uganda

Uganda, officially the Republic of Uganda, is a landlocked country in East Africa. It is bordered to the east by Kenya, to the north by South Sudan, to the west by the Democratic Republic of the Congo, to the south-west by Rwanda, and to the south by Tanzania.

The southern part includes a substantial portion of Lake Victoria, shared with Kenya and Tanzania. Uganda is in the African Great Lakes region, lies within the Nile basin, and has a varied equatorial climate. As of 2024, it has a population of nearly 46 million, of which 8.5 million live in the capital and largest city, Kampala.

Uganda is named after the Buganda kingdom, which encompasses a large portion of the south, including Kampala, and whose language, Luganda, is widely spoken; the official language is English. The region was populated by various ethnic groups before the Bantu and Nilotic groups arrived around 3,000 years ago.

These groups established influential kingdoms such as the Empire of Kitara. The arrival of Arab traders in the 1830s and British explorers in the late 19th century marked the beginning of foreign influence. The British established the Protectorate of Uganda in 1894, setting the stage for future political dynamics.

Uganda gained independence in 1962, with Milton Obote as the first prime minister. The 1966 Mengo Crisis marked a significant conflict between the Buganda Kingdom and the country's conversion from a parliamentary system to a presidential system. Idi Amin's military coup in 1971 led to a brutal regime characterized by mass killings and economic decline, until his overthrow in 1979.

Yoweri Museveni's National Resistance Movement (NRM) took power in 1986 after a six-year guerrilla war. This led to stability and economic growth, but authoritarian practices and human rights abuses continued. The abolition of presidential term limits, allegations of electoral fraud and repression, have raised concerns about Uganda's democratic future.

Museveni was elected president in the 2011, 2016, 2021, and 2026 general elections.

Human rights issues, corruption, and regional conflicts, such as involvement in the Congo Wars and the struggle against the Lord's Resistance Army (LRA), continue to challenge Uganda.

Despite this, it has made progress in education and health, improving literacy and reducing HIV infection, though challenges in maternal health and gender inequality persist. The country's future depends on addressing governance and human rights, while leveraging its natural and human resources for sustainable development.

Geographically, Uganda is diverse, with volcanic hills, mountains, and lakes, including Lake Victoria, the world's second-largest freshwater lake. The country has significant natural resources, including fertile agricultural land and untapped oil reserves, contributing to its economic development.

The service sector dominates the economy, surpassing agriculture. Uganda's rich biodiversity, with national parks and wildlife reserves, attracts tourism, a vital sector for the economy.

Uganda is a member of the United Nations, the African Union, G77, the East African Community, and the Organisation of Islamic Cooperation.

View More On Wikipedia.org
  1. Babu yangu alipambana vita ya iddi amini Uganda, alichukuliwa kama mgambo ila mpaka amefariki Dunia hajapewa mafao Yake

    Hii inaniuma sana Mara kadhaa alikuwa anaenda kwa mkuu wa wilaya kufatilia pesa zake ila alikuwa anapigwa tarehe.. Shujaa huyu pesa zake zimaliwa na Vigogo wachache Uuzi tayari
  2. KIU head coach and Deputy Captain Join Ugandas National Basketball Team for Fiba Zone V Qualifiers

  3. Mtani wangu Mkubwa na Kaka yangu Maxence Melo ana Undugu wowote na Mwanasiasa Boby Wine wa Uganda kwani wamefanana sana

    Na ukizingatia Watani zangu Wahaya kwa 99% ni Waganda na Boby Wine nae ni Mganda nahisi labda ni Ndugu kwa jinsi walivyofanana. Ni kama hata Mimi pia Watu wengi wanavyosema kuwa nafanana mno na yule 'Mjanja Mjanja' wa 'Kiimani' Tanganyika Packers Kawe. ANGALIZO Hili ni Jukwaa la CHATS and...
  4. Kama Kenya inatunza na kufadhili watu qanaotukana viongozi wa Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi, hivi hakuna namna na sisi tutafanya jambo dhidi yao

    Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
  5. Ni kweli wakulima wa kahawa Uganda wananeemeka kuliko wenzao wa Tanzania?

    Tanzania ina ardhi kubwa kuliko Uganda, lakini kuna watu wa Bukoba wanaotamani wangekuwa wanaenda kuiuza kahawa yao nchini Uganda. Tanzania inayo bandari, lakini Mganda akitaka kusafirisha kahawa yake, kama siyo kwa ndege, basi atalazimika kuitumia bandari ya Tanzania au ya Kenya. Pamoja na...
  6. Vifo kutokana Mpox Vyafikia 10 Nchini Uganda

    Idadi ya vifo vilivyothibitishwa na maabara vya ugonjwa wa mpox nchini Uganda imepanda hadi 10 baada ya vifo vinne kusajiliwa katika siku tano zilizopita, kulingana na mamlaka. Katika ripoti ya sasisho la hali iliyotolewa siku ya Jumatatu, Wizara ya Afya ya Uganda ilisema angalau maambukizo...
  7. P

    Waliosoma uganda au wenye kujua kuhusu hii kozi ya ufamasia nchini uganda

    Wakuu habari,hivi ni vyuo vikuu gani vizuri Kwa kozi ya pharmacy ngazi ya degree nchini Uganda nataka nimpeleke ndugu yangu akasome huko Uganda msaada wakubwa
  8. Timu za Taifa za Uganda na Burundi zajiondoa Mapinduzi cup

    Zikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup uanze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro stars, Kenya na Burkina Faso Haya mashindano hayana mvuto tena Bora yafutwe Zawadi ya million 100 timu...
  9. Ni kweli Watanzania waliopo Kampala ni wachache ukiwalinganisha na watu toka mataifa mengine jirani na Uganda?

    Nilifanya "karesearch" isiyo rasmi, nikabaini kuwa ingawa Watanzania nao pia wapo Kampala, lakini hawafikii idadi ya watu kutoka Kenya, Zambia, Zimbabwe, South Africa, na Namibia. Niliowaona wapo kwa uchache ni Wanigeria, Watanzania, Wamalawi, na Wasouth Sudan. Mataifa mengine, kama sikosei...
  10. Uganda: Mamlaka yazuia Wafungwa/mahabusu kutembelewa Msimu wa Krismasi

    Mamlaka za Magereza zimesema kama sehemu ya hatua za kuzuia “uwezekano wa uvunjifu wa usalama”, wafungwa/ mahabusu hawataruhusiwa kupokea wageni kwa siku 7, kuanzia usiku wa Krismasi Msemaji wa Huduma za Magereza Uganda, Frank Baine Mayanja, amesema “Krismasi inaleta furaha na wafungwa wengi...
  11. List y Ramani z Nyumba Zaidi y 450 Unazoweza Jenga TZ na Makadirio Gharama Yake (Nafuu, Kawaida, Bungalow, Ghorofa, Pangisha) Tanzania, Kenya, Uganda

    List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako Piga/WhatsApp: +255-657-685-268 Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
  12. Nipo Uganda kuna ngoma ya Harmonize na Pallaso 'Only You' ni hatari

    Aisee sijajua kwanini harmonize hajaifanyia promo hii Collabo yake na huyu mganda ila kwangu naona ndio nyimbo yake Bora aliyoshirikishwa mwaka huu
  13. NEMC: Hatujakataa kusindikiza Taka hatarishi kutoka Malawi kwenda Uganda, Bali Wakala ndiye kachelewa kulipia. Madereva wawasiliane na Wakala wao

    Salaam Wakuu, Baada ya Mdau wa JamiiForums aliyejitambulisha kama Dereva kudai NEMC imewachelewesha Mpani kwa wiki Mbili, NEMC wamewataka Madereva hao kuwasiliana na Wakala wao. "Kwa muda wa takriban wiki mbili magari yetu ambayo ambayo yana mizigo ya skrepa kutoka Malawi kwenda Uganda na...
  14. Maambukizi ya Mpox yafikia Visa 800 na Vifo 4 Nchini Uganda

    Ofisi ya Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) nchini Uganda imesema visa vya Mpox nchini humo vimezidi 800, ongezeko kutoka jumla ya visa 495 vilivyoripotiwa kufikia Novemba 20. The World Health Organisation (WHO) country office has said Mpox cases in Uganda have surpassed 800, an increase from a...
  15. Uganda sasa Kuongea kiswahili rasimu: Kalibu wagand kwene mtanange wa the Titans of East Africa!

    Waganda sas wametangaza kuanza kuongea kiswahili na kuiacha lugha yao ya kikabila https://youtu.be/UKg4ZWlxKCI?si=9c_kWE1a5lZm8Mgl Karibu sasa rasmi:
  16. S

    Utekaji na uuaji unaofanyika Tanzania ni sawa na kilichofanywa na vyombo vya dola Uganda dhidi ya wananchi wakati wa Idd Amin Dada

    Kwa wale wanaojua historia ya Uganda, watakuambia wazi kwamba utekaji na uuaji unaofanyika hivi sasa nchini Tanzania ni sawa kabisa na vyombo vya dola na usalama vilivyowafanyia wananchi wa Uganda wakati wa utawala wa dikteta Idd Amin Dada wa Uganda. Polisi na chombo kilichoitwa State Research...
  17. Marekani inatuhumiwa kutuma ndege za kijasusi katika maeneo yenye utajiri wa mafuta nchini DRC na Uganda

    Vyombo vya habari vya Uganda vimeripoti madai kwamba ndege ya ujasusi ya Marekani aina ya Bombardier Challenger 604, iliyodaiwa kupita kwenye anga la Uganda na DRC, huenda ilipiga picha miundombinu ya uzalishaji wa mafuta katika maeneo ya Ziwa Albert, magharibi mwa Uganda. Tukio hilo...
  18. Uganda: JamiiForums Yashiriki Kongamano la Afrika Kuhusiana na Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Desemba 4, 2024

    https://www.youtube.com/live/JA35HedbKJA JamiiForums na ADRH (Africa Digital Rights Hub) wanaendesha Kongamano la Afrika kuhusiana na Ulinzi wa Taarifa Binafsi jijini Kampala, Uganda ambapo Mwaka huu wa 2024 Kongamano hilo linaangazia Ulinzi wa Taarifa Binafsi kama nyenzo muhimu katika ukuaji...
  19. C

    Yaliyokuwa yanafanyika Uganda wakati wa utawa wa Idd Amini ndiyo tunayaona sasa

    Nimeamini kuishi kwingi ni kuona mengi, hivi hii ndiyo Tanzania ya nyerere tuliyokuwa tunawalaani watawala madikteta popote pale duniani. Tulikuwa na jirani yetu akiitwa Iddi Amini dada, akifanya haya yote tunayoyashuhudia tulimuona kama mnyama asiyekuwa na utu hata kidogo lakini leo hii...
  20. Wadukuzi wavamia mifumo ya Benki Kuu Uganda na kuiba Mabilioni ya fedha

    Wakuu, Inaonekana huko nchini Uganda masuala ya "hacking" na "cyber security" yamepamba moto mno. Wizara ya Fedha ya Uganda imethibitisha ripoti za vyombo vya habari kuhusu wadukuzi kuvamia mifumo ya Benki Kuu na kuiba fedha, lakini imekanusha madai kuwa kiasi kilichoibwa kilifikia dola...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…