uhuru wa vyombo vya habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Mkurugenzi wa TBC Ayub Rioba: Rais na CCM wataonekana sana kwenye habari za TBC kwa sababu watu wengi wanataka kujua wanafanya nini

    Wakuu, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ameitaka jamii kutambua kuwa shirika hilo ni mali ya umma na si mali ya chama chochote cha siasa. Hata hivyo, amesisitiza kuwa ni muhimu kufahamu kuwa kwa chama kilichopo madarakani pamoja na serikali yake...
  2. McLaren

    Serikali ya Uganda yapiga marufuku vyombo vya habari kurusha "live" habari za maandamano

    Serikali ya Uganda imeweka masharti mapya yanayozuia vyombo vya habari kurusha matangazo ya moja kwa moja ya maandamano siku chache kabla ya uchaguzi wa rais unaotarajiwa kufanyika Januari 15, 2026. Kupitia agizo lililotolewa Januari 5 na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  3. Agent-47

    PostGE2025 Seneta wa Mahusiano ya Nje Marekani Jim Risch: Akaunti za Mange Kimambi kufungiwa na Meta kwa shinikizo la Serikali ya Tanzania haikubaliki

    “Nakaribisha ombi la Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani kuhusu ombi langu la kukagua uhusiano wa Marekani na Tanzania. Hali inayoendelea Tanzania inasikitisha sana na inatishia utulivu na usalama wa eneo muhimu. Ukandamizaji huu wa kishenzi, ikiwemo kesi dhidi ya viongozi Wakristo, unahitaji...
  4. tonicimmobility

    PostGE2025 Hakuna gazeti la Bongo lililoandika kuhusu aliyoongea Fr Dkt. Kitima jana, na Msigwa anasema kuna Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Tanzania bwana, viongozi kila siku wanaimba nchi yetu kuna uhuruwa vyombo vya habari na hakuna gazeti la Bongo lililoandika kuhusu aliyoongea fr Dkt. Kitima jana na Msigwa kila siku anakesha kusema Tanzania kuna Uhuru wa Vyombo vya Habari, uhuru gani sasa huo? Siku mkija kukiri kuwa uongozi...
  5. McLaren

    Mahakama Kuu Kenya yafuta agizo la Mamlaka ya Mawasiliano lililozuia vyombo vya habari kurushalive habari za maandamano

    Mnakumbuka kwenye maandamano ya Gen Z Kenya mwaka jana, Serikali ya Ruto ilikuwa inazuia vyombo vya habari live maandamano yaliyokuwa yanaendelea? Sasa leo Mahakama Kuu ya Kenya imetoa agizo la kukomesha kitendo kama hicho kutokea mbeleni Mahakama Kuu ya Kenya imetengua agizo lililotolewa na...
  6. Fbn

    PostGE2025 Naomba kuuliza hivi wale wanaoitisha vyombo vya habari na kusema ni wanaunga mkono utawala maana mpaka sasa tunasemewa na chama cha wananchi

    Script hizi yani mpaka sasa kuna mtanzania anakusemea kuwa unachama cha utanzania acha cha boda boda,vyama pinzani na vengine. Ile script ambayo kiliitsha vyombo vya habari kuwa chama kidini leo mkiuliza BAKATWA wanaweza kusema sio wao.
  7. W

    Pope Leo XIV atoa wito kwa vyombo vya habari kutojitenga na ukweli

    Wakuu natamani vyombo vyetu vya habari ujumbe huu uwafikia pia. Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Leo XIV kupitia ukurasa wake wa X amevitaka vyombo vya habari haviwezi na havipaswi kujitenga na ukweli. === "The media cannot and must not separate itself from the destiny of truth...
  8. McLaren

    GE2025 CNN inaandaa ripoti ya mauaji yaliyofanywa na Polisi kwenye maandamano. Larry Madowo awataka Watanzania wamtumie ushahidi

    Wakuu Hii issue ishakuwa serious -------------------------- Mtangazaji wa CNN, Larry Madowo, ametoa wito maalum kwa wananchi wa Tanzania ambao wamepata matukio ya polisi na magenge yake kupiga risasi na kuwaua raia wakati wa maandamano ya amani Oktoba 29,, kutuma video, picha na nyaraka...
  9. M

    GE2025 Vyombo vya Habari Tanzania kuipa kisogo 'speech ya Askofu Gwajima; Ni kwa maslahi ya nani?

    Zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, ghafla anaibuka mwanasiasa ambaye pia ni Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima na kutoa msisitizo wa baadhi ya mambo yanayoendelea kuelekea uchaguzi mkuu. Katika hotuba yake...
  10. McLaren

    Andrew Kisaka wa TCRA: Wiki 2 zilizopita tulikaa na Tiktok kujadili kuhusu maudhui yasiyofaa

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari Kanda ya Mashariki Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, Meneja wa Kitengo cha Huduma za Utangazaji wa TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka amesema kwamba mara kwa mara wamejaribu ku-engage na baadhi ya mitandao ya kijamii ili kujadili...
  11. Tauceti Rigel

    Ukiwasikiliza Kina Maulid Kitenge kwenye hii Morning Show ya Wasafi Utaelewa kwanini wananchi wana hulka ya Mazombie

    Kipindi Cha Asubuhi, Mazungumzo ya Maudhi: Tunalelewa na Vyombo vya Habari au Tunadhalilishwa? Je, tumewahi kukaa chini kama taifa na kujiuliza: tunapata nini tunapowasha redio zetu asubuhi? Ni maarifa, ni uelewa, ni mwelekeo wa kujenga taifa au ni mzaha, upuuzi na mazoea ya kihuni...
  12. Cute Wife

    PreGE2025 Tuzo za Kalamu ya Samia zimezika Uhuru wa Vyombo vya Habari, kuna aliyepewa tuzo atakuwa na ubavu wa kumkosoa Rais?

    Wakuu, Katika aliyepewa tuzo pale kuna ataweka kitu ambacho kinaenda kinyume na Rais ama jambo la wapinzani ambalo wanajua litamkera Rais? Mwananchi/The Citizen ikanyamazishwa shwaaaa na milioni 20 pamoja na washindi wa kategoria! Halafu Rais Samia akamalizia na msumari wa mwisho; "Kuweni...
  13. Blasio Kachuchu

    Tanzania yapanda katika viwango vya uhuru wa Vyombo vya Habari duniani

    Na Mwandishi Wetu, JAB Tanzania imepiga hatua katika viwango vya kimataifa vya Uhuru wa Vyombo vya Habari, kwa kupanda kutoka nafasi ya 97 mwaka 2024 hadi nafasi ya 95 mwaka 2025. Kwa mujibu wa Ripoti ya Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka (Reporters Without Borders – RSF) iliyotolewa tarehe 2...
  14. Just Pray

    Gerson Msigwa: Mwandishi wa Habari mnyime kila kitu lakini mpatie uhuru wake

    "Mwandishi wa Habari mnyime kila kitu lakini mpatie uhuru wake kama Mwandishi na usimnyanyase kwenye majukumu yake ya kazi. Nawapongeza Waandishi wa Habari kwa kuendelea kufanya kazi hata katika mazingira magumu. Nawapongeza Waandishi wa Habari kwa kuendelea kulinda matumaini ya Waandishi wa...
  15. Blasio Kachuchu

    Serikali itafanyia kazi haraka maazimio ya kongamano la uhuru wa vyombo vya habari- Msigwa

    Wadau na Waandishi wa Habari wakifuatilia uwasilishaji wa mada na majadiliano katika siku ya kwanza ya Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari lililofanyika leo tarehe 28 Aprili, 2025 jijini Arusha. Na Mwandishi Wetu. Serikali imesema itahakikisha inafanyia kazi...
  16. mwanamwana

    PreGE2025 Vyombo vya Habari visitumike kudhoofisha vyama vya upinzani. Vitangulize weledi kwa maslahi ya umma

    Katika siasa za Tanzania, vyombo vya habari vina nafasi kubwa ya kuathiri mitazamo ya wananchi. CCM imekuwa na ushawishi mkubwa juu ya baadhi ya vyombo hivyo, hali inayodhoofisha upinzani. Kwa mfano, vyombo vingi vinatangaza mafanikio ya CCM huku vikifunika au kupotosha taarifa za wapinzani...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Tundu Lissu: Vyombo vya Habari havitendi haki kwa Vyama vya upinzani, vyote vinakuwa vya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) amesema Vyombo vya Habari vyote nchini havitendi haki katika kuripoti masula ya Uchaguzi kwa vyama vikuu vya upinzani. Soma: Hali ya Vyombo vya...
  18. mwanamwana

    PreGE2025 Tathmini ya Vyombo vya Habari kuhusu kuripoti matukio ya kisiasa nchini Februari 2025

    Kwa Mwezi Februari 2025, vyombo vya habari vilivyo vingi binafsi naona vimeendeleza kukibeba chama tawala huku vikigandamiza vyama vingine katika usawa wa kuripoti matukio ya kisiasa. Kuna baadhi ya vyombo kama Wasafi vilifikia kubrand magari yao kwa rangi za CCM, vilipohudhuria mkutano mkuu wa...
  19. mwanamwana

    Jenerali Muhoozi Kainerugaba: Ofisi yangu kuanza kufanya ukaguzi wa vyombo vyote vya habari nchini

    Jenerali Muhoozi Kainerugaba, Mshauri Mkuu wa Rais wa Uganda kuhusu Operesheni Maalum, hivi karibuni alitangaza kuwa ofisi yake itaanza kufanya ukaguzi wa vyombo vyote vya habari nchini, kwa mujibu wa maelekezo ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais Yoweri Museveni. Muhoozi alisema kuwa wakurugenzi wakuu wa...
  20. Mindyou

    Mwandishi wa habari wa Ayo TV, Eugene Peter amepotea na hajulikani alipo. Familia yake inamtafuta

    Mwandishi wa Habari Eugen Peter anatafutwa na Familia yake pamoja na Ofisi yake ya Ayo TV Dar es salaam baada ya kutoweka bila kujulikana alipo leo ikiwa ni siku ya tisa. Mara ya mwisho Eugene alionekana mazingira ya nyumbani kwake Jumapili December 29,2024 majira ya saa mbili usiku. Familia...
Back
Top Bottom