Kuna watu humu JF wana matatizo ya afya ya akili kabisa unakuta mtu anafurahia au kulinganisha Uhai wa binadamu na vitu unakuta mtu anafurahia mauaji, watu kutekwa kupotezwa huyu hawezi kua binadamu wa kawaida lazima ana matatizo ya Afya ya akili...
Muswada wa Bunge Marekani umetaja maadui wanne wa Tanganyika watakaowekewa vikwazo na kumulikwa.
Uongozi wa Juu wa
1. Serikali
2. CCM
3. Jeshi la Polisi
4. Usalama wa Taifa
Na familia zao.
Hilo nyavu linanasa yule kijana kwa saab ni familia lakini Mwenyekiti Mstaafu halimkamati. Japo...
Mkwamo wa Kisiasa Nchini
Wakati wa Kujenga Muungano wa Kitaifa Dhidi ya Ukandamizaji ni Sasa.
Historia inaonesha kwamba hakuna mfumo kandamizi unaoanguka kwa sababu ya malalamiko yaliyotawanyika ya wale wanaokandamizwa.
My Take.
Nawakumbusha ACT, kulikuwa na UDETA na UKAWA wakasaliti, NO...
Tanesco imekuwa na unyanyasaji mkubwa sana kwa vibarua wanaosambaza umeme kwa mteja(service line) na kujenga miradi midogo midogo. Inafikia mpaka miezi nane(8) pesa haijalipwa na hakuna anayelisemea au japo kulibeba swala hilo kwa wale viongozi ukiulizia kauli ni kesho,wiki ijayo au wiki hii...
30 April 2026
Brenda Rupia Kamanda: Ukandamizaji na Upinzani wa Kisiasa: Utawala wa Sheria nchini Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=7iFw37GQQb4
Brenda Rupia Kamanda, msemaji wa chama kikuu cha upinzani, CHADEMA nchini Tanzania, yanaangazia uamuzi wa hivi karibuni wa mahakama ya rufaa...
As expected, this “commission” glossed over a violent crackdown and the facts. I support the administration’s bilateral review and call for sustained pressure on Tanzania, including the release of Tundu Lissu. Waiting out scrutiny with a whitewashed report is a flawed strategy; it won’t restore...
TANU baba mzazi wa CCM aliyezaliwa 07/07/1954 na kuzikwa mwaka 05/02/1977 aliondoka na mambo yake yote.
Kuzaliwa kwa CCM kulichagizwa na sababu ya Muungano wa nchi mbili Tanganyika ambaye ni Marehemu na Zanzibar zote zikiwa nchi zenye mamlaka kamili.
Waasisi waliamini Muungano tu hautoshi,ili...
Imeonya kwamba mashindano ya mwaka 2026 yanaweza kugeuka kuwa jukwaa la ukandamizaji na matendo ya kidikteta.
Ripoti mpya ya shirika la haki za binaadamu iliyotolewa Machi 30, 2026 imeonya kwamba mashindano ya Kombe la Dunia mwaka huu yanaweza kugeuka kuwa jukwaa la ukandamizaji na matendo ya...
Viongozi waliokataa kukubali mabadiliko wanayodai mwananchi katika Nchi zao,kama kupinga ubaguzi wa rangi Nchini South Africa. Chaguzi za viini macho kama Tanzania Uganda na Mozambique, utekwaji na mauaji ya kisiasa kwa wananchi, wanasiasa wa upinzani kufungwa magerezani kwa kupambikizi wacase...
Kiongozi mkuu wa Taliban, Hibatullah Akhundzada amesaini sheria mpya ya adhabu nchini Afghanistan ambayo inaruhusu wanaume kuwapiga wake na watoto wao, isipo kuwa vipigo hivyo havisababishi kuvunjika kwa mifupa kwenye miili yao.
Aidha mazingira ya kisheria kwa wanawake yamezidi kuwa magumu...
Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Tanzania Mwaka 1992, safari ya kuelekea demokrasia kamili imekuwa na milima na mabonde.
Mfumo huu ulianzishwa kwa lengo la kutoa uwanja mpana wa mawazo, kuimarisha uwajibikaji, na kuruhusu wananchi kuchagua viongozi wanaowataka bila shinikizo la chama...
Wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa
Babu Trump hana hata mwezi ameonya juu ya matukio ya ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo.
Marekani ni watu wana intelenjinsia Kali duniani, Kuna mambo wanawajua hata kabla ya sisi kujua.
Ukiona Marekani amesema jambo ujue intelenjinsia...
GT
Marekani imesikitishwa na mambo mengi nchini Tanganyika. Moja ya jambo muhimu wanalosema ni ukandamizaji wa wazi wa dini ya kikristo.
Siyo siri wana taarifa zote namna samia navyojaribu kutumia uislamu kukandamiza haki na uhuru qa kujieleza nchini Tanzania.
Mauaji. Utekaji na utesaji...
Siku nyengine hakuna atakaye fanya huu ujinga na ukandamizaji wa wananchi au upinzani na kesi za uongo kwisha.
Tuheshimiane tunachukua taifa letu tunaenda kulijenga upya
Habari ndio hiyo na watu waanaamua kutoa hasira zao kwa njia hiyo walionayo.
Wanaotukana matusi hayo mazito ni wachache ila sio vichaa bali wanamachungu.
Vile vile, angalieni na mjiulize wanao-comment kuunga mkono matusi hayo ni wachache?
Somo; Hawa wanaotukana na wanaochangia kuunga mkono...
Ni either (1) tufanye total reforms kwa kurekebisha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ili kuwa na mfumo wa haki wa siasa za vyama vingi ikiwemo chaguzi huru na za haki au
2. Kubadilisha katiba ili kufuta mfumo wa vyama vingi na kubaki na ccm pekee.
Tuache unafiki wadau. Options ni...
Huyo mweshimiwa mtajwa hapo juu alikua so vocal kupinga utekaji ,ukandamizaji democrasia wakati wa utawala wa rais Magufuli na yuko kimya sana bila ukosoaji wa yanayo endelea sasa Tanzania.
Alisikika mara moja Kijana wake Nondo alipotekwa ,kuteswa , lakini yupo kimyya kabla na baada ya hapo...
"Ukomo wa Demokrasia Katika Nchi Zinazotawaliwa na Party Coccus: Ulimbikizaji wa Madaraka, Ukandamizaji wa Wapinzani, na Unyakuzi wa Taasisi za Umma"
Katika baadhi ya nchi za Afrika, hali ya kisiasa imeendelea kuonyesha mwelekeo wa kuporomoka kwa misingi ya utawala wa sheria, demokrasia, na...
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga...