uchungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa makanisa na misikiti kulipa kodi ili wapate uchungu na kusimamia HAKI

    Makanisa na misikiti kutolipa kodi ni RuSHWA kwa viongozi wao ili wasikemee maovu au ili waitetee serikali kwa uovu wake. Kwa misingi hiyo makanisa na misikiti anze kitoa stakabadhi za malipo za EFD kwa kila pesa wanayopokea na kwa kila shughuli watakayoendesha. Haiingiit akilini eti...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa wabunge Ulenge wabunge walio na uchungu na nchi hii na wasomi

    Kwenye kura za maoni asilimia kubwa RUSHWA ilitumika sana na hii haina mjadala kila mtu aliona. Wengi waliopita waliwanunua wapiga kura na kuwaacha wale walio na uwezo kwa kukosa fedha za kuwahonga wajumbe waliachwa. Ninaishauri Chama changu. Chama kifanye utafiti wa kina na iwapendekeze wale...
  3. JamiiForums Tanzania Mtoto wa marehemu John Komba amshauri mtoto wa Ndugai... CCM sikieni

    Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM. Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za...
  4. JamiiForums Tanzania Nacheka - kicheko cha uchungu!

    Mfalme ameandaa sherehe kubwa ya arusi. Amewaalika watu wote bila upendeleo. Lakini ajabu, wote walioalikwa wamekataa mwaliko! Huyu anasema: "Samahani, naenda kuzika." Yule anasema: "Lazima niende shambani, nimeanza kupanda mbegu." Mwingine amejibu: "Naomba unielewe, nimeoa hivi majuzi!" Wote...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mama ana uchungu wa kuzaa mwaka huu. (2025-1964=61)!

    Salaam, Shalom! Naongea lugha ya kiroho. Wanaume wote wana tumbo la uzazi kama ilivyo kwa wanawake na ndani yao kuna watoto wa kiume na kike, mfumo wa uzazi wa Mwanaume umetunzwa ndani ya mwanamke, amekaimishwa kutunza na kuzaa kiumbe. Anyway tuendelee... Tanzania ni kiumbe, kina macho...
  6. JamiiForums Tanzania Kilio unachosikia wakati mwanamke ameumizwa au ana uchungu ndio sauti hiyo hiyo utaisikia akiwa anafanya mapenzi tofauti ni volume tu

    Huu ni utafiti wangu binafsi naomba mwenye pingamizi aje kwa comment. Asanteni Kilio unachosikia wakati mwanamke ameumizwa au ana uchungu ndio sauti hiyo hiyo utaisikia akiwa anafanya mapenzi tofauti ni volume tu
  7. JamiiForums Tanzania Hii clip nimeitizama nikajawa na uchungu sana

    Inatia hasira sana... Haya mambo mpaka lini??
  8. JamiiForums Tanzania Kama hana uchungu nasi na nyie hamna?

    Kama yeye hana uchungu nasi kwa kuwa yeye sio sisi , yeye ni kule sio huku , Hana ndugu huku na amevuka maji kuja huku . Je na nyie hamna uchungu na sisi? Mwenzenu wa Buhigwe nafsi ilimsuta muda mrefu akaamua kujiondoa kwa staili Ile maana ana familia inamtegemea hivyo asingeweza ondoka kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kama wana uchungu na Wananchi kwanini Wabunge wasipunguze mishahara yao

    Mambo ya ajabu sana yanayotokana na upofu wa viongozi. Kama hao wabunge wana uchungu sana na afya za wananchi ni kwa nini wasiridhie kutozwa hata 2% kwenye mishahara yao na kiinua mgongo kwa ajili ya kutunisha mfuko wa Bima ya Afya? Wananchi amkeni... Utapeli mwingine kama huu ukataliwe na...
  10. JamiiForums Tanzania Mnaomshambulia Abbas Tarimba, anajua uchungu wa mwana kuliko nyie, alishawahi kupoteza watoto wawili kwa mpigo

    Mbunge wa Kionondoni, Abbas Tarimba anajua uchungu wa kupoteza watoto, na sio mtoto tu, bali watoto wasomi wanaochangia katika ujenzi wa taifa Nimemsikiliza kwa umakini akisimulia mwaka 2019 alivyopoteza watoto wake wawili wa kiume ndani ya miezi minne tu. Chanzo cha vifo vyote ni homa ya...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Kenya wanaishambulia Serikali yetu, Nasikitika kuona watanzania wengi wapo kimya, huu sio uzalendo, tuipende nchi yetu.

    Kwa jinsi wakenya wanavyoicharua Serikai yetu huko kwao ni sawa na mteja alieenda Kariakoo kafika Dukani, mwenye duka anamuangalia tu winga anavyomcharua bei mteja bila huruma, watanzania walio kimya hawana tofauti na mwenye duka. Sana sana unaowaona wanajibu mashambulizi ni wenye vyeo...
  12. JamiiForums Tanzania Wao walifanya hivi. Sisi tunafanya nini Waja wake? Anauliza Ustaadhi kwa uchungu

    Labda nimjibu huyu dogo. Si lazima kuiga wanachofanya makafiri. Sisi tuna chuo pale Morogoro. Hajui? Tuna msikiti mkubwa sana pale Dodoma. Na tumeomba mara kadhaa serikali itununulie camera ya kuangalizia mwezi na kuruhusu tende zije bila kodi. Tusipate shida wakati wa mfungo. Na pia watu...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanamke mhanga kati waliopigwa Mabwepande asimulia kwa machozi ya uchungu walivyokamatwa na kuteswa

    "Naitwa Pendo, Jana nilitoka nyumbani kwa ajili ya kwenda mahakamani kusikiliza kesi ya Lissu, niliwahi sana kufika mahakamani, nikakuta akina Pambalu, Mwaipaya na viongozi wengine. Tulishauriana turudi ili tukawasaidie waliochukuliwa getini. Tulikuta dada yupo chini, juu yupo uchi, nikatoa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Lissu Hana Familia Nchini na Watoto Wake Wana Uraia wa Marekani.Ndio Sababu Hana Uchungu na Tanzania hata kukitokea Machafuko na kuchinjana.

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwakumbusheni na kuwataarifuni ya kuwa mnapoona Lissu anatoa lugha za uchochezi,ubaguzi na kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini . Ni kwa sababu hana uchungu na Taifa hili, hana cha kupoteza katika Maisha yake hapa Nchini. Hana Damu inayoweza kumuuma...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ee Mungu wa Tanzania, waja wako twakuomba, isijirudie tena hii, tumejua, wa pili kumbe hawi na uchungu kama wa kwanza kwa mali na Watanzania

    Eee! Mola wetu mlezi! Muumba wa mbingu na aridhi, umetuonyesha kwa macho yetu tumeona na sasa twakuomba, Uirehemu nchi yetu, sisi na viongozi wetu na kwamba Ee Mungu wetu, isijirudie tena ya kutwaa wa kwanza ambaye tokea akiutafuta uongozi, hubeba machungu, shida, dhiki za Watanzania na kwamba...
  16. JamiiForums Tanzania Prof Jay: Rais Samia alikuwa kama Mama yangu, alipata uchungu wa Mama

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule maarufu Prof Jay amesema Rais Samia alikuwa kama Mama yake wakati akimshukuru kwa jitihada zake za kumtibia.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Dkt.Rugemeleza Nshala kaipata hii nafasi ya mwanasheria wa CHADEMA?

    Dkt.Rugemeleza Nshala ana uchungu na CHADEMA? Maana tangu kufatilia siasa za upinzani huyu sijawahi kumuona kuvaa gwanda. Leo ndio mwanasheria mkuu wa CHADEMA. Au urafiki wa Lissu ndio kumemfanya kupata nafasi hii?
  18. JamiiForums Tanzania Oya mbona hii Taarifa ya Max Zengeli anaondoka kuelekea Morocco inafichwa sana kwa Sisi wana Yanga SC wenye Uchungu?

    Kwahiyo wana Yanga SC tumeamua kutumia 'Inshu' ya Chasambi ili Kuificha kwakujua kuwa Sisi Mashabiki ni hohe hahe?
  19. R

    JamiiForums Tanzania Watu wanakula rushwa na kuuza mali za umma tupo kimya, Gozibeth kuchoma gari lililochakaa mnajidai wazalendo na mna uchungu; Unafiki

    Wale watuhumiwa wa ufisadi na wizi wa mali za umma wengi wapo mitandaoni wanamshauri Mwanamziki Gozibeth asingechoma moto gari bali angewapa wahitaji au kulirejesha. Kuna baadhi ya wanafiki wamekwenda kutafuta na kifungo cha maisha kwenye sheria kama adhabu wanayotamani apewe. Baadhi...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaopinga " New World Order" ni vichaa

    Wanapinga kitu wasicho kijua. Nimefanya utafiti WA Kina kuhusu New World Order . Nimesoma vitabu ishirini kuhusu " New World Order" . Ninasema hivi dunia hii Ina ihitaji New World Order Kuliko unavyo weza kufikiria. Mngejua New World Order mngetamani ianze hata kesho. Mnadanganywa sijui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…