uhuru wa maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Hivi Tanzania kwasasa kweli kuna uhuru wa maoni (Freedom of Speech)?

    Hivi siku hizi Tangu waingie madarakani kuna Uhuru kweli wa maoni? Maana ukiisema Serikali Mama Mkwe naye anakuja na vijembe, huku Mkwe nae anakuja na maelekezo usisahau kuna Swaiba wa Mama anaitwa Baba Keagan nae anakuja na ngonjera zake. Watu tukisema Katiba mpya ni muhimu ili kurudisha...
  2. tpaul

    Mayalla: Walinilazimisha kukiri kosa

    Katika video inayozunguka kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, inamuonyesha mwandishi wa habari nguli ambaye pia ni mwanasheria na mwanaJF ndugu Pascal Mayalla , akidai kuwa alilazimishwa kukiri kosa alipoitwa na JAB kujitetea kwanini ametoa maoni yasiyopendwa na utawala kuhusu tukio moja la...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Pascal Mayala: Mamlaka zetu azijifunzi kutafsiri Katiba kwenye Uhuru wa Maoni, ukitoa maoni yasiomfurahisha kiongozi basi itakuwa ni makosa

    Mazungumzo kati ya mwandishi wa DW Kiswahili, Sudi Mnette alipokutana na mwandishi na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Pascal Mayala ambaye anaelezea sakata lililomkabili siku chache zilizopita. Soma Pia: JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba aliwaonea wivu...
  4. Sifi Leo

    Pascal Mayalla na mwenzake waendeleza ligi dhidi ya JAB, Asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila uhuru wake wa kutoa maoni usiingiliwe

    Ngoma bado NZITO, ahahahaa Pascally Mayalla na mwenzake kupitia jambo Tv wako liveeeee! Pascally asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila hawaogopi, asema uhuru wake aliopewa na katiba ibara ya 18 uheshimiwe usiingiliwe. Soma JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba...
  5. Mindyou

    Urusi yaifungia WhatsApp baada ya WhatsApp kushindwa kufuata sheria za nchi hiyo

    Urusi imezuia matumizi ya huduma ya ujumbe ya WhatsApp ikidai kampuni hiyo imekiuka sheria za nchi, huku wananchi wakihimizwa kuhamia kwenye jukwaa mbadala linaloungwa mkono na serikali, hatua inayotafsiriwa na wengi kama njia ya kudhibiti uhuru wa kujieleza wakati wa vita vya Ukraine. Msemaji...
  6. Waufukweni

    PostGE2025 Jaji Warioba: Sasa hivi kuna uoga mkubwa sana wa kusema ukweli

    Jaji Joseph Warioba amezungumza kupitia Jamhuri TV ambapo amesema sasa hivi kuna uoga mkubwa sana wa kusema ukweli.
  7. P

    Msaada kwa wanasheria: Nataka kuishtaki TCRA kwa kuendelea kuifungia Jamii Forums

    Ndugu wanasheria wote mlioko humu naomba mnipe muongozo juu ya jambo hili kwani kila kitu kipo wazi toka September jukwaa hili lilifungwa na December hii ilitakiwa lifunguliwe lakini bado. Sasa kama JamiiForums ilitimiza hukumu na sisi Wanajamiiforums, TCRA haijatimiza wajibu wake hvyo kuna...
  8. Abraham Lincolnn

    Unathubutuje kuwafungia wananchi comments katika kurasa rasmi za Ikulu na taasisi zingine za Umma? Hii inathibitisha kuna shida kubwa pahala

    KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA IBARA YA KWANZA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi moja na ni Jamhuri ya Muungano. Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa inayofuata misingi ya haki, uhuru, na usawa. Mamlaka ya nchi yote ni ya wananchi na Serikali itapata...
  9. Cute Wife

    GE2025 Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?

    Wakuu, Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
  10. W

    GE2025 Mama Ramso: Yapata wiki mbili sasa wananizungusha tu lakini mwanangu sijamuona. Naomba mnisaidie apatikane

    Ramso ni msanii wa vichekesho na mtoto wa pekee kwa mama yake, ambaye inasemekana ametekwa na watu wasiojulikana baada ya kuposti video akimtaka Rais Samia ajiuzulu kwani hakuna anayemtaka. Mama yake ametoka hadharani kuomba msaada wa mwanaye kupatikana ikiwa ni wiki mbili toka mwanaye...
  11. W

    GE2025 Mgombea Udiwani Ilala: Atakayemkwamisha Samia tutaanza naye kabla yake

    Mgombea udiwani wa kata ya ilala Saady Khimji( Home Boy) amesema Chama Cha Mapinduzi, CCM Kinafanya jitihada kubwa ya kuinadi ilani yake kupitia majukwaa na Kampeni mbambali zinazofanywa na Wagombea wa Chama hicho Akizungumza Leo Oktoba 18, 2025 katika Mkutano wa kuwatambulisha na kuwanadi...
  12. Setfree

    PreGE2025 Yesu hakuwatukana Watawala. Hata aliposikia Yohana amekatwa kichwa, alinyamaza. Kwanini?

    Yesu alipokuwa duniani, nchi aliyokuwa akiishi ilikuwa chini ya utawala wa Dola ya Kirumi. Wakati Yesu anazaliwa, Herod the Great, ndiye aliyekuwa Mtawala. Huyo ndiye aliyeamuru watoto wa Bethlehemu wauawe ili Yesu aangamie. Baadaye alitawala Herod Antipas, Mwana wa Herod the Great. Huyu...
  13. B

    Wakili Kibatala: Waumini 84 wa Gwajima waliokuwa wamekamatwa waachiwa kwa dhamana, 2 bado wanashikiliwa na polisi

    Waumini wamejua kuonesha umoja ambao watanzania wengi tunakosa, inabidi tuchukue mfano huu kutoka kwao. Maelfu kwa maelfu tukikemea uonovu wataweza kukamata nchi nzima? ==== Wakili wa utetezi wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, Peter Kibatala amesema waumini...
  14. Lord Denning

    Ujumbe kwa Mbunge Msukuma: Kama unataka tuwaige China tusiiche kubana Uhuru wa Maoni, Tuwaige basi hadi Kuwanyonga na kuwapiga risasi Mafisadi

    Nimemsikiliza Mbunge Msukuma. Amempinga sana Gwajima kwa hoja nzito alizozitoa mbunge wa Kawe. Msukuma hakuishia hapo alisema Tanzania inaenda mwendo wa China kunyima uhuru wa maoni ili kumruhusu Rais afanye kazi yake. Sasa mimi namwambia Msukuma. Kama anataka tuwaige China basi tuwaige na...
  15. King Kong III

    PreGE2025 Video za Askofu Gwajima zafutwa Youtube

    Umuofia Kwenu wana JF, Nimejaribu kupitia link karibu tatu zilizorusha Stream ya Askofu Gwajima ,Zote zimefutwa. Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
  16. X

    PreGE2025 Bila VPN hauwezi kuingia X (Twitter) Tanzania. Vipi huko mnaotumia Facebook na Instagram?

    Ndio nashtuka now kila nikijaribu kuingia X inagoma nikasema ngoja nijaribu na vpn imooo! Wajuvi wa mambo tujizeni nini kinaendelea?
  17. UHURUWANGU

    Nchi yenye hofu ya Wananchi wake kusema ukweli si nchi bali ni gereza. Na Tanzania ya sasa inazidi kugeuka kuwa hivyo

    “Udhibiti wa Uhuru wa Maoni na Habari”— ambayo ni nguzo muhimu ya demokrasia na ukombozi wa kifikra. Nchi yenye hofu ya Wananchi wake kusema ukweli si nchi bali ni GEREZA. Na Tanzania ya sasa inazidi kugeuka kuwa hivyo: mahali ambapo kusema ni HATARI, na kunyamaza ni SALAMA. Mitandao ya...
  18. J

    MJADALA: AI na Kesho ya Vyombo vya Habari: Fursa au Tishio?

    Kadiri Teknolojia ya Akili Mnemba (AI) inavyoendelea kukua kwa kasi katika maisha yetu ya kila siku, sekta ya Habari nayo haijaachwa nyuma. AI inabadilisha namna tunavyokusanya, kuchakata na kusambaza taarifa. Lakini je, inaathiri vipi Uhuru wa kujieleza? Inasaidia au inahatarisha Uadilifu wa...
  19. Mindyou

    Maria Sarungi: Nilitekwa nikiwa natoka saluni. Lengo lilikuwa ni kunivusha lakini hawakufanikiwa

    Wakuu, Kama alivyotuahidi jana, siku ya leo Mwanaharakati nguli Afrika Mashariki, Maria Sarungi atazungumza kinaga ubaga kuhusu namna alivyotekwa mpaka kupatikana kwake. Bado haijaeleweka hadi sasa kama atazungumza kwa kujirekodi video kueleza nini hasa kilitokea, atatengeneza thread ya...
  20. Cute Wife

    PreGE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

    Wakuu, Kupitia ukurasa wake wa X, Fatma Karume ameweka post ya kuwashukuru wote waliyohakikisha Sarungi anakuwa salama, na kwamba ameambiwa Sarungi amerejea nyumbani kwake. Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi
Back
Top Bottom