ufugaji wa kuku

  1. Top Gun

    Ni kweli mtu unaweza kutajirika kwa ufugaji wa kuku wa nyama (kienyeji) kama upo mikoani?

    Tuachane na zile hesabu za matikiti 500 unanua crown😁 Tusaidiane uhalisia na mbinu Karibuni wazeya
  2. Brayan_Jk

    Unajua ni Faida kiasi gani umepata kwenye Ufugaji wa Kuku mwaka 2025 mzima?

    Kama unapata changamoto ya Kufuatilia Faida na hasara shamabani kwako au daftari linakuchosha kupiga hesabu nyingi,tumia Fuga App kurahisisha kufahamu faida unayopata au hasara Pakua Fuga app Leo Playstore Fuga - Apps on Google Play
  3. Brayan_Jk

    Tulipitia hili kosa kwenye Ufugaji wa Kuku ili wewe usilirudie

    Wengi tunadhani tutakumbuka tarehe za Kuku wetu chanjo kichwani,lakini sio kweli , Kama Young Lunya alivyosema "Kichwa kina vitu vingi" Ukweli mchungu ni kwamba unaweza kusahau kuwapa kuku wako Chanjo ya Tsh 8,000 alafu ikakuletea hasara ya kupoteza kuku wenye thamani ya zaidi ya Tshs 1,000,000...
  4. Brayan_Jk

    Bila wewe Fuga App haipo!,tumia dk 1 kutuambia nini unakichukia au kukipenda ndani ya Fuga App ili tuboreshe

    Tulipoanza kutengeneza Fuga App, hatukutaka kubahatisha kile wafugaji wanahitaji. Ndiyo maana ndani ya app tumeweka kitu rahisi sana. Kama kitu kinakusaidia, tuambie. Kama kuna sehemu inakuzngua, tuambie. Kama una wazo la kuboresha Fuga App, tuambie. Una wazo? Una Swali, Kuna sehemu...
  5. Brayan_Jk

    Sababu kuu 2 za kutumia hii App kama unataka kuanza Ufugaji wa Kuku mwaka 2026

    Kama wewe ndo umemaliza chuo au mwaka kesho unataka kuanza ufugaji wa Kuku Kwa urahisi,hii ni kwa ajili yako Kama unataka kuanza Kufuga kuku kwa urahisi,bila kuhangaika kujua pa kuanzia, bila kuteseka kupata bajeti halisi, na bila stress ya kufuatilia kila kitu manual, basi hivi ndivyo unaweza...
  6. Brayan_Jk

    Kama unataka kujifunza na ufanikiwe Kufuga Kuku kisasa, kwa uhakika na uone faida, Fuga App ni kwaajili yako

    Anza Wiki Kwa Ushindi Ukiwa na Fuga App unaweza kusimamia Shamba lako la kuku kwa urahisi,utapata Ratiba ya Chakula ya Kila siku kulingana na umri , idadi na aina ya Kuku Calculator itakayokusaidia kujua gharama na vifaa vinavyohitajika kabla ya kuanza Kufuga Mafunzo kuhusu Ufugaji bora wa...
  7. Brayan_Jk

    Sasa unaweza jifunza karibia kila kitu kuhusu Ufugaji wa Kuku ndani ya Fuga App!!

    Wafugaji wamekuwa wakituomba sehemu moja ya kujifunza mambo muhimu ya ufugaji wa kukuna hatimaye imefika! JIFUNZE ni kipengele kipya ndani ya Fuga App kinachokupa maarifa ya uhakika kuhusu: chakula, chanjo, makazi, afya, na mbinu za kuongeza faida. Ni rahisi kusoma, kuelewa, na kutumia kila...
  8. Brayan_Jk

    Unajuaje unapata Faida au Hasara kwenye Ufugaji wa Kuku?

    💡Je, unajua? Ukirekodi gharama zako zote kwenye Fuga App,inarahisisha kufuatilia faida na hasara zako kwa urahisi ukiwa popote pale kupitia simu yako📱kwa ajili Ufugaji Wako wa Kuku Huna haja ya daftari tena Fuga inakusaidia kujua faida au hasara mapema zaidi ili uweze kuboresha ufugaji wako...
  9. Brayan_Jk

    Ufugaji wa Kuku wenye Faida na wa Uhakika

    Heri ya Wiki Mpya Wafugaji Wapambanaji Unapoanza wiki hii, Fuga App ipo kukusaidia kufanya ufugaji wako uwe rahisi na wenye faida zaidi! Makadirio ya Gharama: Jua kwa usahihi kiasi cha mtaji unachohitaji kuanza au kuendesha mradi wako hakuna tena kubahatisha! Ratiba ya Ulishaji...
  10. Brayan_Jk

    Ufugaji wa Kuku unakua bora zaidi ukianza wiki yako na Fuga App

    Anza Wiki Yako kwa Mafanikio,Tumia Fuga App kupunguza stress kwa kufuga kwa Uhakika,Punguza gharama kwa kuwapa Chakula kulingana na idadi na aina ya kuku, Kumbushwa Chanjo za Kila wiki,Fahamu gharama za kufuga kuku aina yoyote. Pakua Fuga App Leo Bure kabsa Playstore...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    DOKEZO Ufugaji wa kuku ni changamoto sana.Yote haya tunayapata kwa sababu serikali haijali madawa mengi ni feki!

    Wakuu mimi ni mfugaji na nina uzoefu sana katika ufugaji japo nakili wazi bado huwa najifunza kwa wenzangu tena kwa bidii sana. Nilichanja kuku wangu chanjo ya kideri (Newcastle)27/07/2025 na hapo nyuma nilikuwa nimechanja Ndui kama mjuavyo ndui huwa tuna chanja kwa mwaka mara1 tu au miezi 10...
  12. Brayan_Jk

    Ukweli Mgumu Kuhusu Ufugaji wa Kuku

    Hii ndiyo inatokea pale ambapo ugonjwa unaingia kwenye banda kabla ya chanjo kufanyika. Ukiona dalili, mara nyingi huwa ni kuchelewa sana. Chukua mfano wa Ugonjwa wa Kideri (NewCastle) moja ya magonjwa hatari zaidi ya kuku hapa Tanzania. Unaweza kupoteza hadi 90% ya kuku wako ndani ya siku...
  13. Mr Beach Boy

    Kwa wataalaamu wa ufugaji, Banda hili linaweza kuleta tija kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara?

    Kwa kuanza na kuku kumi wa kienyeji Banda hili linaweza kuleta tija kwa ufugaji wa kuku wa kienyeji?
  14. D

    Ufugaji wa kuku

    Natafta kuku kienyeji mwenye kuwa nao tuongee
  15. Brayan_Jk

    Kwa Nini Kutumia Umeme (Badala ya Mkaa) Kutakuongezea Uzalishaji na Faida Kwenye Ufugaji wa Kuku

    Mwaka 2023 nilipoanza kufuga kuku, kuna swali moja lililokuwa linanisumbua sana nitumie mkaa au umeme kuwapatia joto vifaranga? Mwanzoni nilidhani ni changamoto yangu binafsi. Lakini nilivyoanza kuzungumza na wafugaji wengine, niligundua haraka kuwa si mimi pekee niliyekuwa kwenye mkanganyiko...
  16. peno hasegawa

    PreGE2025 Wabunge wa CCM ambao wanatakiwa kuaga Majimbo yao na kujihusisha na ufugaji wa kuku 2025-2030

    1. Askofu Josephat Gwajima- Kawe 2. Luhaga Mpina- Kisesa 3. Mrisho Gambo- Arusha Mjini 4. Prof. Ndakidemi- Moshi Vijijini 5. Dr Charles Kimei - Vunjo 6. Mwita waitara - Tarime Vijijini 7. Priscus Tarimo - Moshi Mjini 8. Godwin Mollel - Siha 9. January Makamba - Bumbuli
  17. king kidalu

    Vitabu vya namna ya ufugaji wa kuku,changamoto na magonjwa

    Weka namba ya whatsapp nikutumie kitabu cha Utengenezaji wa incubator kwa njia ya kienyeji namna ya kutotolesha vifaranga nyumbani kwako Kwa kutumia plastic au box na vifaa vingine vinavyopatikana nyumbani kwako **Tutakutumia kitabu Kwa njia ya Whatsapp namna ya kutengeneza kitotolesha...
  18. Imani rubaba

    Jinsi Cages za Mbao Zinavyobadili Ufugaji wa Kuku - Hazina Gharama

    https://youtu.be/Kf2DhWBoXUA Katika mazingira ambayo wengi huamini kuwa "ufugaji wa kisasa ni kwa matajiri," Mzee Hashimu – afisa mstaafu kutoka Mwanza – anathibitisha kinyume chake. Akiwa na uzoefu wa maisha na ujasiri wa kujaribu vitu vipya, leo anafuga kuku wa Sasso kwa kutumia cage...
  19. Imani rubaba

    Ufugaji Wa Kuku Wa Mayai ni UTAJIRI🤷🏿‍♂️ Ila Hizi ndio Changamoto Zake

    https://youtu.be/EA1vMZRRktQ?si=Cb1kvCI2ybwJO36n KUTOKA MWANZA: Safari ya Mabadiliko kwa Mfugaji wa Kuku wa Mayai! 📍 Mwanza | 🐔 Mashamba Mawili | 💡 Ushauri wa Kitaalamu Juzi tulipata nafasi ya kipekee kutembelea mfugaji mwenye mashamba mawili ya kuku wa mayai. Licha ya jitihada kubwa na maono...
  20. Brayan_Jk

    🐔 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndio Sababu Kwanini Wafugaji Wengi Hupoteza Fedha Kabla mapema sana ! Soma hizi Sababu 4 kuepuka kufeli !

    🐣 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndiyo Sababu Kuu Kwa Nini 70% ya Wafugaji Huacha Kabla ya Miezi 6! 😩👇 1️⃣ Bajeti 💸 – Wengi Huanza Bila Mpango wa Fedha Watu wengi huingia kwenye ufugaji bila kujua gharama halisi za: 🔹 Chakula 🔹 Dawa 🔹 Vifaa 🔹 Huduma Matokeo? Mtaji unaisha kabla kuku...
Back
Top Bottom