ugali

UGALI
Ugali, also known as ugali bogobe pap, n'sima oshifima oruhere and nshima, is a type of maize or cassava flour porridge made in Africa.

It is also known as
ngima, obusuma, obuchima, kimnyet, nshima, mieliepap, phutu, sadza, kuon, gauli, gima, isitshwala, ubugali, umutsima, and other names.

Nsima is sometimes made from other flours, such as millet or sorghum flour, and is sometimes mixed with cassava flour. It is cooked in boiling water or milk until it reaches a stiff or firm dough-like consistency.

In 2017, the dish was added to the UNESCO Representative List of the Intangible Cultural Heritage of Humanity, one of a few foods in the list.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Picha: Mbunge wa CCM akiwa ameweka ugali aliopika juu ya karo la choo huku akifurahia. Kweli mtu ni afya

    Mahindi nayo yameanikwa juu ya karo la choo, hapa afya anajali kweli?
  2. Ugali ni chakula adimu katika sherehe, sababu ni nini?

    Ugali ni chakula tunachokula kila siku, iwe ugali wa mahindi, wa mihogo, mtama au uwezo. Hiki ni chakula tunachokimudu watu wengi, hata ukikosa mboga nyanya, kitunguu, ndimu, pilipili na chumvi kidogo vitakusaidia kumaliza portion ya ugali. Chakula kinacholiwa na wengi kuadimika katika sherehe...
  3. Kumbe wale wanaotaka order ya kiti moto kilo 1.5 na ugali huwa wanapanua utumbo tu

    Huyu Mzee mwaka 1550 alijiona anachoka sana, Aliangalia chakula anachokula na kukipunguza kufikia 350g na 414 mls za wine kwa siku. Kwa hesabu za haraka haraka alikula yai moja asubuhi kama kifungua kinywa. Kipande cha nyama, kuku au samaki saa kumi jioni kikiwa na kiazi na mboga. Ukubwa wa...
  4. Ugali wa saiti

  5. Kenya: Mtoto wa miaka 14 amuua mtoto aliyekula ugali wake

    Mtoto wa miaka 14 wa Navakholo, Kaunti ya Kakamega amemuua mwanafunzi mwenzake wa miaka 10 kwa kumpiga na kitu kichwani na kuutupa mwili wake Mto Simakina Mtoto huyo aliporudi shule aliambiwa mwenzake (Jirani yao) ameshakula Ugali Kunde aliowekewa, ndipo alipomfuata machungani na kumshambulia...
  6. U

    Ugali ni chakula ambacho hakijawahi tengwa mahsusi kwenye meza kuu za Wafalme na Masultani, kinahusishwa na uduni wa kiuchumi

    Wadau wenzangu wa JF & Watanzania wote Naandika haya nikiongozwa kwa dhamira nzuri ya kueleza ukweli bila kuwa na nia ya kuwakera baadhi yenu Sikusudii kupotosha, kukashfu, kudharau historia yetu, au makuzi yetu, au aina fulani ya chakula, kikundi fulani kwenye jamii yetu n.k Nazungumza...
  7. Naomba nifundishwe kupika ugali wa mahindi

    Habari marafiki zangu wapendwa? Mimi naomba kujua jinsi nitakavyopika ugali wa mahindi, pia mboga zinazofaa (kama vile mchuzi wa nyama au biringani za kukaanga). Mimi ni mpishi mpya, lakini nitajaribu kuzipika vizuri kama iwezekanavyo. Shukrani
  8. Ugali unaopikwa kwa Unga wa mahindi (dona) hatari kwa afya ya binadamu

    Watu wengi kwa sasa wamependelea kula ugali uliopikwa kwa unga wa mahindi usiokobilewa, maarufu 'dona'. Pamoja na kwamba mahindi uhifadhiwa kwa madawa ili yasiharibike (athari kwa fedha) kuna tatizo lingine kwa afya zetu yasemekana. Tahadhali na unga wa dona, ni hatari kwa afya kwa sababu ya...
  9. Jinsi ya kupika UGALI Fasta Fasta (Full Steps)

    Mambo zenu wakuu leo nitafundisha jinsi ya kupika ugali. Fuata Steps Hizi MAHITAJI Maji,unga wa sembe/Dona + Sufuria,Ubanio,Mwiko na jiko la aina yoyote mkaa au umeme au gesi.. Step 1 Sikia Injika sufulia yako jikoni ikiwa na maji yenye unga kidogo. hakikisha maji utayoweka yatakutosha.Pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…