Unaweza kushangaa hizi kampeni zote za Lugumi akimwaga Pesa, mara watoto Yatima n.k zina lengo gan na kwanini nguvu kubwa inatumika kumtakatisha !!.
Rais Paul Kagame, ni Rais alojaliwa kua na Taasisi ya kijasusi ilofanikiwa Hapa Africa na Duniani, na Huenda baadhi ya Oparesheni za Rwanda...
Salaam Wakuu,
Tanzania tuna safari ndefu sana. Tulitegemea Vyombo vyetu vya Habari na hizi online TV wawe mbele kwa uzalendo kwa kutetea Nchi. Lakini wanatumikia Mafisadi.
Nimetafuta Video za Ufisadi wa Lugumi, zote zimeondolewa Mitandaoni.
Ni aibu kwa TEF, na MISA-TAN na Washika dau waao...
Tajiri Said Lugumi amewekeza Mabillion ya fedha kusaidia watoto yatima, asiyeunga mkono juhudi zake hana tofauti na muuwaji wa watoto yatima
Tajiti huyu amewezeka fedha nyingi kujenga vituo vya kulelea watoto yatima lakini haishii hapo tu anaenda mbali kwa kuhakikisha watoto hao wanapata elimu...
Wakuu,
Bilionea Saidi Lugumi amesema kwa sasa kuna watoto yatima zaidi ya 800 kutoka maeneo tofauti ya jiji la Dar es Salaam ambao anawahudumia kwa kila kitu ikiwemo chakula, mavazi, malazi, elimu, afya nk, na hiyo inatokana na wito alionao kutoka kwa Mwenyezi Mungu na si vinginevyo.
Lugumi...
Wakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na kingine eti jamaa ameishia darasa la saba nimeshangaa ujanja ujanja ya huyu jamaa duu kweli ujanja...
Mfanyabiashara Saidi Lugumi ( @lugumisaidi ) hapo jana November 23 ameendeleza utamaduni wake wa kusaidia Watu wenye mahitaji kwa kujumuika na Watoto yatima wa Vituo vitano nyumbani kwake Masaki Dar es salaam ambapo awamu hii amewakusanya zaidi ya Watoto 700 na kufanya ibada, kula, kunywa na...
Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc.
Huyu mtu ali TREND sana wakati Magufuli alitaka kuuza nyumba zake kwa sababu ya kutomaliza zabuni ya...
Kayasema hayo kwenye video akihojiwa
Kuhusu Tuhuma Juu ya Lugumi, na kusema kwamba waligundua kwamba Lugumi hakuwa na kosa ila serikali ndo ilikuwa na Matatizo juu ya suala ilo,
Ni kuhusu kufunga alama za utambuzi wa vidole amesema kwamba Lugumi alijitetea na akaona kweli utetezi wake uko...
NYUMBA za mfanyabiashara Saidi Lugumi zilizotangazwa kupigwa mnada na kampuni ya udalali ya Yono Auction Mart huenda zisiuzwe kwa sababu mfanyabiashara huyo naye anadaiwa kuidai serikali, Raia Mwema limeambiwa.
Hivi karibuni, Yono ilitangaza kuuza nyumba tatu za Lugumi zilizopo jijini Dar es...
Mytake: Magufuli endelea kunyosha hawa mafisadi. Wananchi wote tuko nyuma yako
======
Kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd iliyotajwa katika sakata la zabuni ya Sh34 bilioni ya kuweka mashine za kielektroniki za kuchukua alama za vidole ya Jeshi la Polisi, iko hatarini kupoteza mali zake...
Umofia Kwenu Wana JF,
Kampuni ya Yono Kupitia TRA yamekamata majumba matatu ya Lugumi yaliyoko Ndege Beach Mbweni kwa kudaiwa kodi ya zaidi ya Bilioni 14.
Nawasilisha kutoka MINJINGU.
=======
Kampuni ya udalali ya Yono, imefanikiwa kukamata mali za wafanyabiashara wanaodaiwa kodi ya...
Magufuli afichua ufisadi wa bil. 60/- Jeshi la Polisi
WAKATI sakata la mkataba wa Sh. bilioni 37 kati ya polisi na Kampuni ya Lugumi Enterprises wa zabuni ya kufunga vifaa vya kutambua alama za vidole likiwa limeanza kupoa, Rais John Magufuli, amenusa ufisadi mwingine kwenye jeshi hilo wa...
SAKATA la mkataba wa Kampuni ya Lugumi Enterprises limechukua suara mpya, baada ya Kambi ya Upinzani kusema kuwa itahakikisha mbivu na mbichi za mkataba huo, zinajulikana katika mkutano wa Bunge la Bajeti unoanza kesho mjini Dodoma.
Kampuni hiyo iliingia mkataba na Jeshi la Polisi mwaka 2011 na...
Kumekuwa na taarifa zinazoendelea kupotosha umma na baadhi ya vyombo vya Habari kuwa Kamati ya Bunge yo Hesabu za Serikali (PAC) ilipokuwa ikitekeleza majukumu yake tarehe 5 April, 2016 ililitaka Jeshi Ia Polisi kuwasilisha Mkataba ulioingiwa Kati ya Jeshi hilo na Kampuni ya Lugumi Enterprises...
Wanajamvi
Salaam;
Kwa sasa habari kubwa kwenye vyombo vya habari vyote,ni kuhusu ufisadi wa kutisha unaohusisha jeshi la police na baadhi ya viongozi akiwemo waziri wa mambo ya ndani Charles kitwanga na kampuni yake ya INFOSY.
Hawa jamaa niliowataja hapo juu,tangu wakati wa kampeni...
WAZIRI WA MAGUFULI KTK KASHFA YA UFISADI NA POLISI
- Kampuni inayohusishwa naye ya Infosys ilikuwa mkandarasi
Yadaiwa Infosys inamilikiwa na Kitwanga na Mkurugenzi Mkuu NIDA
Ni mdau wa LUGUMI enterprises
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga atajwa kuhusika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.