uhuru wa kweli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Je, Afrika Ilipata Uhuru wa Kweli?

    Watu wengi wakisikia “ukoloni” wanafikiria wazungu walifika Afrika na bunduki tu wakaanza kuteka maeneo kwa nguvu moja kwa moja. Ukweli ni kwamba sehemu nyingi ukoloni uliingia taratibu sana kupitia biashara, mikataba na ushawishi wa viongozi wa maeneo husika. Wazungu walipofika walijenga...
  2. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Si kile kinachoandikwa tu,bali maisha yenyewe ya mtu ndo maandiko ya kweli. Na Kalooist atakapoanza kuhoji huo ndo mwanga na uhuru wa kweli

    Mwanajamvi ni nani?,mwanajamvi ni nini?,mwanajamvi yuko wapi? Kalooist ni nini ni nani?,Kalooist yuko wapi? Mungu ni nini na nani na yuko wapi? Dunia ni nini, ni nani na iko wapi?au ndo nini tofauti na bustani(enclosed area) ya Edeni( eneo liletalo furaha) ya watu tangu asili ya...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Huwezi pigania Uhuru kwa kujificha na fake ID. Uhuru wa kweli unapiganiwa waziwazi! Uhuru haupiganiwi na watu waoga

    Hamjambo wote! Moja ya mambo yanayokwamisha ukombozi katika mataifa ya Afrika ikiwemo Tanzania ni Pamoja na Harakati za Woga za kupigania Uhuru katika Jambo Fulani ndani ya nchi. Huwezi pigania Uhuru ukiwa haupo Huru(ukiwa umejificha) Hakunaga uhuru unaopatikana Kwa watu kujificha yaani...
Back
Top Bottom