ufugaji wa kuku

  1. JamiiForums Tanzania Natafuta mabanda ya kukodi kwa ajili ya ufugaji wa kuku wa nyama (broiler)

    Natafuta mabanda ya kukodi kwa ajili ya kufugia kuku wa nyama (broiler) yenye uwezo wa kuanzia kuku 1,000 au zaidi. Maeneo ninayopendelea ni Dar es Salaam na Pwani. Ikiwa una banda linalopatikana kwa sasa au unafahamu mwenye banda la kukodisha, tafadhali wasiliana nami kwa ujumbe binafsi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tangazo nafasi ya kazi-Mtaalamu wa ufugaji wa kuku (Broiler)

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI – MTAALAMU WA UFUGAJI WA KUKU (BROILER) Tunatafuta mtaalamu mwenye uzoefu wa ufugaji wa kuku wa nyama (Broiler) kujiunga na timu yetu. Sifa zinazohitajika: Awe na uzoefu wa kusimamia ufugaji wa kuku wa broiler. Awe na uelewa mzuri wa lishe, ratiba za chanjo na dawa...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri katambi ina maana mpaka waziri wako mkuu kutumia chama na swala la mwenge umesitisha si umejumuisha CCM nayo.

    Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM. Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria na katiba za nchi sijui kama anaelewa. kuanzania sasa mwiguru na wengine wote CCM mshakatazwa kama...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji, wenye uzoefu naomba ushauri kwenu

    Cha kwanza ambacho nataka kujua ni kuhusu ujenzi wa banda. Nahitaji banda ambalo kukubwatajua wanaishi humo mchana na usiku, lenye usalama ambalo halitavunjwa kiurahisi na wanyama kama fisi au hata binadamu, banda hilo liwe linatosha kuweka kuku 20. ambacho bado sijui nataka ushauri ni je, kuku...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kweli mtu unaweza kutajirika kwa ufugaji wa kuku wa nyama (kienyeji) kama upo mikoani?

    Tuachane na zile hesabu za matikiti 500 unanua crown😁 Tusaidiane uhalisia na mbinu Karibuni wazeya
  6. JamiiForums Tanzania Unajua ni Faida kiasi gani umepata kwenye Ufugaji wa Kuku mwaka 2025 mzima?

    Kama unapata changamoto ya Kufuatilia Faida na hasara shamabani kwako au daftari linakuchosha kupiga hesabu nyingi,tumia Fuga App kurahisisha kufahamu faida unayopata au hasara Pakua Fuga app Leo Playstore Fuga - Apps on Google Play
  7. JamiiForums Tanzania Tulipitia hili kosa kwenye Ufugaji wa Kuku ili wewe usilirudie

    Wengi tunadhani tutakumbuka tarehe za Kuku wetu chanjo kichwani,lakini sio kweli , Kama Young Lunya alivyosema "Kichwa kina vitu vingi" Ukweli mchungu ni kwamba unaweza kusahau kuwapa kuku wako Chanjo ya Tsh 8,000 alafu ikakuletea hasara ya kupoteza kuku wenye thamani ya zaidi ya Tshs 1,000,000...
  8. JamiiForums Tanzania Bila wewe Fuga App haipo!,tumia dk 1 kutuambia nini unakichukia au kukipenda ndani ya Fuga App ili tuboreshe

    Tulipoanza kutengeneza Fuga App, hatukutaka kubahatisha kile wafugaji wanahitaji. Ndiyo maana ndani ya app tumeweka kitu rahisi sana. Kama kitu kinakusaidia, tuambie. Kama kuna sehemu inakuzngua, tuambie. Kama una wazo la kuboresha Fuga App, tuambie. Una wazo? Una Swali, Kuna sehemu...
  9. JamiiForums Tanzania Sababu kuu 2 za kutumia hii App kama unataka kuanza Ufugaji wa Kuku mwaka 2026

    Kama wewe ndo umemaliza chuo au mwaka kesho unataka kuanza ufugaji wa Kuku Kwa urahisi,hii ni kwa ajili yako Kama unataka kuanza Kufuga kuku kwa urahisi,bila kuhangaika kujua pa kuanzia, bila kuteseka kupata bajeti halisi, na bila stress ya kufuatilia kila kitu manual, basi hivi ndivyo unaweza...
  10. JamiiForums Tanzania Kama unataka kujifunza na ufanikiwe Kufuga Kuku kisasa, kwa uhakika na uone faida, Fuga App ni kwaajili yako

    Anza Wiki Kwa Ushindi Ukiwa na Fuga App unaweza kusimamia Shamba lako la kuku kwa urahisi,utapata Ratiba ya Chakula ya Kila siku kulingana na umri , idadi na aina ya Kuku Calculator itakayokusaidia kujua gharama na vifaa vinavyohitajika kabla ya kuanza Kufuga Mafunzo kuhusu Ufugaji bora wa...
  11. JamiiForums Tanzania Sasa unaweza jifunza karibia kila kitu kuhusu Ufugaji wa Kuku ndani ya Fuga App!!

    Wafugaji wamekuwa wakituomba sehemu moja ya kujifunza mambo muhimu ya ufugaji wa kukuna hatimaye imefika! JIFUNZE ni kipengele kipya ndani ya Fuga App kinachokupa maarifa ya uhakika kuhusu: chakula, chanjo, makazi, afya, na mbinu za kuongeza faida. Ni rahisi kusoma, kuelewa, na kutumia kila...
  12. JamiiForums Tanzania Unajuaje unapata Faida au Hasara kwenye Ufugaji wa Kuku?

    💡Je, unajua? Ukirekodi gharama zako zote kwenye Fuga App,inarahisisha kufuatilia faida na hasara zako kwa urahisi ukiwa popote pale kupitia simu yako📱kwa ajili Ufugaji Wako wa Kuku Huna haja ya daftari tena Fuga inakusaidia kujua faida au hasara mapema zaidi ili uweze kuboresha ufugaji wako...
  13. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wenye Faida na wa Uhakika

    Heri ya Wiki Mpya Wafugaji Wapambanaji Unapoanza wiki hii, Fuga App ipo kukusaidia kufanya ufugaji wako uwe rahisi na wenye faida zaidi! Makadirio ya Gharama: Jua kwa usahihi kiasi cha mtaji unachohitaji kuanza au kuendesha mradi wako hakuna tena kubahatisha! Ratiba ya Ulishaji...
  14. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku unakua bora zaidi ukianza wiki yako na Fuga App

    Anza Wiki Yako kwa Mafanikio,Tumia Fuga App kupunguza stress kwa kufuga kwa Uhakika,Punguza gharama kwa kuwapa Chakula kulingana na idadi na aina ya kuku, Kumbushwa Chanjo za Kila wiki,Fahamu gharama za kufuga kuku aina yoyote. Pakua Fuga App Leo Bure kabsa Playstore...
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufugaji wa kuku ni changamoto sana.Yote haya tunayapata kwa sababu serikali haijali madawa mengi ni feki!

    Wakuu mimi ni mfugaji na nina uzoefu sana katika ufugaji japo nakili wazi bado huwa najifunza kwa wenzangu tena kwa bidii sana. Nilichanja kuku wangu chanjo ya kideri (Newcastle)27/07/2025 na hapo nyuma nilikuwa nimechanja Ndui kama mjuavyo ndui huwa tuna chanja kwa mwaka mara1 tu au miezi 10...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli Mgumu Kuhusu Ufugaji wa Kuku

    Hii ndiyo inatokea pale ambapo ugonjwa unaingia kwenye banda kabla ya chanjo kufanyika. Ukiona dalili, mara nyingi huwa ni kuchelewa sana. Chukua mfano wa Ugonjwa wa Kideri (NewCastle) moja ya magonjwa hatari zaidi ya kuku hapa Tanzania. Unaweza kupoteza hadi 90% ya kuku wako ndani ya siku...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa wataalaamu wa ufugaji, Banda hili linaweza kuleta tija kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara?

    Kwa kuanza na kuku kumi wa kienyeji Banda hili linaweza kuleta tija kwa ufugaji wa kuku wa kienyeji?
  18. D

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku

    Natafta kuku kienyeji mwenye kuwa nao tuongee
  19. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Kutumia Umeme (Badala ya Mkaa) Kutakuongezea Uzalishaji na Faida Kwenye Ufugaji wa Kuku

    Mwaka 2023 nilipoanza kufuga kuku, kuna swali moja lililokuwa linanisumbua sana nitumie mkaa au umeme kuwapatia joto vifaranga? Mwanzoni nilidhani ni changamoto yangu binafsi. Lakini nilivyoanza kuzungumza na wafugaji wengine, niligundua haraka kuwa si mimi pekee niliyekuwa kwenye mkanganyiko...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wa CCM ambao wanatakiwa kuaga Majimbo yao na kujihusisha na ufugaji wa kuku 2025-2030

    1. Askofu Josephat Gwajima- Kawe 2. Luhaga Mpina- Kisesa 3. Mrisho Gambo- Arusha Mjini 4. Prof. Ndakidemi- Moshi Vijijini 5. Dr Charles Kimei - Vunjo 6. Mwita waitara - Tarime Vijijini 7. Priscus Tarimo - Moshi Mjini 8. Godwin Mollel - Siha 9. January Makamba - Bumbuli
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…