Waswahili waliposema ukivuliwa nguo chutama hawakuwa wamekosea kabisa.
Muda mchache ujao Msemaji wa Serikali anaenda kuongea na Waandishi. tena baada ya CNN kutoa habari ya kutisha kuhusu mauaji yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama wakati na baada ya Uchaguzi wa mwaka huu.
Tuhuma...
Japo hii ni hypothesis, mambo hubadilika na visivyotegemewa hutokea. Hivi itakuwaje kama Samia atabwagwa na vibaraka wake aliowaweka ili kuhalallsha uchafuzi wa demokrasia uitwao uchaguzi?
Wazee, kuna hii habari nzuri kwa wapenzi wa Formula 1.
Tumezoea kuona team 10 kwenye F1 Grand Prix, ila kuanzia mwakani 2026 zitakua 11 ikiongezeka ya Cadillac, ilio chini ya General Motors (GM), Ila watatumia power unit na gearbox kutoka kwa Ferrari.
Habari nzuri haijaishia hapa, ila ni...
Kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa), haki za kisiasa na za kijamii zimewekwa wazi, ikiwa ni pamoja na uhuru wa vyama vya siasa kushiriki katika shughuli za kisiasa kwa mujibu wa Ibara ya 20(1) inayosema:
“Kila mtu anao uhuru wa kuungana...
Kamari zimetapakaa hadi kwenye vitongoji vya vijijini kila mahali penye umeme nchini. Redio zote kuanzia za umma na watu binafsi zote ni kamari tu. Kijijini nimeshuhudia kijana kauawa kwenye dubwi kwa kugombea TSH 4000 tu wakati wakibishana juu ya nani amekula, ni za nani.
Wanafunzi wanabet...
Wakuu,
Ngungu kama ngungu, maono ya simba sc yamebebwa na huyu mwamba, ukimuangalia tu kwa jicho la kawaida unaona kabisa ni tapeli pamoja na jopo lake lote.
Nadiriki kusema, kama huyu mwamba pamoja na jopo lake hawatong’atuka simba sc, ni vilio tena. Kwanza wapinzani wao wanawamudu.
Kugungwa...
A matter above is concerned,
Msimu huu wa NBC premier league umekuwa wa kituko Sana hasa referees wa league yetu ni shida.
Moja ya matukio ya ajabu ni offside na watu kufunga hadi na mikono na wanufaika wakubwa ni Yanga na Simba.
Msimu umeisha Yanga ilijipangia nani awe referee wa mchezo...
Tangu aingie madarakani, rais Samia Suluhu Hassan amekuwa na bifu na baadhi ya wanachama wenzake. Alianza na Job Ndugai spika wa zamani wa bunge letu. Baadaye, akafuatia Dk Bashiru Ally akiwakilisha kile kilichokuja kujulikana kama Sukuma gang. Juzi alianza bifu na Josephat Gwajima kidhabu...
Malalamiko ya mashabiki wa yanga ni mengi sana kwa sababu mipango yao ya kuwa mabingwa wanaona inakuwa migumu licha ya kuwekeza sana kwenye timu pinzani na kufikia kutengeneza baadhi ya timu za kuipa pointi kama ilivyo kwa Singida big stars.
Malalamiko yamekuwa dhidi ya waamuzi hususan...
Huku mitaani kuna viongozi wa CCM wanatembea na mafungu ya vitambulisho vipya vya wapiga kura, vitambulisho hivi ni vinavyotengenezwa kinyume na utaratibu na siyo kutengenezewa, hapa mamlaka husika na vitambulisho zinahusika.
Mkakati unaendelea kupangwa hivyo kwa maana kuwa CHADEMA wanaona ni bora CCM waibuke na ushindi wa zaidi ya 95% ili kujustify hoja yao ya CCM kujipachika uongozini.
Hili litazidisha vuguvugu kuonesha kuwa Uchaguzi haukuwa wa huru na wa haki hata kama Tume na Wasimamizi wa Uchaguzi wataamua...
Tuweke mengine yote pembeni tuangalie namba zinasemaje.
Baada ya ushindi mnono wa leo wa Simba dhidi ya Pamba, ni rasmi sasa Simba imejihakikishia tiketi ya kucheza mashindano ya CAF ya Klabu Bingwa msimu ujao.
Timu ambazo bado zinawania tiketi ya pili ya kucheza mashindano hayo ni Azam...
Kama ukifuatilia siasa zilivyoenda kwa trump hadi kushinda uraisi ni pamoja na kesi zilizokuwa ziki mkikabili kumpush hadi ikulu na kufanya uchaguzi ule kufuatiliwa zaidi duniani.
Tukiangalia kesi ye lissu iliyotokana na kuhamasisha kwake mageuzi ya kiuchaguzi na kufunguliwa mashtaka ya uhaini...
Wenye mamlaka za soka Tanzania inabidi watulie na wawasome hawa Yanga na nini hasa wanataka kufanya wanaposema wanasusia derby.
Yanga wameshapiga mahesabu kuwa hawawezi kushushwa daraja hata wafanye makosa gani hata yale ambayo adhabu yake ni kushushwa daraja.
Pia wanajua CAFCL ni mashindano...
Mheshimiwa Rais Daktari, mbemba maono, kipenzi cha Watanzania Samia Suluhu Hassan,
Naomba unijibu maswali haya kuhusiana na msimamo wako juu ya uchaguzi ujajo uliosema utakuwa wa amani.
Amani vipi bila maridhiano ya namna ya kuufanya?
Amani vipi wakati polisi wanatumika vibaya na kinyume cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.