ukakasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ili kuondoa ukakasi wa teuzi zinazofanywa, uteuzi wowote unaofanywa uoneshe sheria iliyotoa mamlaka ya kuteua

    Kukosekana Kwa sheria inayotoa mamlaka ya kuteua kunawafanya watendaji WA Ofisi ya Rais kutokutumia nguvu Sana kutekeleza majukumu yao. Endapo Rais atamtaka Zuhura Yunusu kuweka katika press zake za kuteua na kutengua vifungu vya Sheria au katiba basi washauri WA sheria ofisini kwake Watakuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kalenda ya Masomo 2023 inatia ukakasi

    Habari za muda huu wadau wa elimu,bila kupoteza muda nisonge kwenye mada husika; Nimejaribu kupitia kalenda ya masomo iliyofanyiwa marekebisho,lakini kuna makosa kadhaa yamejitokeza hasa kwenye tarehe za likizo na mpangilio mzima wa vipindi. Ikumbukwe kuwa kalenda hii imetolewa kama mbadala wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Diamond dhidi ya TRA tuko naye, ila kauli zake!

    TRA kama ilivyo kwa Polisi, LATRA, Takukuru, EWURA, TCRA na wengine wa namna hiyo malamiko dhidi yao yanajulikana. Hakuwahi kusikia malalamiko ya watu wengine dhidi ya mamlaka hizi ikiwamo TRA? Haihitaji kumiliki basi kujua ndivyo sivyo za LATRA, au kuwa na gari au kituo cha mafuta kujua...
  4. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kiapo cha Daktari na ukakasi wa kutoa huduma; Je, ni wakati sahihi wa sisi kama taifa kuja na kiapo chetu kulingana na tamaduni zetu?

    Usiri wa taarifa za mgonjwa atoapo akiwa maeneo ya kutolea huduma za afya Leo napanda jukwaani na andiko langu kuhusu kero inayotupata wagonjwa hasa tunapotoa maelezo kuhusu maradhi yanayotusumbua pindi tuendapo hospitalini Kikawaida taarifa atoazo mgonjwa inabidi ziwe za siri baina yake na...
  5. JamiiForums Tanzania Kwenye Walimu wa kujitolea kuna ukakasi ila Rais nimekuelewa

    Wanabodi nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kazi iendelee.. Kwanza nampongeza mh. raisi kwa maono marefu katika katika eneo la utumishi wa umma hasa kwenye kada ya elimu pamoja na ualimu wenyewe. Raisi ameona mbali sana katika ualimu. Katika kongamano la wanawake...
  6. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kujitahidi kuondoa ukakasi wa uadui wa kisiasa nchini

    Makamba na Kinana wamerudishiwa heshima zao. Membe karudi CCM alikofukuzwa. Mashitaka ya Mbowe yakafutwa. Waliokuwa lupango kwa kesi za kubambikwa wameachiwa. Mikutano ya kisiasa imerudi upya. Polisi wameanza kuwaheshimu wananchi wa itikadi tofauti na chama tawala Tundu Lissu alionana na...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

    "Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma. “Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe...
  8. JamiiForums Tanzania Biashara ya hisa za kigeni imekuwa na ukakasi kwa Watanzania

    Habari wanajamvi, Ningependa leo niongelee kidogo kuhusu changamoto zinazotukabili watanzania kuwekeza katika hisa za nje ya nchi (foreign stocks) sijajua kama na mataifa sijajua kama na mataifa mengine ya kiafrika yanakutana na changamoto hizi katika kuwekeza kwenye masoko hayo Changamoto...
  9. JamiiForums Tanzania Almasi na ukakasi Katika ardhi ya Tanzania

    ALMASI, KITU KIDOGO KILIVYO WEZA KULETA UKAKASI KATIKA ARIDHI YA TANZANIA. Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA) Tuesday -1/02/2022 Iringa Tanzania Kuna Kisa cha kiarabu huko Iran cha miaka 2400 iliyopita inayoelezea kuwa chanzo cha almasi ni kutoka huko Uajemi, kwenye moja ya miliki ya mfalme...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…