uchawa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    PreGE2025 Rais Samia akigeuza gia angani na kukemea kuhusu utekaji utaona vile kenge watavyogeuka kuwa wakemeaji! Uchawa uliokomaa!

    Ukitaka kujua tunawakilishwa na wachumia tumbo waliojaa unga kichwani, subiri Rais Samia akiamka vizuri na kukemea vitendo vya utekaji na kuagiza vyombo vya usalama vinawakamata wanaotekeleza vitendo hivyo uone jinsi sinema itakavyobadilika. Kila mbunge, waziri, kiongozi wa CCM, na chawa...
  2. P

    PreGE2025 Zamani nilikuwa najua mpaka mtu awe mbunge anatakiwa awe na akili sana, lakini kumbe hata kenge wanaweza kuwa wabunge

    Wakuu nilipokuwa mdogo nilikuwa nawaona wabunge ni watu wa maana sana, wenye akili sana ambao mpaka wanafika bungeni basi ni vichwa kwelikweli, kuanzia darasani hadi kwenye ufahamu kwa ujumla na uwezo wao wa kupembua mambo. Aisee, kumbe hata kenge wanaweza kuwa wabunge si kwa uwezo wao wa...
  3. Cute Wife

    PreGE2025 Waandishi wa Habari Kikeke, Baruani Muhuza na Shaffih watajwa kuwania ubunge 2025, ndio maana uchawa umepamba moto kwenye vyombo hivyo?

    Wakuu, Ndio maana uchawa umeongezeka kwenye vyombo vya habari sababu wameahidiwa viti vitaoatikana kwa udi na uvumba? Maana Baba Levo kwenda kuwania ubunge kwenye jimbo analohombea Zitto its insane! Kwa kujipima hawezi kwenda kule kama hajaambiwa ama apeleke shida tu kuna kitu wanatengeneza...
  4. Cute Wife

    PreGE2025 Samia amekwisha toka wampe Tuzo ya Comedy. Mafufu asema Rais Samia ni muigizaji namba moja!

    Wakuu, Chawa mnamharibia mama:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh: nyie si wa kumshusha hadhi Rais Samia namna hii. Yaani toka apewe tuzo ya comedy ni huzuni, sasa anatembea na lebo hiyo kwenye kila anachofanya! Safari hii mama kaingia kwenye mfumo😂🤣, chawa wanazidi kuchochea moto azidi kuonekana...
  5. Cute Wife

    PreGE2025 Mwenyekiti ADC: CCM acheni kuwafanya Wasanii na Wanafunzi Vyuo Vikuu kuwa wasemaji wa chama

    Wakuu, Taratibu mwanga unaanza kuonekana! Chawa wanatagiwa kupigwa vita pande zote, yaani vijana baada ya kuwa mstari wa mbele kuokoa taifa ndio tunakuwa wa kwanza kuzamisha meli! #PigaVitaUchawa #KataaUchawa === Mwenyekiti wa chama cha ADC Shabani Itutu amesema; Wasanii na wanafuzi wa vyuo...
  6. K

    PreGE2025 Rais Samia hawa chawa wa nini?

    Mama, Labda pengine wengine wanakuogopa. Au tuseme wanashindwa kukufikishia ujumbe. Lakini mimi, kwa unyenyekevu kabisa, nimeona kupitia safu hii niwe nakupenyezea yale ambayo yanasemwa huku mtaani lakini wasaidizi wako hawakufikishii ipasavyo. Mama, kabla sijatiririka mengi kwanza nianze na...
  7. Cute Wife

    PreGE2025 Baada ya kumuweka kwenye bango la comedy Rais Samia awekwa kwenye bango la Valentine's. Chawa wanampoza baada ya kuumudhi

    Wakuu, Huu uchawa nyie🤣🤣😂 hivi Samia ashtuki kufanywa kituko kama hivi jamani? Chawa wanazidi kumharibia maskini, soon atakimbia akiwa anabubujikwa machozi ya huzuni. Imagine jinsi Marais wenzake watakuwa wanakufa mbavu kwa haya yanayotokea huku:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:. Kupata...
  8. Sheikh23

    Uchawa na kutafuta trending mitandaoni kutaua elimu yetu

    Wakuu Habari ya Jumapili... Niende moja kwa moja kwenye mada,miaka ya karibuni kumezuka mtindo mpya wa maisha ya kusifia watu Mbele ya camera na kupewa pesa,wenyewe machawa wanaita "kuokota". Vijana wengi wamekua wakidhani hayo ni maisha halisi bila kujua scene nyingi ni maigizo,matangazo au...
  9. Samia atosha tukutane2030

    Wachokonozi ndiyo vijana pekee Tanzania waliokataa kazi ya uchawa

    Kumeibuka tabia ya aibu, tabia ya kishenzi kwenye jamii ya vijana wa Kitanzania. Vijana wamekuwa kama walemavu, wameamua kutumia mitandao ya kijamii kusifia wanadamu wenzao ambao huwapa unga na mboga. Ni aibu. Lakini ni tofauti na vijana hawa, huwezi kuona kwenye video zao wakimsifia mtu. Hilo...
  10. Erythrocyte

    PreGE2025 LGE2024 Wadau washangazwa na Boda boda Mwanza kumshukuru Rais Samia katika Jambo lisilojulikana

    Wadau wengi kwenye Sherehe za Kuzima Mwenge wameshangazwa na Walioitwa Bodaboda kujitokeza hadharani kwa kile kilichotajwa kama kumshukuru Rais. Utata umekuja baada ya Maofisa hao wa Usafirishaji kushindwa kusema wanamshukuru Rais kwa jambo lipi, Yaani wanashukuru bila hata kujua...
  11. 100 others

    Kijana wa kiume unakuwaje chawa? Kuna shida mahala

    Chawa ni zaidi ya mpambe. Napenda kuzungumzia hawa chawa wa kiume, kuanzia kwenye siasa, music industry hata mtaani. Chawa wanapenda lifestyle la wanaume wenzao wenye pesa, ili kuweza na yeye kufika pale na aishi yale maisha atatengeneza ukaribu na boss ili kumfurahisha kwa maneno ama vitendo...
Back
Top Bottom