Duniani hakuna adui mkubwa Wala mdogo lipokuja swala la amani ya Taifa, Leo tunaona wageni wanafanya vurugu nchini huu uhuru wanautoa wapi? Tuionyeshe kuwa Tanzania si nchi ya kuichezea kiusalama, waone umoja wa waTZ tukipigania masilahi ya Taifa letu.
Ni muda Sasa wa kuionyesha Dunia kuwa...
Zote mbili Ni kushare sex fantasy! Thread 1:ya Kwanza iliandikwa 2014, Je, Fantasy yako katika mapenzi ni ipi?
Replies zake zipo clean kabsa fantasy nyingi Ni normal sex
Mf; sex na other race, kupata mwenza wa maisha etc
2; Thread ya pili ilikua 2022...
Degree ambazo ukisoma hukosi Ajira.
1. Computer Science
2. Healthcare
3. Degree of Mass Communication
4. Some engineering courses.
5. Business Management.
Ongezea Degree moja hapa tuone?
Ushabiki usiokua na mantiki Wala faida yeyote ile kijana upo kwenye keyboard unaisifia ISRAEL au IRAN wewe ni fala tu
SIMBA na YANGA zimekua dini za vijana wapumbavu upo tayari kumtukana mwenzio pia hata kufa sababu ya simba au Yanga wewe ni kilaza Leo unamchukia chama kisa yupo Yanga...
Habari zenu wakuu, wakubwa shikamoo, wadogo zangu mambo niaje.
Kwa miezi ya hivi karibuni since July, 2024 nimekuwa mfatiliaji mzuri tu wa majukwaa ya JF, ilianza kwa kusearch "Elimu Tanzania" kwenye opera mini na kiswaswadu changu haha, zikaja results za JF asee tokea siku hio imekuwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.