Wakuu naomba kwa yeyote anae fahamu ikiwa ni mtu binafsi, shirika, taasisi ama kampuni inayodhamini watu elimu ya chuo kwa mashart nafuu especially ktk masomo ya sayansi naomba kujuzwa TAFADHALI.
Heshima kwenu wakuu...
Moja kwa moja niingie kwenye mada husika. Kumekuwa na mkanganyiko kati ya uwekezaji uliofanywa na Mo pale Simba na udhamini uliofanywa na Azam kwa wanandinga wa Jangwani.
Sisi wa Buhigwe kitu kinachotuchanganya ni kuwa ina maana Mo ataimiliki simba maisha kwa hiyo 21B...
Habari zenu wakubwa,
Kwasasa soka la Africa mashariki linainuka kwa kasi sana angalau sasa wadhamin wanaweka pesa ya maana. Mfano kwa hapa Tz giant Yanga kaingia mkataba mnono na kampuni ya Azam media kwa engagement ya kurusha shughuli za yanga like mazoezi
Mahojiano ya wachezaji wa Yanga...
Wakuu,
Kama kuna anayefahamu kuhusu taasisi, jumuiya au hata shirika linalojihusisha na udhamini wa wanafunzi wa elimu ya juu anisaidie nina shida ya udhamini.
AHSANTE
Kama kichwa kinavojieleza hapo, Kwa taarifa zilizotolewa na serikali katika kudhamini hayo mafunzo ilikuwa mafunzo yaanze kesho tar 17 May 2021. Lakini mpaka sasa walioomba hawajapewa feedback zozote na tarehe 17 ni siku ya kesho.
Sasa sijui wanalichukuliaje hili swala?