu katika taasisi mbalimbali za elimu ya juu. Utafiti uliofanyika mwaka 2019 na Taasisi ya utafiti wa kupunguza umasikini (REPOA) ilionyesha takribani vijana milioni moja...
  19. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa mtandao wa mawasiliano Umeme na Maji

    Changamoto hii imekua khbwa sana katika Maeneo mengi ya vijijini kutokana na ukosefu wa elimu na ujasiri kwa wananchi haswa waishio vijijini hata pale wanapofika viongozi wa kitaifa kwa kua huogopa kuchukuliwa hatua na viongozi wa ngazi ya mtaa na vijiji
  20. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa miaka 25 wa kuondoa tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Bwana yesu asifiwe...... Nianze Kwa kushukuru MUNGU muumba mbingu na nchi na vyote viijazavyo Kwa, kutujalia amani, upendo na mshikamano. SULUHISHO LA UKOSEFU WA AJIRA -Ukosefu wa ajira ni janga linaloitafuna nchi yetu ya Tanzania, hivyo ili Kuondoa au kupunguza tatizo hili yafuatayo lazima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…