Wakuu,
Chawa nao hufa banaaa! Nacheka lakini naogopa (kwa sauti ya Bambo). Mmeua halafu mnataka mtamalaki?
Mi nawaletea TBT tu Wakuu wangu, team chawa tuje na povu kwa step nguo zangu zote ziweze kufuliwa vizuri😌😌.
Tunamshukuru Rais Samia kwa kuongoza vizuri kuagwa kwa Lukuvi, jina la bwana...
Ukitaka kujua tunawakilishwa na wachumia tumbo waliojaa unga kichwani, subiri Rais Samia akiamka vizuri na kukemea vitendo vya utekaji na kuagiza vyombo vya usalama vinawakamata wanaotekeleza vitendo hivyo uone jinsi sinema itakavyobadilika.
Kila mbunge, waziri, kiongozi wa CCM, na chawa...
Wakuu nilipokuwa mdogo nilikuwa nawaona wabunge ni watu wa maana sana, wenye akili sana ambao mpaka wanafika bungeni basi ni vichwa kwelikweli, kuanzia darasani hadi kwenye ufahamu kwa ujumla na uwezo wao wa kupembua mambo.
Aisee, kumbe hata kenge wanaweza kuwa wabunge si kwa uwezo wao wa...
Wakuu,
Ndio maana uchawa umeongezeka kwenye vyombo vya habari sababu wameahidiwa viti vitaoatikana kwa udi na uvumba?
Maana Baba Levo kwenda kuwania ubunge kwenye jimbo analohombea Zitto its insane! Kwa kujipima hawezi kwenda kule kama hajaambiwa ama apeleke shida tu kuna kitu wanatengeneza...
Wakuu,
Chawa mnamharibia mama:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh: nyie si wa kumshusha hadhi Rais Samia namna hii. Yaani toka apewe tuzo ya comedy ni huzuni, sasa anatembea na lebo hiyo kwenye kila anachofanya!
Safari hii mama kaingia kwenye mfumo😂🤣, chawa wanazidi kuchochea moto azidi kuonekana...
Wakuu,
Taratibu mwanga unaanza kuonekana! Chawa wanatagiwa kupigwa vita pande zote, yaani vijana baada ya kuwa mstari wa mbele kuokoa taifa ndio tunakuwa wa kwanza kuzamisha meli!
#PigaVitaUchawa #KataaUchawa
===
Mwenyekiti wa chama cha ADC Shabani Itutu amesema;
Wasanii na wanafuzi wa vyuo...
Mama, Labda pengine wengine wanakuogopa. Au tuseme wanashindwa kukufikishia ujumbe. Lakini mimi, kwa unyenyekevu kabisa, nimeona kupitia safu hii niwe nakupenyezea yale ambayo yanasemwa huku mtaani lakini wasaidizi wako hawakufikishii ipasavyo.
Mama, kabla sijatiririka mengi kwanza nianze na...
Wakuu,
Huu uchawa nyie🤣🤣😂 hivi Samia ashtuki kufanywa kituko kama hivi jamani? Chawa wanazidi kumharibia maskini, soon atakimbia akiwa anabubujikwa machozi ya huzuni.
Imagine jinsi Marais wenzake watakuwa wanakufa mbavu kwa haya yanayotokea huku:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:.
Kupata...
Wakuu Habari ya Jumapili...
Niende moja kwa moja kwenye mada,miaka ya karibuni kumezuka mtindo mpya wa maisha ya kusifia watu Mbele ya camera na kupewa pesa,wenyewe machawa wanaita "kuokota".
Vijana wengi wamekua wakidhani hayo ni maisha halisi bila kujua scene nyingi ni maigizo,matangazo au...
Kumeibuka tabia ya aibu, tabia ya kishenzi kwenye jamii ya vijana wa Kitanzania. Vijana wamekuwa kama walemavu, wameamua kutumia mitandao ya kijamii kusifia wanadamu wenzao ambao huwapa unga na mboga. Ni aibu.
Lakini ni tofauti na vijana hawa, huwezi kuona kwenye video zao wakimsifia mtu. Hilo...
Wadau wengi kwenye Sherehe za Kuzima Mwenge wameshangazwa na Walioitwa Bodaboda kujitokeza hadharani kwa kile kilichotajwa kama kumshukuru Rais.
Utata umekuja baada ya Maofisa hao wa Usafirishaji kushindwa kusema wanamshukuru Rais kwa jambo lipi, Yaani wanashukuru bila hata kujua...
Chawa ni zaidi ya mpambe.
Napenda kuzungumzia hawa chawa wa kiume, kuanzia kwenye siasa, music industry hata mtaani.
Chawa wanapenda lifestyle la wanaume wenzao wenye pesa, ili kuweza na yeye kufika pale na aishi yale maisha atatengeneza ukaribu na boss ili kumfurahisha kwa maneno ama vitendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.