uke

  1. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinafanya uume usimame pindi macho yakiuona uke?

    Najiuliza ni stimulus gani au ni magnetic gani au ni chemical gani inayosimamisha uume pindi macho yakiuona uke? Mbona uume hausimami ukiona kucha goti mkono au tumbo? Kuna mawasiliano gani Kati ya uke na uume? Madaktari tusaidie kujua.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Fanya yafuatayo kulinda afya ya uke

    Usafi wa uke ni jambo muhimu sana kwa afya ya wanawake. Mambo usiyostahili na unayostahili kufanya ili kutunza afya ya uke Usiingize kidole ndani ya uke kwa lengo la kujisafisha hiyo huondoa asidi ya asili ya uke ambayo ni muhimu kwa sababu huzuia bakteria kukua. Aidha usitumie sabuni kuosha...
  3. JamiiForums Tanzania MUNGU WA HEDHI: Hedhi yake hutoka mwaka mzima na kukuta siku tatu

    MUNGU WA HEDHI: hedhi yake hutoka mwaka mzima na kukata siku tatu tu Ukiniuliza nchi gani namba moja ungependa kuitembelea leo, basi binafsi yangu ningekutajia UFARANSA ningependa kwenda kule kwa sababu kuu mbili mandhari ya mji mkuu wa PARIS yanavutia sana , si ajabu kukuta wasanii wetu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Je, mwanamke anaweza kupata mimba huku akiwa anatumia vizuizi vya mimba?

    Habari za humu wana jukwaa, naomba kuuliza, hivi mwanamke anaweza kupata mimba na huku akiwa anatumia uzazi wa mpango(kuweka plastic ndani ya uke)?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Je, kuna madhara ya kupaka mate kwenye uke!?

    Heshima kwenu! Kwa madaktari mliopo humu, je kuna madhara ya kupaka mate kwenye uke wakati wa kufanya mapenzi!? Wanawake wengine huwa ni wakavu! Hivyo mate hutumika kama kilainishi.
  6. JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kusikia wanawake wasiokua na uke wala tumbo la uzazi?

    Julian Peters: Mwanamke aliyezaliwa bila uke wala mfuko wa uzazi Julian Peters ni mwanamke wa miaka 29 aliyezaliwa na ugonjwa unaojulikana kama (MRKH) Mayer-Rokitansky-Küster-Hauser, huu ni ugonjwa unaoathiri sana wanawake na hasa kizazi cha mwanamke. Hali hii inamaanisha kuwa Julian...
  7. JamiiForums Tanzania Tatizo la ukavu wa uke... Haya nyie Wadada mnaosema naumia wakati wa tendo njoo hapa

    Bpharm: Chriss Johny Tatizo la kuwa na ukavu ukeni hutokea wakati tishu za uke hukosa ute wa kutosha na uke kutokua na afya thabiti. Kwa kawaida, kuta za uke hukaa zimehifadhiwa na safu nyembamba ya ute maji. Dalili kuu ni kama vile kukosa hamu ya kuendelea KUSHIRIKI tendo, maumivu makali...
  8. JamiiForums Tanzania Julian Peters: Mwanamke aliyezaliwa bila uke wala mfuko wa uzazi

    Julian Peters ni mwanamke wa miaka 29 aliyezaliwa na ugonjwa unaojulikana kama (MRKH) Mayer-Rokitansky-Küster-Hauser, huu ni ugonjwa unaoathiri sana wanawake na hasa kizazi cha mwanamke. Hali hii inamaanisha kuwa Julian alizaliwa bila mfuko wa kizazi. "Hali hii ninayoishi nayo inachangamoto...
  9. JamiiForums Tanzania Changamoto za uke wenza

    Shosti wangu analalamika sana kuhusu kuishi maisha ya uke wenza.Mumewe alimuolea mke mwenza na toka wakati huo maisha yao ni ya shida tupu. Kiwango cha maisha kimeshuka sana. Hakuna maelewano baina yake na mume, ukiachilia mbali mke mwenzie. Nyumbani kumekua kama kituo cha polisi. Kwa wale...
  10. JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kufanya mapenzi na mwanamke nilimkuta ana harufu mbaya sana ukeni, nikahisi wote wapo hivyo kumbe sivyo!

    Nililala na mwanamke kwa mara ya kwanza nikiwa na akili timamu huku nina miaka 20. Alikuwa mke wa mtu, alinitongoza yeye mwenyewe nami nikaona ni zali la mentali(mchizi). Maana nilikuwa kiongozi wa punyeto kijijini kwetu, cheo nilichojipa mimi mwenyewe. Ile **** inanuka balaa, sema nilivumilia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…