UKOMAVU NI MTAZAMO WA AKILI, SI UMRI.
HIZI HAPA DALILI ZA MTU ALIYEKOMAA!
• Haogopi kuwa peke yake.
• Anatambua kuwa pesa siyo mbaya, ubaya ni kukosa pesa.
• Anajua kuwa Nafsi inaweza kuwa adui yako mkubwa au msaidizi wako mkubwa.
• Anagundua maisha huwa mazuri zaidi pale watu wasipojua...