uchumi wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Ziara ya balozi wa Uingereza Moshi yaonyesha Mizizi Imara ya SBL katika Uchumi wa Tanzania

    Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Bi. Marianne Young ( Wa kwanza kushoto), akifuatilia kwa makini maelezo ya utendaji wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti kilichopo Moshi, yaliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano kwa Umma wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Bw. John Wanyancha ( wa kwanza...
  2. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila aeleza misingi minne ya kujenga uchumi wa kisasa

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchjni PPPC Bwana David Kafulila amesema ukuaji huu wa wa kasi wa Uchumi wa Tanzania 1unatokana na ukuaji wa Diplomasia Kimataifa. Mkurugenzi Kafulila ametaja mambo manne ambayo ni muhimu kwenye kujenga Uchumi wa kisasa. Kwanza, Mkurugenzi huyo...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Lazima tukusanye Pesa zetu za ndani huko nje masharti yamekuwa yakiongezeka

    Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu wa ulipaji kodi kwa maendeleo ya nchi, akiwahimiza wafanyabiashara na wananchi kutambua kuwa kodi ndio msingi wa uendeshaji wa Taifa. "Ndugu zangu wafanyabiashara, lazima tulipe kodi. Hamna nchi inayoendeshwa bila kodi. Hata hao wanaotusaidia, pesa...
  4. JamiiForums Tanzania Kulikoni baadhi ya nchi zimechukia kusikia uchumi wa Tanzania unaimarika vizuri sana na inajitegemea kugharamia uchaguzi wake mkuu kwa asilimia 100%?

    Kwani kipi cha ajabu hapo? Au walidhani dhamira njema na jitihada madhubuti za makusudi za kiuchumi za Dr.Samia Suluhu Hassan ilikua mzaha? Huu ni mwanzo tu. mwaka ujao wa fedha, bajeti ya serikali sikivu ya CCM chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan na Makamu wake Dr.Emmanuel Nchimbi...
  5. JamiiForums Tanzania Wafahamu "Economic Hitmen" na jinsi wanavyoharibu Uchumi wa nchi

    Kuna watu wanaitwa 'ECONOMIC HITMEN". Hawa ni wataalamu wa uchumi wa mataifa ya Ulaya, Uarabuni, na Taifa la Marekani ambao kazi yao Pekee ni kujenga urafiki wa karibu na Marais na watawala wa nchi za Africa na America ya Kusini. Baada ya kujenga urafiki na ukaribu na Marais pamoja na...
  6. JamiiForums Tanzania Ongezeko la deni la taifa na ukuaji wa uchumi wa Tanzania

    DENI LA TAIFA Naomba kutoa hoja hii tafakarishi kwa mustakabali wa nchi yetu. Naomba tuwapime viongozi wetu katika ukuaji wa uchumi wa nchi ukilinganisha na ongezeko la deni. Tulinganishe ukuaji wa deni kati ya awamu ya Nne ya JK (miaka 10) na awamu hizi mbili za JPM na SSH. Wakati JK anaingia...
  7. JamiiForums Tanzania Profesa Mkumbo: Uchumi wa Dunia unashuka, ila Uchumi wa Tanzania unapanda

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema kuwa licha ya hali ya uchumi duniani kuendelea kuyumba, Tanzania imeonyesha uimara kwa kuendelea kukuza uchumi wake kwa kasi na ustahimilivu wa hali ya juu. Akitoa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka...
  8. JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania inaporomoka, wachumi wetu mbona hamuongei chochote?

    Wachumi mbona mpo kimya na hamna maelezo? Waziri mwenye dhamana,nini kinaendelea katika uchumi wetu?
  9. JamiiForums Tanzania Licha ya Mbeya na Tanga kuwa miongoni mwa Mikoa Inayoendesha Uchumi wa Tanzania ila Imeshindwa Kuvutia Wawekezaji Kwa Wingi.Shida nini?

    Hii ni mada ambayo imewekwa na The Citizen wakinukuu na kufanya uchambuzi wa taarifa kutoka BoT. Licha ya kuwa miongoni mwa majiji sita bora kwa uzalishaji wa kiuchumi hapa Tanzania, Mbeya na Tanga zinasuasua kwa kiasi kikubwa katika kuvutia miradi ya uwekezaji, mitaji, na ajira. Hali hii...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ruto asema uchumi wa Tanzania na Uganda hauna hadhi, duni na unaouza bidhaa nje bila ushuru

    CCM inazidi kuumbuliwa mchana kweupe na kuzidi kuipandisha chart CHADEMA. Akiwa Beijing, China kwa ziara ya siku 5, raisi wa Kenya amenukuliwa akisema kwama "Tofauti yetu na majirani zetu ni kwamba Kenya ipo kwenye kundi la watu wenye kipato cha kati, huku Tanzania, Uganda na nyingine ziko...
  11. JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania (BoT): Uchumi wa Tanzania unatarajiwa kuendelea kukua kwa kasi ya 6.1% na 6.5% mtawalia

    BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuwa uchumi wa Tanzania Bara na Zanzibar unatarajiwa kuendelea kukua kwa kasi ya kuridhisha katika robo ya pili ya mwaka 2025, kwa asilimia 6.1 na 6.5 mtawalia, huku mfumuko wa bei ukitarajiwa kubaki tulivu kwa asilimia 3.2. Akizungumza jijini Dar es...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shigongo: Tanzania inaizidi pesa Kenya, Uganda na Rwanda. Rais Samia ameurejesha uchumi wetu ulipokuwa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaambia wananchi wa Buchosa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kuurejesha uchumi wa nchi mahali ulipokuwepo kabla ya janga la Corona. Amesema hilo linatosha kumfanya kila mwananchi awe na matumaini makubwa ya kuwa nchi itaendelea kusonga mbele...
  13. JamiiForums Tanzania Rasilimali za kilimo, ufugaji na uvuvi na mchango wake katika uchumi wa Tanzania

    RASILIMALI ZA KILIMO, UFUGAJI NA UVUVI NA MCHANGO WAKE KATIKA UCHUMI WA TANZANIA Tanzania ni nchi yenye utajiri wa rasilimali za asili ambazo zimekuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa taifa. Miongoni mwa sekta hizi ni kilimo, ufugaji na uvuvi. Sekta hizi zimekuwa uti wa mgongo wa uchumi wa...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA inawaza madaraka tu hawana Sera za kukwamua uchumi wa Tanzania

    Sijaona maono yoyote ya maana kutoka kwa Mwenyekiti mpya wa chadema ambayo yanaweza kubadili nchi zaidi ya kuwazia madaraka ya kiserikali tu. Sijasikia mipango madhubuti kwenye sekta mbalimbali mfano kilimo,teknolojia,ajira,afya,elimu au maswala ya ulinzi na usalama. Ni ujuha kalulu kufikiri...
  15. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushindi wa Lissu na Uchumi wa Tanzania

    Natanguliza pongezi za dhati kwa Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Tundu Lissu kwa kuaminiwa na kukabidhiwa Kijiti kuongoza chama kutoka kwa Freeman Mbowe. Lissu anafahamika kwa harakati zake za kitambo katika kupigania lile analoliamini na kulisimamia. Katika kampeni zake za kugombea uenyekiti wa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Uchumi Duniani yaonyesha matokeo makubwa Uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia

    Uthibitisho wa ripoti ya Fitch Ratings umeipa Tanzania kiwango cha alama B+ kuwa na Uchumi unaokua kwa kasi na uwezo wa Kulipa Madeni ya Nje kwa Muda Mrefu (IDR). Ripoti hiyo imeonyesha mtazamo thabiti wa mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Sera...
  17. JamiiForums Tanzania Wingi wa uagizaji wa magari unatoa tafsiri gani kwa uchumi wa Tanzania?

    Sorry kwa quality ndogo ya video hiyo picha mjongeo iliyoambatanishwa hapo chini sio Japan hapo ni Bandari ya Dar es salaam Tanzania
  18. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania unakua watajwa kuingia kwenye 10 Bora Afrika kwa pato la GDP

    Nchi ya Tanzania imeendelea kutajwa kuwa imara na kukua kiuchumi, hiyo ni baada ya kuingia kwenye orodha ya nchi 10 bora za Afrika kwa Pato la Taifa (GDP) kwa Mwaka 2024, kwa mujibu wa IMF. Ikiwa na GDP ya Dola Bilioni 79.87, maendeleo ya uchumi wa Tanzania yanaonyesha athari chanya za sera...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Walipa Kodi Wanakubali Faini za Makosa Lakini Si Kulipa Kodi Kwani "Ni jambo gumu na sirahisi kukubalika"

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi leo tarehe 04 Oktoba 2024, jijini Dar es Salaam, amesema kuwa malalamiko ya walipa kodi yanatokana na ukweli kwamba kodi ni jambo gumu na mara nyingi si rahisi kukubalika. Amesema kuwa ni kawaida kwa mtu kuwa tayari...
  20. JamiiForums Tanzania Kafulila: Pato la Kila Mtanzania litafikia TZS 17M kwa mwaka 2050

    Hiki ndicho alichokiandika Kafulila kwenye Ukurasa wake wa X, "Kati ya mwaka 2000 na 2025, pato la kila Mtanzania liliongezeka mara manne ( 4 ) kutoka US$360 mpaka US$ 1500 kama ikiendelea hivyo, mwaka 2050, pato la kila Mtanzania litakuwa US$ 6,000 sawa na Pato la Mwafrica ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…