uchumi wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Nyerere angewasikiliza Mtei na Kambona uchumi wa Tanzania ungekuwa mkubwa sana

    Nyere alishidwa sehemu moja tu kwenye uchumi. Wakati wa nyerere Tanzania ilikuwa masikini na hakufanikiwa kuja na suluhu ya maana. Sera na maazimio yake hayakufanikiwa ndiyo maana hadi leo Kenya nchi ndogo zaidi imetuzidi uchumi. Kuna watu wawili ambao angewasikiliza tusingekuwa hapa Edwin...
  2. The Burning Spear

    Uchumi wa Tanzania unaangamia kwa siasa za uchawa

    GT. Na Malisa. Wakati wa Magufuli IMF ilitoa takwimu kwamba GDP per capita yetu imepanda hadi $2,400 na tukaingia kwenye orodha ya nchi za uchumi wa kati (Lower middle Income). Leo IMF haohao wametoa takwimu kuwa GDP per capita imeporomoka hadi $1,300. Nini kimetokea? Wakati ule tumeingia...
  3. Bwege2030

    Uchumi wa Tanzania 2026

    UCHUMI TANZANIA 2026 Januari 2026 unaonyesha kuwa uchumi wa Tanzania upo katika kipindi muhimu cha mpito, ambapo ukuaji wa jumla wa uchumi ni imara, lakini kuna changamoto za kimuundo katika upatikanaji wa ajira na usambazaji wa matunda ya ukuaji huo kwa wananchi wa kawaida. Huu hapa ni...
  4. stakehigh

    Uchumi wa tanzania kwa mwaka 2025 ulikua vizuri, Tunafunga mwaka na GDP ya $90B

    kutokana na projection za IMF uchumi wa tanzania ulikadiriwa kukua kwa 7-8% wakati mwaka unaanza: Mwaka wa 2023 kwenda 2024 GDP ilikua $70-$75B lakini mpaka mwisho wa mwaka huu GDP yetu ni ~$90B, ukuaji mzuri sana huu, maaana yake mpaka mwisho wa mwaka 2026 kama ukuaji utakua huu huu basi...
  5. Kimbesa11

    Tunajivunia kuona Tanzania ipo kwenye orodha ya nchi kubwa duniani. Kuwepo kwenye list tu ni pigo kwa nchi za Ulaya

    Baada ya Donald trump kuzishutumu nchi za Ulaya kwa kukosa uongozi Bora kitendo ambacho kimepelekea uchumi wa bara la ulaya kushuka. Ulaya wamekuja na propaganda za kuzishutumu nchi kubwa Duniani kuwa zinaendeshwa kidikteta wakati uchumi wao wote wa ulaya unategemea nchini hizo, Ulaya haigusi...
  6. Samia atosha tukutane2030

    Aliyesoma uchumi hata kwa ngazi ya Astashahada atakubaliana na Mimi kuwa Magufuli aliua uchumi wa Tanzania

    Kwa wenye roho za kichawi si rahisi kunielewa hapa. Kwa wenye mtindio wa ubongo si rahisi kunielewa hapa. Magufuli aliua uchumi wa Tanzania kwa kiwango kikubwa sana. Kama angemaliza miaka 5 ya awamu ya pili angeua uchumi wa Tanzania kwa 90% mpa 100%. Uchumi imara wa Taifa lolote unategemea...
  7. Sales man

    Familia ya kikwete inamiliki 1/3 ya uchumi wa Tanzania , polepole akifika hapa watu wataamka.

    Familia ya kikwete inamiliki uchumi wa Tanzania 1/3 . Diaspora wengi jinsi ambavyo wamekuwa wakifanyiwa sabotage katika uwekezaji . kwa kunyimwa Vibali n.k Hii ndo maana Diaspora hawataki kumsikia kikwete .
  8. J

    Uchumi wa Tanzania umekamatwa na sekta binafsi wanamiliki trilioni 54 kati ya 77

    ==Kuongezeka kwa rasilimali za sekta binafsi nchini kunatafsiri sera madhubuti za Rais Samia katika kukuza Uchumi shindani na jumuishi ,Mwaka 2020 thamani ya rasilimali zote za Serikali, Mashirika na Taasisi nchini Tanzania thamani yake ilifikia TZS 60.12Trilioni wakati rasilimali za sekta...
  9. Blasio Kachuchu

    Ziara ya balozi wa Uingereza Moshi yaonyesha Mizizi Imara ya SBL katika Uchumi wa Tanzania

    Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Bi. Marianne Young ( Wa kwanza kushoto), akifuatilia kwa makini maelezo ya utendaji wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti kilichopo Moshi, yaliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano kwa Umma wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Bw. John Wanyancha ( wa kwanza...
  10. J

    David Kafulila aeleza misingi minne ya kujenga uchumi wa kisasa

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchjni PPPC Bwana David Kafulila amesema ukuaji huu wa wa kasi wa Uchumi wa Tanzania 1unatokana na ukuaji wa Diplomasia Kimataifa. Mkurugenzi Kafulila ametaja mambo manne ambayo ni muhimu kwenye kujenga Uchumi wa kisasa. Kwanza, Mkurugenzi huyo...
  11. Waufukweni

    Rais Samia: Lazima tukusanye Pesa zetu za ndani huko nje masharti yamekuwa yakiongezeka

    Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu wa ulipaji kodi kwa maendeleo ya nchi, akiwahimiza wafanyabiashara na wananchi kutambua kuwa kodi ndio msingi wa uendeshaji wa Taifa. "Ndugu zangu wafanyabiashara, lazima tulipe kodi. Hamna nchi inayoendeshwa bila kodi. Hata hao wanaotusaidia, pesa...
  12. Tlaatlaah

    Kulikoni baadhi ya nchi zimechukia kusikia uchumi wa Tanzania unaimarika vizuri sana na inajitegemea kugharamia uchaguzi wake mkuu kwa asilimia 100%?

    Kwani kipi cha ajabu hapo? Au walidhani dhamira njema na jitihada madhubuti za makusudi za kiuchumi za Dr.Samia Suluhu Hassan ilikua mzaha? Huu ni mwanzo tu. mwaka ujao wa fedha, bajeti ya serikali sikivu ya CCM chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan na Makamu wake Dr.Emmanuel Nchimbi...
  13. PSPA Pundit

    Wafahamu "Economic Hitmen" na jinsi wanavyoharibu Uchumi wa nchi

    Kuna watu wanaitwa 'ECONOMIC HITMEN". Hawa ni wataalamu wa uchumi wa mataifa ya Ulaya, Uarabuni, na Taifa la Marekani ambao kazi yao Pekee ni kujenga urafiki wa karibu na Marais na watawala wa nchi za Africa na America ya Kusini. Baada ya kujenga urafiki na ukaribu na Marais pamoja na...
  14. nyachina

    Ongezeko la deni la taifa na ukuaji wa uchumi wa Tanzania

    DENI LA TAIFA Naomba kutoa hoja hii tafakarishi kwa mustakabali wa nchi yetu. Naomba tuwapime viongozi wetu katika ukuaji wa uchumi wa nchi ukilinganisha na ongezeko la deni. Tulinganishe ukuaji wa deni kati ya awamu ya Nne ya JK (miaka 10) na awamu hizi mbili za JPM na SSH. Wakati JK anaingia...
  15. The Humble Dreamer

    Profesa Mkumbo: Uchumi wa Dunia unashuka, ila Uchumi wa Tanzania unapanda

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema kuwa licha ya hali ya uchumi duniani kuendelea kuyumba, Tanzania imeonyesha uimara kwa kuendelea kukuza uchumi wake kwa kasi na ustahimilivu wa hali ya juu. Akitoa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka...
  16. Zemanda

    Shilingi ya Tanzania inaporomoka, wachumi wetu mbona hamuongei chochote?

    Wachumi mbona mpo kimya na hamna maelezo? Waziri mwenye dhamana,nini kinaendelea katika uchumi wetu?
  17. ChoiceVariable

    Licha ya Mbeya na Tanga kuwa miongoni mwa Mikoa Inayoendesha Uchumi wa Tanzania ila Imeshindwa Kuvutia Wawekezaji Kwa Wingi.Shida nini?

    Hii ni mada ambayo imewekwa na The Citizen wakinukuu na kufanya uchambuzi wa taarifa kutoka BoT. Licha ya kuwa miongoni mwa majiji sita bora kwa uzalishaji wa kiuchumi hapa Tanzania, Mbeya na Tanga zinasuasua kwa kiasi kikubwa katika kuvutia miradi ya uwekezaji, mitaji, na ajira. Hali hii...
  18. N

    Ruto asema uchumi wa Tanzania na Uganda hauna hadhi, duni na unaouza bidhaa nje bila ushuru

    CCM inazidi kuumbuliwa mchana kweupe na kuzidi kuipandisha chart CHADEMA. Akiwa Beijing, China kwa ziara ya siku 5, raisi wa Kenya amenukuliwa akisema kwama "Tofauti yetu na majirani zetu ni kwamba Kenya ipo kwenye kundi la watu wenye kipato cha kati, huku Tanzania, Uganda na nyingine ziko...
  19. JanguKamaJangu

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT): Uchumi wa Tanzania unatarajiwa kuendelea kukua kwa kasi ya 6.1% na 6.5% mtawalia

    BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuwa uchumi wa Tanzania Bara na Zanzibar unatarajiwa kuendelea kukua kwa kasi ya kuridhisha katika robo ya pili ya mwaka 2025, kwa asilimia 6.1 na 6.5 mtawalia, huku mfumuko wa bei ukitarajiwa kubaki tulivu kwa asilimia 3.2. Akizungumza jijini Dar es...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 Shigongo: Tanzania inaizidi pesa Kenya, Uganda na Rwanda. Rais Samia ameurejesha uchumi wetu ulipokuwa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaambia wananchi wa Buchosa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kuurejesha uchumi wa nchi mahali ulipokuwepo kabla ya janga la Corona. Amesema hilo linatosha kumfanya kila mwananchi awe na matumaini makubwa ya kuwa nchi itaendelea kusonga mbele...
Back
Top Bottom