ukatoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Kila siku tunamsema Papa na Ukatoliki. Awamu hii tunatuma watu wakatubu kwake kweli?

    Asalam aleikhum wa rahma tulah wabalaqatuh! Kwa kweli nakosa la kusema. Nimeamini mfa maji heshi kutapata tapa. Imefikia tunatuma watu wakatubu na kupiga picha na Papa? Huyu huyu Papa ambaye miaka na miaka tunamtukana? Tena ni beberu hawa. Haya mabeberu yametuweka sehemu mbaya sana. Watu wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Anaandika Godbless Lema: Dhihaka dhidi ya Ukatoliki

    Nina uhakika kinachoendelea dhidi ya Katoliki si mzaha wala burudani, bali ni dharau, dhihaka na kejeli ya wazi dhidi ya Katoliki na Imani ya Kikristo kwa ujumla. Hii ni hatua hatari sana kwa Taifa. Mzaha wa aina hii hauwezi hata kufikiriwa kufanywa na vijana wa Kikristo dhidi ya taasisi za...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia, hawa wanakuharibia pakubwa wanaoigiza ukatoliki kukugombanisha na Wakatoliki/TEC. USIRUHUSU UPUUZI KAMA HUU

    Repercussions zote na after effects zinarudi kwako. Kataa upuuzi kama huo! Inajulikana worldwide kuwa Wakatoliki halisi hawawezi kufanya ushetani kama huo! Kuwa macho na walioandaa ujinga huo. Wanakuharibia!
  4. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

    UTANGULIZI Mwaka 2017 Raisi Duterte alianzisha vita kali dhidi ya Madawa ya Kulevya nchini Ufilipino. Aliaua maelfu wa watu aliodai ni watumiaji na wauzaji wa madawa. Alienda hadi mbele ya kadamnasi na kujisifu kwamba wakati ni Meya wa Davao alikuwa anatembea usiku na kupiga watu risasi...
  5. President of China

    JamiiForums Tanzania Pope Leo XIV alizipitia posts zangu za hapa JF naona amewakemea wale wenye fikra za kihafidhina wenye akili za Ukatoliki wa zamani

    Nilikemea kwa nguvu sana tabia za viongozi wa dini kutumika kisiasa. Niliwataja kwa majina yao. Nimefurahi sana kuona Papa amesoma kwa umakini wa hali ya juu na kuzielewa vizuri posts zangu za hapa JF. Najua mpaka anakuja kutoa ujumbe huo wa kuwakemea kwa nguvu wale wanaotumika kisiasa atakuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa Msabato, lakini nikaondoka kwa sababu Kanisa halikuwa na athari chanya kwenye jamii na maendeleo. Sikutaka watoto wangu wapitie hivyo.

    Kwanza kabisa, ni muhimu niseme kwa upande wangu, uhusiano wangu na Mungu ni wa kipekee na unatokana na matendo yangu zaidi kuliko kujitolea kwa kanisa moja. nipo tofauti kidogo na watu wengi wanaoliabudu kanisa au mchungai zaidi kuzidi Mungu. Sababu kuu iliyosababisha uamuzi wangu wa kuhama ni...
Back
Top Bottom