ugunduzi

Baisikeli Ugunduzi is a for-profit social business that specializes in bicycle components for the Sub-Saharan African market. Baisikeli Ugunduzi means innovative or modern bicycles in Swahili. It was founded in the winter of 2011 by Ben Mitchell, whom holds a MS in mechanical engineering as is currently seeking his PhD at Michigan Technological University and John Gershenson, a professor of mechanical engineering at MTU.Baisikeli Ugunduzi is headquartered in Kitale, Kenya, Africa. It is considered a for-profit social venture, where it develops human-centered products, which seeks to raise the income of boda boda, who rely on the bicycle as a means of livelihood.

View More On Wikipedia.org
  1. FrankLutazamba

    Watu wa Vodacom, Ttcl, Tigo, Airtel, Zantel, Halotel na Celtel, fuateni ugunduzi huu ili kutatua shida ya wenye ulemavu wa macho, wasiojua kusoma nk

    Kumekuwepo na shida kubwa kwa miaka sasa ya makundi niliyoyataja hapo juu wakati wa uingizwaji wa vocha na wengine wana uoni hafifu, na wengine kusahausahau, sasa nini kifanyike ... Inabidi makampuni haya yaanzishe program itayohisi (sense) kwa kuweka ki magnetic kadogo ktk vocha na line ili...
  2. FrankLutazamba

    Huu ni ugunduzi wangu utaookoa abiria wasife ktk ajali hasa kwenye magari yenye bonet 'pua' kama VX V8, Land Cruiser za Polisi na kadhalika

    Ajali nyingi zitokeazo watu wamekuwa wakipoteza maisha hasa ktk magari yenye bonet 'pua'Kama niliyoyataja hapo juu.sasa nini kifanyike kuepusha ajali? Inabidi kati ya bonet na anapokaa dereva ziwepo spring ngumu za vyuma zile za mzunguko zinazoweza kubonyea ikitokea mgongano zisizopungua kumi...
  3. FrankLutazamba

    Viwanda tengenezeni pampasi za watu wazima maalumu tukiwa safarini, wagonjwa na wazee

    Tunaviomba viwanda vizalishe pampasi za watu wazima maalumu kwa wenye matatizo ya tumbo tuwapo safarini, wagonjwa na watu wazima sana (wazee) ila ka asilimia kumi kaingie ktk akaunti yangu. Asante.
  4. FrankLutazamba

    Ugunduzi 2020: Ili abiria wasife katika ajali ya ndege basi watengeneze viti vya kufyatuka kama marubani wa ndege vita

    Nimeliwaza wazo hili kwa kina na kuona kuwa ikiwa ndege vita marubani hupona itokeapo ajali kwa kufyatuka na kiti basi ni possible ndege za abiria kuwa na mfumo huo ila wazingatie mwavuli uwe na uwezo wa kuelea katika maji.na pia wapitishe watumishi wa ndege codes maalumu kabla ya kufyatua ikiwa...
  5. mgt software

    Dkt. Sebi kielelezo cha Waafrika kukataliwa Tiba zao. Alikufa kifo chenye utata baada ya ugunduzi wa Dawa ya UKIMWI

    WanaJF, Mfahamu Dr. Sebi: Mwafrika Aliyetibu Ukimwi Wazungu Wakamla Kichwa! Alfredo Bowman maarufu kama Dr. Sebi, hakutibu ukimwi tu, alitibu hadi kansa na kisukari biashara za watu, wakamfugulia jumla ya kesi 2,781 akashinda zote, akaja kubambikiziwa zengwe la utakatishaji fedha, akatupwa...
Back
Top Bottom