udini

Udini Square is a shopping mall at Gelugor, a southern suburb of George Town in Penang, Malaysia. Opened in 2015, the three-storey mall is currently anchored by two sporting good chains, SportsDirect.com and MST Golf Superstore, as well as Mr D.I.Y., Malaysia's largest hardware chain.Udini Square was developed by a Malaysian property developer, IJM Corporation, with a gross development value of RM75 million. The suburban lifestyle mall caters to residents within Gelugor, and sits near the Tun Dr Lim Chong Eu Expressway that links George Town, the Penang Bridge and Penang International Airport.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Wanaharakati wa Tanzania wanashangaza sana. Wana chembe ya udini katika harakati zao

    Leo wanasherehekea Isreal na Marekani kuishambulia Iran. Hawaoni watoto wadogo wanaouliwa Hawaoni Isreal na marekani uhuru wa wananchi wao una binywa. Leo ukipost picha ya jengo la Isreal limeshambuliwa, raia huyo anaweza kupotezwa. Hawaoni jinsi gani nchi hizi zinavyovuka mipaka ya...
  2. Zipo baadhi ya tabia ambazo Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere alisema ni za kipumbavu ikiwemo Udini na Ukabila, Je kwanini tumeruhusu tena?

    Zipo baadhi ya tabia ambazo Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere alisema ni za kipumbavu ikiwemo Udini na Ukabila, Je kwanini tumeruhusu tena? Lazima Tanzania turejelee upya kauli na maonyo ya Baba wa Taifa ili Tanzania ipone Katika tabia ambazo Baba wa Taifa aliziita ni za kipumbavu...
  3. A

    Africa (ikiwemo Tanzania) itaendelea ikiachana na siasa za uchawa, udini na ukabila

    Kuna video hapa inayozunmzia matatizo ya Nigeria na afrika Kwa jumla kama hatutazungumzia yaliomo kwenye hii video
  4. Endeleeni kuwaza kwenye udini wenzenu wakiendelea kutajirika kwa ujinga wenu!

    Msidanganyika na hoja za udini Waziri mkuu ni mkristo bilashaka hapo yupo katika kanisa la RC au KKKT kama sijakosea. Na makamu wa rais ni Mkatoliki. Na mkuu wa majeshi na mkuu wa polisi ni Wakristo. Sasa muelewe kuwa ccm haina udini bali mikakati ya chama. Udini ni cheap politics kwa wajinga...
  5. C

    Baada ya nchi kutulia itabidi Habib Mchange na kundi lake watueleze hii project ya kuliingiza taifa kwenye chuki za udini amepewa na nani

    Maana hii ni project na inaratibiwa kwa makusudi kabisa sasa inabidi tujue nani muasisi na mdhamini na lengo ninini?
  6. M

    Mfumo dume, chuki wivu na udini ni baadhi ya sababu kwa watu kueneza chuki dhidi ya utawala wa awamu ya sita

    Binafsi sioni kama Rais Samia ana makosa ambayo yeye ndiye Rais wa kwanza kuyafanya, Kama ni mambo ya kutekwa yalikwepo toka enzi ya Dr Ulimboka Kama ni uchaguzi wenye udanganyifu ccm haijawahi kushinda bila wizi ndiyo tabia yake Ufisadi upo toka kipindi cha nyerere Maisha magumu toka...
  7. K

    Hivi udini wa Samia Suluhu uko wapi? Tuzungumze ukweli

    Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi? Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana...
  8. 'Sheikh mkata vichwa' ndo aliua issue ya udini ilioanza taratibu kuenea

    Yule Shekh Mkata vichwa alikosea kuongea vile , Ila ndo aliua huo mchezo wa UDINI . Ile watu walipoanza kuudhuria kanisani na makanzu tatizo likawa solved.
  9. Watanzania bara hawana udini

    Wabara ni watu wenye urafiki, usio kujali dini ya mtu. . Bara ni kawaida sana wacha mungu wa dini tofauti kuwa mabesty. Bara muislamu hana shida akimpigia simu rafiki yake katikati ya week tukutane, na kujibiwa leo naenda kusoma biblia; tukutane usiku au kesho. Bara mkristo anajua rafiki yake...
  10. PostGE2025 Narudia tena ni kweli tunaenda kupelekea kwenye UDINI sio kebehi ndio washafikia hapo

    Tarehe 5 december nilisema kuwa baada ya watu kumaliza kuswali misikiti yote na kwa nini walipunguza sauti kwenye mawaiza. Sikuwa na nia ya uchonganishi ila kuna mambo ambayo pandikizi tumeyaona kama matamko kudai kwa nini yule msaidi ni mkatoliki kutokuongea. Unajua kwa nini kawa kimya dot...
  11. Tumsaidie Samia na wadini wote juu ya dhana ya udini uchwara

    Tangu tupate uhuru, Tanzania imeongozwa na viongozi sita toka dini kuu mbili za kikoloni yaani Ukristo na Uislam. Watatu walikuwa Wakristo yaani JK Nyerere, Ben Mkapa na JP Magufuli ilhali waislamu ni Ally Hassan Mwinyi, Jakaya Kikwete, na sasa Samia Suluhu Hassan. Sikumbuki kuhisi udini katika...
  12. S

    Onyo: Udini ukifanikiwa, hata majeshi yatagawika na wanaotegemea majeshi, nao itakula kwao

    Huu ndio ukweli mchungu kwa mtu yeyote mwenye kuona mbali. Majeshi yakigawika kwa misingi ya imani za kidini, hayawezi kuwa loyal kwa mujibu wa viapo vyao na itawaathiri hata wale wanaotegemea dola iwaweka madarakani. Mtatoa order, ila askari kabla hajatekeleza hio order, atajiuliza kwanza...
  13. PostGE2025 Askofu Bagonza: Kufikiri unakataliwa au unakubaliwa kwa sababu ya dini yako ni udini

    Askofu Benson Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook anasema; UDINI UNAWEZA KUWA HUU. Suala la udini katika taifa letu ni mgumu kuuthibitisha. Unachoweza ni kuonyesha au kuona dalili. Ukiona hali hiyo, wewe binafsi unachukua hatua; 1. Kumbagua mtu kwa sababu ya dini yake ni UDINI. 2...
  14. M

    Mtu mmoja amwambie Samia, Kabla ya hoja ya Udini. Achokonoe Muungano. Vinginevyo anapoteza muda

    Weakest point ya Tanzania ni Muungano, na sio dini, Udini unaweza kuja tukiwa nje ya Muungano. Samia anapoteza hela na muda wake kuchochea mgogoro wa Dini ndani ya Muungano. Kama amekusudia kweli kuleta chokochoko za Dini aanze na chokochoko za Muungano, Wahafidhina wa Zanzibar wapite naye...
  15. Maandamano yapo palepale ni makubwa mno kushinda Okt 29.

    Toeni vitisho sanaaa Toeni matangazo Tumieni Propagandaaa Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa. Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi Kagueni vitambulisho Tangazeni hali ya Hatari Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu...
  16. Waarabu na waisrael wanapogania utaifa sie udini nani katuroga huyu?

    Ukitafakari na kuelewa kinachoendelea Mashariki ya Kati ukilinganisha na Tanzania, unahuzunika hata kuugua. Wenzetu wanapigania utaifa. Sie twauana kwa kupigania udini. Halafu tunashangaa kwanini hatuendelei huku Wenzetu wakitutumia na kutucheka mbali na kutubagua na kutudharau. Utaifa kwanza...
  17. PostGE2025 Je, "Matumizi ya Propaganda za Udini" yanaleta uponyaji au yanapanua mpasuko kwenye kidonda?

    Ni kweli kwamba propaganda haziepukiki katika jamii yoyote yenye mijadala, misuguano ya kiitikadi, au mazingira ya kisiasa yaliyochangamka. Hata hivyo, changamoto kubwa si uwepo wake, bali namna zinavyoratibiwa, kusimamiwa na kupimwa kabla ya kutumiwa kama nyenzo ya mawasiliano. Bila uchambuzi...
  18. Kumbukizi: Godbless Lema zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, Uislamu na Ukristo ambao hautendi haki, huo ni unafiki wala siyo Udini

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Godbless Lema kwenye moja ya Mkutano wake wa hadhara alisema; Waislamu sikilizeni, zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, nawaambia mimi najua 'game' zinavyochezwa nchi hii, waambieni hivi kwani CHADEMA wanashida na Msikiti?...Sisi...
  19. Tanzania haitakaa iwe na UDINI wala UKABILA. Katika hili, Mwl. Nyerere apewe maua yake.

    Baba wa taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema "Wapo viongozi wakishindwa kukubalika kwa sera basi wanaamua njia mbalimbali ikiwemo Ukabila na Udini. Ukitumia Dini au Ukabila kukubalika unagawa watu, kazi ya uongozi ni kujenga watu wawe kitu kimoja". Kwanza dini zote zinamuabudu...
  20. PostGE2025 Nakuhakikishia Samia, kamwe hutofanikiwa kupandikiza mbegu ya Udini kwetu. Tumekukataa wewe na Chama chako

    Baada ya kuona Watanganyika hatukutaki, baada ya kuona Dunia imekukataa naona usivyo na akili umeamua kupandikiza mbegu ya udini ili ututoe Watanganyika kwenye mstari. Usichokijua ni kwamba hukuwateka na kuwapoteza watu wa dini moja tu. Hujaua watu wa dini moja tu. Umeua, umeteka na kupoteza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…