Ufisadi ambao ulikuwepo tukaufumbia macho umekuwa na umekuwa kwa kiasi kikubwa sana mpaka mamlaka ambazo unategemea zitakuwa mbele kukemea na kuchukua maamuzi sahihi juu ya haya mambo zinakaa kimya, hivyo hakuna namna zaidi ya sisi wananchi wenyewe kusimamia hili jambo mpaka tufikie mwisho wake...
Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru kusitishwa kwa muda ujenzi wa kanisa la kudumu au jengo lolote la kidini katika majengo ya Ikulu, nchini humo.
Agizo hilo la muda pia linazuia ujenzi kama huo katika Ikulu za Rais zilizoko maeneo mbalimbali nchini au hata jengo lolote lenye mafungamano na...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Kenan Laban Kihongosi, akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa Kuu la Christ Cathedral Church, Dayosisi ya Mount Kilimanjaro na kufanikisha kuchangishwa jumla ya Shilingi...
Wakuu
=====
hakuna lingine juu ya hii misaada
Wagombea siku hizi wamepata style mpya — wanabeba mabati, cement na hela, wanajifanya wanasaidia kujenga makanisa na misikiti. Ila ukweli ni kwamba, hiyo ni kampeni kwa kificho. Wanajificha kwenye imani ili wapate kura, alafu wanapiga picha na...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Tsh. Milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu.
Akiwasilisha mchango kwa niaba ya Rais Samia, wilayani Maswa, jana, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira alisema Dkt. Samia anatambua...
Mm ni muumini wa dhana ya wajibu wa raia kwa viongozi, kama ulivyo wajibu wa viongozi kwa raia. Kama raia wema tunao wajibu kuikosoa serikali inapokosea ili ijisahihishe, vilevile tunao wajibu wa kuwapongeza viongozi wetu wanapofanya vizuri ili kuwatia moyo wafanye vzr zaidi.
Serikali...
Mwamposa anasema, kila kitu kimelipiwa na serikali,
Kuna nini nyuma ya serikali kulipia fedha zote hizi ambazo zingeweza kujenga km 15 za lami?
Angalia hii clip Mwamposa akipngea.
Tukio la leo ni la ajabu sana, sio muda mrefu titapata majibu.
Baadhi ya wakazi wanaoishi karibu na eneo linalodaiwa kujengwa Kanisa la Arise and Shine (Kawe), linaloongozwa na Apostle Boniface Mwamposa, wameeleza malalamiko yao kuhusu athari zinazodaiwa kusababishwa na ujenzi huo.
Wakizungumza Julai 1, 2025, Saa tatu asubuhi mbele ya Mkuu wa Wilaya ya...
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati limefanikiwa kupata zaidi ya shilingi milioni 210 katika harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu iliyofanyika leo Juni 7,2025 ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu...
Wakuu,
Hii kiboko, tumeanza mwakampya na Rushwa mujarab kabisaa!
Hao kumbikumbi wanavyoshangilia sasa🤦!
=====
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzani Samia Suluhu Hassan, usiku huu wakati wa ibada ya mkesha ya kuusubiri mwaka mpya wa 2025 katika kanisa la ngome ya Yesu linaloongozwa na...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan yuko tayari kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu maendeleo na ustawi wa nchi.
Dkt. Biteko amesema...
MHE. RUHORO, MBUNGE WA JIMBO LA NGARA NA WANAJIMBO KATORIKI LA RULENGE - NGARA.
💒⛪🗓️12 MAY,2024.💒⛪
Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO, Mbunge wa Jimbo la Ngara, Sekreterieti CCM 'W' na M/kiti CCM 'W' Ndg VITARIS NDAILAGIJE amefanya ziara alimaarufu OPERESHENI JENGA KANISA katika Kanisa Katoliki...
Wakuu,
Kuna anayejua matumizi ya Rais kwa mwaka? Yeye kama mtumishi wa mwananchi, raia wake tuna haki ya kujua kiasi cha mshahara anaopokea pamoja na matumizi yake.
Milioni 150 alizotoa zimetoka wapi? Zimechotwa kutoka kwenye kodi zake au ni mshahara wake?
Nini kipo nyuma ndani ya mchango...
Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyewahi kuwa Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia TZS 150,000,000/- za Ujenzi wa Kanisa
Watu waliokuwa katika Kanisa hilo wameeleza kwamba...
Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Nchi mbalimbali (kimataifa) , Bilionea Joseph Mbilinyi, leo ameshiriki ibada Maalum ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa katika Parokia ya Ruanda Jijini Mbeya .
Mbali na yeye mwenyewe kuchangia kitita kizito kitakachosogeza mbele Ujenzi wa...
Dkt. Florence George Samizi ameendelea kuwa mstari wa mbele kushiriki shughuli mbalimbali za maendeleo na kijamii katika Jimbo lake la Muhambwe mkoani Kigoma na wikendi hii Jumapili alishiriki misa takatifu iliyoendeshwa.
Mhashamu Baba Askofu wa Jimbo Kuu la Kigoma, Joseph Mlola kisha kushiriki...
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara wa kimataifa, Mwekezaji na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph Mbilinyi , leo amefika kwenye kanisa la KKAM , Parish ya Isanga na kushiriki Harambee ya Kanisa hilo.
Sugu amechangia kitita kizito mno baada ya kushinda mnada wa kuku...
Wabunge maarufu wa viti Maalum Halima Mdee na Esther Bulaya kwa pamoja wamechangia Tsh 9 million kwa ajili ya Ujenzi wa Kanisa
Mungu wa mbinguni awabariki
Chanzo: Clouds Media