Wataalam wameonya hakuna chanjo za kutosha nchini humo.
Ugonjwa wa ukambi ama Surua umewaua takriban watoto 5000 katika taifa la Jamhuri ya KidemokrasIa ya Congo mwaka 2019, kulingana na mamlaka baada ya ugonjwa huo kusambaa hadi mikoa yote.
Takriban watoto 250,000 wameambukizwa mwaka huu...