uhusiano wa kidiplomasia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso yavunja Uhusiano wa kidiplomasia na Ufaransa

    Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso imevunja uhusiano wa kidiplomasia na Ufaransa rasmi kuanzia Juni 26, 2026, nchi ambayo ilikuwa mtawala wao wa zamani wa kikoloni, ukiishutumu kwa kuendelea kufanya mambo yanayokwenda kinyume na maslahi yake. Taarifa iliyotolwa na Serikali hiyo ya kijeshi...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ateta na Bi. Hooker wa Wizara ya Mambo ya Nje Marekani

    WAZIRI KOMBO ATETA NA BI. HOOKER WA WIZARA YA MAMBO YA NJE MAREKANI. Tanzania na Marekani zimeonyesha dhamira ya kuendeleza uhusiano wa kidiplomasia baada ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), kukutana na Afisa Mkuu wa Masuala ya Kisiasa...
  3. Fene

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda kukata uhusiano wa kidiplomasia na Uturuki

    Mkuu wa Majeshi ya Uganda na mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amezua taharuki mpya ya Kidiplomasia baada ya kutoa maonyo makali dhidi ya Uturuki kutokana na uhusiano unaozidi kuwa mbaya kati ya nchi hizo mbili. Katika msururu wa machapisho yake kwenye X (zamani...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Somalia yakatiza uhusiano wa kidiplomasia na Umoja wa Falme za Kiarabu

    Somalia imetangaza kukatiza uhusiano na Umoja wa Falme za Kiarabu, na kufuta makubaliano yote ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili. Katika taarifa iliyotolewa baada ya kikao cha baraza la mawaziri siku ya Jumatatu, Baraza la Mawaziri limesema kuwa limebatilisha mikataba yote iliyofikiwa na...
  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Bara la Afrika kugombewa kama "kigoli"

    Mikutano ya Viongozi wetu wapendwa , wazalendo, wamekuwa wakizunguka duniani kututafutia maendeleo. Kumekuwa na mikutano ya nchi za ulaya na Africa, Hapa chini nimeweka nchi zilizoita wakuu wa nchi za afrika. Mwezi huu wa 9 mwaka 2024 inasemekana wapo CHINA , kuimarisha ushirikiano. France...
Back
Top Bottom