uholanzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Niliwahi kufanya kazi katika kampuni iliyokamata ndege ya Tanzania Uholanzi. Kauli hii inakupa hisia gani?

    Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi. Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be kuna Watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ndege aina ya Airbus A220 ya (ATCL) ilifikaje nchini Uholanzi na kukamatwa?

    Nimelala nikakosa usingizi usiku wa leo nikiwaza, ndege yetu ya Tanzania ilifikaje Uholanzi? 1. Hatuna route ya kwenda Uholanzi 2. Hakuna connection useme ilipitia huko ikakamatwa 3. Haikwenda kwa matengenezo ikakamatwa 4. Ndege zote kubwa zimepakiwa kisingizio injini ni mbovu Kumbe...
  3. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini Uholanzi

  4. beth

    JamiiForums Tanzania Urusi yawafukuza Wanadiplomasia 31 kutoka Uholanzi, Ubelgiji na Austria

    Taifa hilo limewataka Wanadiplomasia 31 kutoka Nchi Tatu kuondoka siku kadhaa zijazo. Wizara ya Mambo ya Nje imeagiza Wanadiplomasia 15 wa Uholanzi kuondoka ndani ya siku 14 Agizo hilo pia limetolewa kwa Watumishi wa Ubalozi wa Ubelgiji baada ya Nchi hiyo kuwafukuza Wanadiplomasia 21 wa Urusi...
  5. FAJES

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 yaliyopo Ulaya, hasa hasa Sweden, pengine kwako ni mageni, na ungependa kuyafahamu

    Wakuu, heshima kwenu.! Kama ilivyo ada, JF ni kisima cha habari, stories, ucheshi na mengineyo. Ili kuifanya JF iendelee kuwa kisima cha taarifa, naomba nami leo ku-share mawili matatu kuhusu mada tajwa hapo juu. 1) Kwa muda wote niliopo huku, miaka mitatu sasa, nimesafiri na kutembea maeneo...
  6. Echazzy

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kufanya mapenzi hadharani inaruhusiwa Uholanzi, tena kweupe sio gizani?

    KUFANYA MAPENZI HADHARANI INA RUHUSIWA KATIKA JIJI LA AMSTERDAM katika nchi ya Uholanzi. [emoji117]Ndio unaruhusiwa kufanya mapenzi hadharani ukiwa katika jiji la Amsterdam Nchini Uholanzi ISIPOKUWA ni kwenye maeneo maalumu tu nazo ni maeneo ya bustani. Moja ya bustani maarufu nchini Uholanzi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mbeya: RC Homera akutana na Balozi wa Uholanzi, ampa mambo makuu matatu

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uholanzi nchini Bwana Wieber de Boer. Mhe Homera katika mazungumzo yake amempa Balozi Boer mambo matatu ili kusaidia katika sekta ya kilimo katika maeneo ya kilimo cha mboga mboga, matunda, chai na kahawa...
Back
Top Bottom