ugali

UGALI
Ugali, also known as ugali bogobe pap, n'sima oshifima oruhere and nshima, is a type of maize or cassava flour porridge made in Africa.

It is also known as
ngima, obusuma, obuchima, kimnyet, nshima, mieliepap, phutu, sadza, kuon, gauli, gima, isitshwala, ubugali, umutsima, and other names.

Nsima is sometimes made from other flours, such as millet or sorghum flour, and is sometimes mixed with cassava flour. It is cooked in boiling water or milk until it reaches a stiff or firm dough-like consistency.

In 2017, the dish was added to the UNESCO Representative List of the Intangible Cultural Heritage of Humanity, one of a few foods in the list.

View More On Wikipedia.org
  1. Kimbesa11

    Tanzania si nchi ya kununua unga wa ugali nyie mliokuja kijijini msiondoke bila kulima eka 1 ya shamba la mahindi

    Nianze na kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 kwa kuenzi falsafa ya Mwl Nyerere ya Siasa na kilimo. Toka aingie madarakani Mh. Rais ameendelea kugawa matani kwa matani ya mbolea za ruzuku kwetu sisi wakulima. Asante sana Rais WETU🙏 Mtanzania kununua unga wa ugali na hii ardhi nzuri...
  2. Hance Mtanashati

    PostGE2025 Hali ikiendelea hivi, hata vyombo vya usalama vitachoka kumlindia ugali wake

    Haya mambo yakiendelea angalau mara tano ,sita , nawakikishieni hata vyombo vya usalama vitachoka kumlinda. Leo watu wameandaa maandamano hewa jamaa wamejaa kwenye mfumo , wamepoteza pesa kizembe na wameishia kujichosha. Hata hivyo vyombo vya usalama wanachoka kuzurula na hayo magari, siku kuu...
  3. M

    imeniuma kula kitoweo bila kaugali pembeni

    Halafu ni wale wa kienyeji
  4. funaku

    Uchaguzi wa mwaka huu umeheshimu madhehebu ya kikristu umefanyika katikati ya wiki

    Mojawapo ya manunguniko ya muda mrefu ni madhehebu ya dini ya kikristu kukosa fursa pale ambapo uchaguzi ulikuwa ukifanyika siku za Ibada hususani jumapili. Niwapongeze INEC kuchukua maoni ya viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali na kutenga siku ya katikati ya wiki.
  5. Mwachiluwi

    Tupike ugali samaki na mchicha

    Hell Kwanza osha mchicha wako vizuri mimi nime tumia mchicha wa kungo’a kule kwetu tuna uita ivyo una kuwa na michanga mingi so uoshe vizuri kisha ukate au una weza usiukate kisha weka pembeni ujichuje maji ili ukipika mchicha usiwe na maji kabisa Baada ya hapo kataka kitunguu chakoa na...
  6. nakwede97

    Pishi la ugali na dagaa

    Wazima wa afya? Natumain mmekula na kushiba Leo nawaletea pish ya dagaa na ugal chakula pendwa Cha waafrica Hivi ni viungo vyangu dagaa ambao ni wale wasio na mchanga wa kavu nimewakaanga mwenyewe,nyanya ,kitunguu,chumvi,giligilan na beef cube nikakaanga vitunguu nikaweka giligilan zangu Kwa...
  7. Chizi Maarifa

    Video : Walimu wengi wa Madrasa hatupendi Ugali, Ni Dhiki tu ukiona tunakula. Si twapenda Wabwabwa

    Safi sana. Na mwalimu naye apewe. Anasema yeye ni wa ubwabwa ugali hapana. Labda ndizi hizo aweza kula ugali hapana. Tupate Habari Kamili.
  8. 05CUBA

    Nitafurahi nikisikia bi tukinao kagoma kula ugali. ( code o5 )

    Salaam?? Code o5 , Jamani chakula cha hapa duniani ni kitamu sana. ..... Mda flan walimgomea injinia asile ugali wakampa chakula kingine. Yani japo yawezekana waliona chakula kingine ndo kitam kuliko ugali ila mimi naona injinia walimkatili kwakumzuia kula ugali... Sasa leo natamani sana by...
  9. Shobi

    Je, ni kweli ugali unadumaza Ubongo?

    Mambo vipi wakuu! Bila shaka mtakubaliana nami kuwa ugali ni chakula kikuu katika jamii nyingi barani Africa ingawa Marekani ndio inaongoza kwa kulima mahindi duniani lakin rekodi zinaonyesha ni kwa matumizi ya mifugo.Africa ndipo sehemu mahindi yatumika sana na mara nyingi mfululizo kwenye...
  10. Busu la Kenge

    Nikikumbuka boarding school siku ya wali wakaleta Ugali palichimbika

    Leo nakumbuka miaka ya nyuma hadi nacheka. Boarding school hiyo flani watu tulishajiandaa jioni wali maharage. Siku za wali maamae tulikuwa na furaha kichizi. Hukuti kwenye pipa chakula kimemwagwa. Mara watu tunaingia dining ugali na maharage. Ngumi zilitembea Kwa wapishi na walimu wa zamu...
  11. Stability

    Tangia nimeacha kula ugali fikra zangu zimekuwa SHARP!

    Baada ya kujua ugali ni matofali sasa hivi nimekuwa mwingi wa kula protein na mavitamini , na starch nikiipata kwa ubwabwa etc. Tutengeneze kizazi cha ma-genius kwa kuacha kula matofali KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI, UGALI NI MATESO
  12. kyagata

    Kwa nini wasukuma huwa wanapenda kukata matonge ya ugali ya aina hii wakiwa wanakula?

    Mko poa? Hivi kwanini wasukuma huwa wanakata matonge ya ugali ya aina hii,yani 3 in 1? Kuna agenda yoyote ya siri?
  13. Mhafidhina07

    Tunajanga lengine kwa Vijana wanafikiria kuwa serikali itawaletea ugali mpaka mezani(upinzani unavyilaghai vijana)

    Duniani hakuna cha bure wadau kuna hao viongozi kutwa wapo majukwaani kutwa kulaumu chama tawala dhidi ya maisha duni huku wai wakiwa ni wenye kuneemeka kwenye mfumo huo mbovu wanaouongelea. Alafu kuna hawa vijana ambao wanao wanajaa upepo wa siasa za majukwaa,expection zinakuwa kubwa sababu ya...
  14. Oscar Lyrics

    Ugali dagaa: Moja ya vyakula vyangu pendwa kabisa

    Kwangu ugali dagaa ni full burudani
  15. Stability

    Nimejiasahau nimekula ugali, tumbo limekuwa chungu sanaa. Kweli njaa ni kipofu

    Nimekula matofali yamenichoma sana. Ndio maana wabongo sura zimekakamaa sanaa na miili imedumaa KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI
  16. G

    Hizi ni Aina nne za ugali ninazokula maisha yangu yote , na mboga zake nakuwekea

    Ugali ni Tanzania Sima ni Zambia Shima ni Zimbabwe Fufu ni nchi za afrika magharibi Bugali ni kwa wakongoman Twende moja kwa moja ugali ni chakula Changu pendwa kama ifuatavo Dona ambayo mahindi yameoshwa vyema , yakaenda kusagwa na muhogo uliokaushwa hapa naweza Kula na dagaa , nyanya...
  17. Bueno

    Ugali umetukuza usidharauliwe na mtu yeyote

    Wakuu, hili suala la kupikapika kuna members humu wanaudharau UGALI kwamba ni chakula cha mifugo km Nguruwe na Mbwa ila nyuma ya Pazia ukiangalia unagundua ni watu ambao UGALI hawajui kuupika wanapika ujinga ujinga mwisho wanatoa kitu DOSO yaani MALOLOSO kitu kibichi kibichi mpaka wageni...
  18. Stability

    Naungana na Dr Hayaland, ulaji wa ugali ni mateso, no wonder wenzetu wanalishia nguruwe na ng'ombe

    Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo. Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya glycemic, kumaanisha kuwa inaweza kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa viwango vya sukari kwenye damu...
  19. DR HAYA LAND

    Nina miaka mitano sijala UGALI

    Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali. Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa. Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym. "Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Back
Top Bottom