Hivi hawa wahuni wa CCM wanawezaje kutuziba midomo tusiongee? Uhuni na ukatili wanaotufanyia watanzania?
Wameua ndugu zetu gizani ushaidi tunao kwenye simu zetu halafu hao wahuni wa CCM bila aibu mnasimama mbele ya vyombo vya habari na kupinga mauaji mliofanya?
Oya hii nchi sio ya mama zenu na...
Siku ya jana kijana mmoja muathirika wa vitendo vya utekaji alitoa lugha kali na ya matusi mazito dhidi ya taasisi fulani na viongozi wake akijibu taarifa waliokua wameitoa kwa umma kupitia mtandao wa x.
Leo tena, mtu mwingine katoa tusi zito dhidi ya kiongozi mkubwa sana(sitamtaja hapa)...
“Sitaki kuamini kwa wasomi kama wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na vijana wengine wa Kitanzania kama sisi tunaojitambua na kujielewa, tutashindwa kuifuatilia historia ya nchi hii (Tanzania), na kwa sasa kwa sababu ya uongozi tulionao na kama kawaida ya nchi yoyote, nchi yetu inaongozwa pia na...
Uhuru wa kuzungumza ni muhimu katika mfumo wa kisiasa wa demokrasia. Demokrasia ni mfumo wa kisiasa unaowezesha wananchi kushiriki katika uchaguzi na kuwa na sauti katika maamuzi ya serikali. Uhuru wa kuzungumza ni moja ya vipengele muhimu vya demokrasia, kwani unawezesha wananchi kutoa maoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.