ukaribu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni ipi sababu ya Rais Samia kuwa karibu sana na kuipa uzito Nchi ya Oman?

    Nimekuwa nikiona Rais wetu akiipa uzito hii nchi ya kuitwa Oman. Hadi sasa ninachojua tu ni kwamba Zanzibar ilikuwa koloni la Oman na masultani wake walikuwa na asili ya Oman. Ila leo pia nimeona hii nchi nayo ipo mbioni katika kinyanganyiro cha kujenga Bandari ya Bagamoyo. Kwa anaejua japo...
  2. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Grand P amuonya mwanaume anayesemekana kuwa na ukaribu na mpenzi wake

    Star wa muziki kutoka nchini Guine Grand P amuonya mwanaume ambaye anashutumiwa kuwa na ukaribu na mpenzi wake Grand P alinukuliwa akisema kuwa "Kaka yangu Roga Roga nina kuheshimu sana na ninafahamu vyema kua wewe ni raia kutoka Congo na ninawaheshimu sana wakongo lakini chombo unachojaribu...
  3. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu inafuatilia kwa ukaribu matukio ya hivi karibuni ya utekaji wa viongozi na wananchama wa CHADEMA

    “Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu inafuatilia kwa ukaribu matukio ya hivi karibuni ya utekaji wa viongozi na wananchama wa CDM.” - Kamishna Dkt. Solomon Ayele Dersso.
  4. zagarinojo

    JamiiForums Tanzania Ukaribu unaua hisia (Mapenzi ya mbali yananoga)

    Ukaribu unaua hisia kweli kabisa. Nadhani imewahi kukutokea hali unampenda mkaka/mdada licha ya kuwa hamfahamiani. Unajikuta unatamani kumwambia ni jinsi gani unavyompenda. Ila baada ya wewe kuonana naye. Hisia zako kwake zinaanza kupungua kabisa na unajikuta unampotezea au mnabaki kuwa...
Back
Top Bottom