ujenzi wa uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Think2

    Ujenzi wa uwanja wa Afcon 2027 utakamilika?

    Kwa mtazamo wangu huu uwanja hauwezi kukamilika sababu ni hizi 1)Kiwanja kipo maporini sana italazimika waanze kujenga miundombinu kama mabarabara , hospital , maduka n.k 2)Bajeti kubwa ya usalama hasa ulinzi mkali maeneo yote ya uwanja maana uko msituni 3)Pesa za afcon mkazitumia kwenye...
  2. S

    Ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha

    Hivi huyu aliyependekeza hii ramani ya uwanja mpya ARUSHA ana akili timamu kweli? Ilikuwakuwaje hiyo ramani ilipitishwa kwenye jopo la wataalamu? Ni Bora huo uwanja ukavunjwa ili tujenge uwanja mzuri na siyo hilo beseni.
  3. stakehigh

    Ulipofikia ujenzi wa uwanja wa Arusha

    https://youtu.be/tG4B0NtWDd8
  4. Mwanga wa Jua

    Je, Wadau wa AFCON na CHAN mnajua kama Mama katoa TZS298bn kwaajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa “Samia Suluhu Arusha stadium"?

    Rais Samia ametoa TZS298bn kwaajili ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu “ Samia Suluhu Arusha stadium” sasa Mkoa wa Arusha kwenye ramani za AFCON rasmi. Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia, mkoa wa Arusha umefanikiwa kupata uwanja wa kisasa wa mpira ambao unajengwa katika...
  5. Nipe Maji

    GE2025 Kamati ya makatibu wakuu yaridhishwa na ujenzi wa uwanja mpya wa mpira jijini Arusha

    Kamati ya Makatibu Wakuu inayoongozwa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi, imekagua na kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa uwanja mpya wa kisasa wa mpira wa miguu katika eneo la Olmoti, jijini Arusha. Uwanja huo unatarajiwa kuwa miongoni mwa viwanja...
  6. technically

    Serikali imempa Mwamposa kiwanja Cha umma lakini Yanga hadi leo wanasumbuliwa ujenzi wa uwanja jangwani

    Mwaka 4 huu yanga bila bila serikali ya Samia imekwamisha vibari na eneo kidogo la kuongezwa kujenga uwanja Je Mwamposa ni special kuliko taasisi zingine za umma? Vibali vya ujenzi wa uwanja kwanini serikali inavikatalia ? Kuna ajenda gani kwenye hizi Simba na Yanga serikali kukwamisha...
  7. Nipe Maji

    PreGE2025 Mtendaji Mkuu wa TANROADS afanya ukaguzi kwenye Mradi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Shinyanga na kuagiza Mkandarasi kukamilisha mradi kwa wakati

    Tarehe 16 Juni 2025, Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mha. Mohamed Besta amefanya Ukaguzi kwenye Mradi wa Ujenzi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Shinyanga na kuagiza Mkandarasi anaetekeleza Ujenzi wa Uwanja huo (CHICO) kuhakikisha anakamilisha kazi za kufunga taa za kuongozea Ndege pamoja na Kumalizia...
  8. Nipe Maji

    PreGE2025 Mtendaji mkuu TANROADS akagua ujenzi wa uwanja wa ndege Sumbawanga, ujenzi wafikia asilimia 70

    Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, Jumamosi Juni 21, 2025 ametembelea uwanja wa ndege wa Sumbawanga kukagua maendeleo ya ujenzi wake ambao unaendelea kwa kasi. Akizungumza baada ya ziara hiyo, Mhandisi Besta amesema ujenzi wa uwanja huo umefikia...
  9. M

    Ujenzi wa uwanja wa Ndege Mwanza haueleweki

    Bado kuna shida ya kasi ya ukarabati wa Uwanja Ndege Mwanza. Utekelezaji wa muundo mbinu huu hauendani na kasi aliyoiagiza Rais. Tatizo ni nini huu uwanja?
  10. Ojuolegbha

    PreGE2025 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Uwanja

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Musoma, mkoani Mara, leo Jumatano tarehe 23 Aprili 2025.
  11. upupu255

    PreGE2025 DC: Watumishi mnaojenga Uwanja wa Ndege Sumbawanga acheni wizi, huu sio Mradi wa Mchina

    Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Nyakia Ally Chirukile amekemea vikali ubadhilifu unaofanywa na watumishi wanaotekeleza ujenzi wa Uwanja wa Ndege Sumbawanga. Akizungumza na wafanyakazi hao Machi 21, 2025 wakati wa ziara ya kushtukiza Chirukile amesema kuna ubadhilifu unaofanywa na baadhi ya...
  12. Pfizer

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), yalidhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Augustine Vuma, leo Alhamisi Machi 20, 2025 imetembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga, ambapo imeeleza kuridhishwa na hatua iliyofikiwa ya asilimia 75 ya...
  13. Roving Journalist

    Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga wafikia Asilimia 75, kukamilika Juni 2025

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), kuwa kiwanja cha ndege cha Shinyanga kitakamilika mwezi juni mwaka huu. Amesema hadi sasa ujenzi wa kiwanja hicho umefikia asilimia 75 ambapo njia za kuruka na kutua ndege...
  14. Just Pray

    Mkataba wa ujenzi wa uwanja wa ndege Serengeti wasainiwa

    Mkataba wa Ujenzi wa Kiwanja cha Kimataifa cha Ndege Wilayani Serengeti umesainiwa Februari 27,2025 Jijini Dar Es Salaam Utekelekezaji wa Mradi huo utasimamiwa Mhandisi Mshauri na Kampuni Binafsi ya 7-Engineering kwa kushirikana na Intairplan GMBH na Project Plus (T) LTD, kwa gharama za Sh 1.3...
  15. Waufukweni

    PAC yabaini madudu ujenzi wa uwanja wa ndege wa Msalato

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imebaini kasoro kadhaa katika utekelezaji wa Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, jijini Dodoma, zikiwemo ajira kwa wahandisi wasiosajiliwa, ujenzi bila vibali, ongezeko la gharama, na ucheleweshaji wa malipo. Mwenyekiti wa PAC...
  16. Pfizer

    Dodoma: Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu yaridhishwa na ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa msalato

    Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato unaendelea kwa kasi, huku sehemu ya njia ya kuruka na kutua ndege (runway) ikiwa imefikia asilimia 90 ya utekelezaji. Hii ni hatua muhimu kuelekea kukamilika kwa mradi huu mkubwa wa miundombinu unaotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya...
  17. Just Pray

    Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa wafikia asilimia 93 ukigharimu bilioni 68, rasmi kuanza kutumika Februari 22, 2025

    Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa, ulio katika Kata ya Nduli, Mkoani Iringa, umefikia asilimia 93 ya ukamilifu na umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 68. Kwa sasa, uwanja huo uko tayari kwa matumizi, huku safari za ndege kubwa zikitarajiwa kuanza rasmi tarehe 22 Februari 2025. Hayo...
  18. Waufukweni

    VIDEO: Ujenzi wa Uwanja wa AFCON Arusha wafikia 25%

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya mashindano ya Fainali za AFCON 2027 umefikia 25% za ujenzi wake. Msigwa amesema hayo leo tarehe 3 Februari...
  19. Waufukweni

    Gerson Msigwa: Ujenzi wa Uwanja wa AFCON Arusha wafikia zaidi ya 16%

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za AFCON 2027 unaendelea vizuri licha ya mvua kubwa zinazonyesha na sasa umefikia 16% za...
  20. Waufukweni

    Picha: Mwonekano mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, utakaotumika kwenye michuano ya AFCON 2027

    Matukio mbalimbali katika picha wakati Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Methusela Ntonda alipokwenda kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, wakati wa kikao kazi cha mwezi cha maendeleo ya mradi huo. Ntonda alikuwa ameambatana na...
Back
Top Bottom