Marekani imekaa kando na kuahirisha mkataba mkubwa wa ufadhili wa afya uliokusudiwa kwa Zambia, wenye thamani ya dola bilioni 1.5 karibia Trilioni 3.7 za Kitanzania.
Marekani imeahirisha kutoa ufadhili huo kwa kile inachodai uwepo wa ufadhili huo utatokana na uelekeo wa mazungumzo...
Tanzania: Rasilimali, Ukomeshaji, na Gharama ya Mfumo wa Uchimbaji
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi: nikeli, cobalto, grafiti, madini adimu, na dhahabu. Kwa mwonekano wa kwanza, rasilimali hizi zinapaswa kuleta ustawi kwa wananchi wake. Lakini ukweli ni tofauti sana.
1. Makampuni...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameiagiza Tume ya Madini kufuta jumla ya leseni 73 za utafutaji na uchimbaji wa madini kutokana na wamiliki wa leseni hizo kutoendeleza maeneo yao kulingana na sheria na matakwa ya leseni hizo.
WACHIMBAJI WADOGO WAGEUKA NGUZO YA SEKTA YA MADINI TANZANIA.
Na Mwandishi Wetu,
Katika historia ya sekta ya madini nchini, wachimbaji wadogo mara nyingi walionekana kama sehemu isiyo rasmi, inayochangia kwa kiwango kidogo katika pato la taifa. Lakini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu...
▪️Ni maelekezo ya Mh. Rais Dkt. Samia S. Hassan
▪️Lengo ni kukuza uwekezaji wa STAMICO kwenye madini mkakati
▪️Waziri Mavunde akabidhi Leseni na kuelekeza uendelezaji wa Leseni kuanza mara moja
▪️Mradi utachochea ukuaji wa Uchumi Morogoro
Morogoro
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde (Mb) amebainisha kuwa Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameelekeza kutolewa kwa leseni ya uchimbaji madini ya nikeli kwa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na kwa Wachimbaji wadogo waliokuwepo katika eneo la vilima vya...
Kumekuwa na utaratibu wa kikodi wa kiholela sana unaocha mianya ya rushwa ya wazi kabisa kwa Ofisi ya Madini hasa kwa eneo nililolitaja, nadhani utaratibu huu unatumika kote nchini, hapa wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara.
Mwishoni nitatoa pendekezo langu juu ya nini kifanyike namna nzuri ya...
Anonymous
Thread
jinsi
kodi
madini
moja
moja kwa moja
nyamongo
ofisi
serikali
uchimbajiuchimbajimadini
Serikali kwa ushirikiano na sekta binafsi imejipanga kuanzisha vituo vya ukodishaji mitambo ya uchimbaji madini kwa wachimbaji wadogo ili kuwawezesha kutumia teknolojia za kisasa kufanya shughuli zao kwa tija.
Hayo yamesemwa leo tarehe 06 Juni, 2025 na Waziri wa Madini, Mh. Anthony Mavunde...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla, amesema baadhi ya wanasiasa wanaoikosoa serikali wanapaswa kuwa wa kweli kwa umma, kwani nao wamefaidika na fursa mbalimbali ikiwemo kupewa vitalu vya uchimbaji kama wachimbaji wadogo katika eneo la Bukombe.
"Ukiwa unapiga...
SERIKALI imetoa Hati za Makosa kwa Kampuni 95 za Uchimbaji Mkubwa na wa Kati wa Madini kutokana na wamiliki wa leseni hizo kukiuka masharti ya Leseni kama yalivyoainishwa kwenye Sheria ya Madini.
Akizungumza leo Mei 6, 2025 jijiini Dar es Salaam, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde...
TUME ya Madini imetoa leseni 8, 501 katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025 ikilinganishwa na lengo la kutoa leseni 10,294.
Hayo yamesemwa Bungeni jijini Dodoma, leo Mei 2, 2025 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde (MB) akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha...
Serikali kupitia Wizara ya Madini imetunga kanuni za msaada wa kiufundi katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini ambapo zitaratibu ushiriki wa wageni katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini(PML) ambazo kwa mujibu wa kifungu cha 8 cha Sheria ya Madini sura ya 123,kimezitamka Leseni hizi kama...
WAZIRI MAVUNDE AZINDUA RASMI SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI PORCUPINE NORTH - CHUNYA MBEYA
▪️Ni Leseni Hodhi zilizorudi Serikalini baada ya kumalizika kesi na wawekezaji
▪️Mapato ya Serikali kuongezeka kupitia mrabaha na kodi mbalimbali
▪️ Waziri Mavunde asisitiza kuongeza utafiti zaidi ili...
Waziri wa Madini Anthony Mavunde amezindua rasmi shughuli za uchimbaji madini katika mgodi wa Porcupine North- uliopo Makongorosi Wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya unaomilikiwa na Kampuni ya Shanta Gold Mining Limited na kusema kuwa hatua hiyo ni matunda ya uamuzi wa Serikali kurudisha leseni ya...
Wakuu,
Marekani hivi karibuni imetangaza kwamba iko tayari kw mazungumzo kufuatia ofa ya Rais wa Congo Felix Tshekedi la kuipa Marekani madini mbalimbli ili Marekani iweze kuisadia Congo kupambana na kundi la M23
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, nchi yenye utajiri wa madini kama cobalt...
Kampuni ya Barrick Gold Corporation imetangaza kuanza hatua ya usitishaji wa shughuli zake kwa muda katika mgodi wa Loulo-Gounkoto uliopo nchini Mali.
Hatua hiyo imekuja kutokana na mvutano kati ya kampuni ya Barrick na serikali ya Mali kuhusu taratibu mpya za ugawanaji mapato yanayotokana na...
WAZIRI MAVUNDE ASIMAMISHA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MTO ZILA KIJIJI CHA IFUMBO, WILAYANI CHUNYA-MBEYA
▪️Aelekeza shughuli za uchimbaji madini kusimama kipindi hichi cha Masika kama ilivyoelekezwa na NEMC
▪️ Timu ya Wataalam kufanya tathmini kwa kina na kutoa taarifa ya athari ya Mazingira...
Kuna umuhimu mkubwa wa kuhusisha kampuni kama Barrick Gold au nyingine za uchimbaji madini ambazo zina vifaa vya kisasa na utaalam wa kushughulikia shughuli za kufukua vifusi kwa haraka na kwa usalama. Kampuni kama hizi zina vifaa na uzoefu unaoweza kuwa msaada mkubwa, hasa katika hali kama hii...
Burkina Faso inapanga kufuta leseni za uchimbaji madini kutoka kwa baadhi ya makampuni ya kigeni na itatafuta kuzalisha dhahabu yake zaidi, alisema kiongozi wa junta Ibrahim Traore siku ya Jumamosi, bila kubainisha ni leseni zipi zinaweza kufutwa.
"Tunajua jinsi ya kuchimba dhahabu yetu na...
Beberu USA amekusudia kupambana na China katika umiliki wa Madini mkakati yaani critical minerals Kwa kuunganisha Bandari za Dar na Lobito Kupitia kuunganisha reli za Tazara na Benguela.
Huku Marekani ikiimarisha uhusiano na Tanzania, mipango ya kujenga miundombinu kando ya ukanda wa reli ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.