udart

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tumakinike tuchukue hatua: Ya UDART yasijirudie SGR

    Leo haikuwa siku njema sana kwa treni ya umeme ya SGR ilipopata ajali maeneo ya Ruvu ikielekea Dodoma.. Mungu ni mwema hakukuwa na vifo bali uharibifu mkubwa wa miundombinu Kwa muonekano wa ajali treni iling'oka matairi na kutoka nje ya reli.. Kama sio hujuma basi kuna uzembe mkubwa kwenye...
  2. Unafiki wa media kutoripoti kero za wasafiri wa Mwendokasi, lakini media zote zimeripoti mabasi mapya UDART

    Media zetu Tanzania zinatusaliti au ni waoga? Sikusikia wala kuona vyombo vya habari vilivyosajiliwa wakihabarisha kero za wasafiri wa Mwendokasi. Taarifa nyingi zimetufikia kupitia Social Media na hapa JamiiForums. Lakini baada ya serikali kutoa mabasi mapya ya UDART, tunaona vyombo vikuu vya...
  3. Wateuliwe watu wenye uwezo kuongoza Bodi za UDART na DART. Tenguzi na teuzi hazisaidii kama Utaalam na uwezo vimewekwa pembeni.

    Katika nchi yoyote ile Duniani khasa kwenye miji yake mikubwa ni lazima kuwepo na mifumo imara na madhubuti ya usafiri na usafirishaji. Mifumo bora ya usafiri (transport system) inapokosa muunganiko kati ya ubunifu (plan) na miundombinu (infrastructure) hutokea kushindikana kwa ufanisi wa mifumo...
  4. K

    Ufafanuzi wa UDART tukio la abiria kupanda mwendokasi bila kufuata utaratibu

    🛑 TAARIFA KWA UMMA KUTOKA UDART KUHUSU UFAFANUZI JUU YA TAARIFA YA TUKIO LA ABIRIA WA MABASI YAENDAYO HARAKA KUPANDA PASIPO KUFUATA UTARATIBU
  5. Ushauri kwa serikali kupunguza aya mateso ya UDART waruhusu njia hizo kuwe na daladala

    Ushauri kwa serikali kuhusu mfumo wa biashara hii ya mabus uwepo ushindani na mabasi ya daladala yawepo alafu mwananchi ataamua mwenyewe apande lipi tofauti na sasa
  6. B

    Uwekezaji kwenye Ubia wa BRT maarufu kama UDART kwa kushirikiana na Emirates utaleta mapinduzi na huduma bora kwa abiria wa Dar Es Salaam. Big Up!

    Mimi ni mhanga wa kupata shida na shurba za usafiri hapa Mjini Dar. Mradi wa usafiri wa umma wa UDART umekuwa kero kwa muda mrefu. Jana nimeona taarifa kuwa kutakuwa na uwekezaji kutoka kampuni ya Emirates ambayo ina lengo la kuboresha huduma za usafiri pamoja na kuongeza nyenzo kama Mabasi...
  7. PreGE2025 Isihaka Mchinjita: Watu wa UDART wamevunja simu na kulazimisha Waandishi wafute taarifa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita akielezea kilichotokea akakamatwa na Jeshi la Polisi, leo Mei 23, 2025 baada ya kuingia kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kimara Mwisho kwa lengo la kujionea na kukagua adha ya usafiri huo. Pia soma ~ Makamu Mwenyekiti wa ACT...
  8. UDART yatoa ufafanuzi kuhusu abiria kuzuia basi kituo cha Kimara Mwisho

    Kampuni ya Mabasi yaendayo haraka UDART inapenda kutoa ufafanuzi juu ya tukio lililochapishwa katika mitandao ya kijamii ya Global na Manara Tv, taarifa ilichapishwa ikionyesha baadhi ya abiria katika kituo cha Kimara Mwisho wakizuia moja ya Basi la Kampuni ya Mabasi yaendayo haraka. Leo...
  9. PreGE2025 Mabasi mapya ya Mwendokasi yanayotumia gesi kuwasili Aprili

    Mabasi mapya ya Mwendokasi yanayotumia gesi yatawasili Aprili mwaka huu, lengo ni kuongeza matumizi ya nishati safi. Kampuni ya Mabasi yaendayo Haraka (UDART), imesema kuanzia Aprili mwaka huu watapokea mabasi mapya yanayotumia gesi asilia iliyosindikwa (CNG). Aidha, hatua hiyo ni mkakati wa...
  10. KERO Wakatisha tiketi wa UDART kwanini hamturudishii chenji abiria?

    Abiria wanalalamika chenji hamrudishi kwa visingizio hamna chenji. Abiria ukitoa 1000 chenji 250 unaambiwa simama pembeni subiri chenji kama una haraka unamwachia chenji. Hii hajakaa sawa kabisa wahusika fuatilieni vituoni kutatua kero hii.
  11. Kwanini UDART haitangazwi mufilisi ili ipatikane suluhu ya usafiri jijini Dar es Salaam?

    Ni ukweli ulio wazi kuwa UDART maarufu kama mabasi ya mwendokasi imeshindwa kutoa huduma kwa watu na yenyewe imekuwa ikijitetea kuwa haina mabasi ya kutosha kwa sasa. Kwa sasa wananchi wanapata adha kubwa ya usafiri kiasi ukipita asubuhi vituo vya mwendokasi vimejaa abiria ambao husubiri...
  12. J

    Dart, Udart zapewa siku 90 mabasi Mwendokasi Mbezi Mbagala yapatikane

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa amezitaka Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) na Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (Udart) kuhakikisha ifikapo Desemba 2024, mabasi ya mwendokasi yanayotakiwa katika barabara ya Morogoro na ya...
  13. Bila kadi sasa hupandi Mwendokasi. Waziri Mchengerwa awataka DART kutoa fursa Kwa Watanzania kuwekeza kwenye Mwendokasi

    WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi ) Mohamed Mchengerwa amewataka watendaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka ,Dar es Salaam (DART) kutoa fursa kwa watanzania wenye uwezo kuwekeza katika mradi huo ili kupunguza changamoto na kero zinazolalamikiwa hasa...
  14. TAKUKURU yasema UDART walisaini makubaliano batili kujenga maduka katikati ya Barabara

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Wilaya ya Temeke imebaini kuwa baadhi ya Watumishi wa Wakala wa Mabasi Yaendao Haraka (UDART) waliingia makubaliano batili na Watendaji wa Kampuni ya Sahara African Beauty kwa ajili ya kujenga jengo la kudumu lenye vyumba 60 kinyume na Sheria...
  15. Serikali kukopa Fedha NMB kwaajili ya kununua Mabasi 100 ya Mwendokasi

    Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu, amesema katika jitihada za kuboresha uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi benki ya NMB imekubali kutoa mkopo kwa Serikali ambayo inamiliki kampuni ya UDART kwa 85% ili kuongeza mabasi zaidi ya 100 ya mwendokasi. Akiongea Jijini Dar es salaam leo July 15,2024...
  16. Wizi katika mwendokasi umezidi. Je, nini kifanyike?

    Mimi ni mdau na mwananchi nayepanda usafiri wa Udart. Mwezi huu wa June nimeshuhudia wezi wanne kukamatwa na watu zaidi ya 30 kulalamika kuibiwa simu na pesa wakati wa kugombania mwendokasi hasa hasa vituo vya kivukoni na Gerezani na Manzese ambapo nimeshuhudia watu wakikamatwa katika vituo...
  17. Basi za Udart ziko wapi???

    Tukikumbuka ahadi za wanasiasa na siasa zao uhsusani kipindi hiki cha uchaguzi tunamalizia ni watu wale wale na mambo yale yale. Nakumbuka wakati ule waziri kama sikosei Bashungwa alipiga mpaka ziara katika mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam. Ukiwa mgeni unaweza fikiri wako serious kumbe...
  18. S

    SoC04 Huduma za TRC Mpya zisiwe za ubabaishaji!

    Hivi karibuni jijini Dar es salaam, tukiwa tunapambana kuingia ndani ya basi la Mwendokasi lililokuwa ‘limeshona’ abiria, nilimsikia mwenzangu mmoja akisema kwa uchungu, “Kama Mwendokasi inatutesa namna hii, hiyo treni ya SGR si itatuua kabisa?” Nilibahatika kuingia, lakini yeye hakufanikiwa...
  19. Ushauri: UDART Mwendokasi kuwe na refund

    Salaam, Hakika ukitaka kusafiri jioni kuelekea kimara kuanzia saa 11 na kuendelea kupitia Mwendokasi ujipange kisaikolojia, ukikata tickets kwenye vituo huwa hawakuambii hali ya usafiri ipoje, ukiingia kusubiria basi ndio kasheshe huanzia hapo. Jana kwenye kituo cha magomeni mapipa...
  20. Serikali iziachie taasisi kama UDART na DART zijiendeshe zenyewe na ziteue watendaji wanofaa hata kama ni kutoka nje

    Maofisa watendaji wakuu wa taasisi yoyote ile ni maofisa waaandamizi kabisa wa kampuni au taasisi yoyote ya umma. Kwa miaka mingi kumekuwepo na teuzi na tenguatengua za watendaji wa makampuni na taasisi mbalimbali za serikali jambo linoonyesha kuwa kuna tatizo kwani taasisi hizo ama zimeitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…