uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. B

    PreGE2025 Kishoa: Hakuna mtu wa kuweza kuzuia uchaguzi, uchaguzi utakuwepo

    Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi...
  2. PreGE2025 John Mrema: Kuzuia uchaguzi kutamwaga damu, sisi tunaotaka kugombea tunaepusha vijana wetu kuumia wakati wa kuzuia uchaguzi

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Itikadi,Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni mmoja wa waasisi wa kundi la G-55 ndani ya CHADEMA John Mrema, amewataka Watanzania na viongozi wa kisiasa kuwa na tafakuri ya kina kuhusu namna bora ya kushiriki mchakato wa...
  3. Z

    Tamko lililo tolewa na G55 ni dalili tosha kuwa Lissu na wenzake hawata weza tena kuiongoza CHADEMA

    Tamko lililo tolewa na G55 Chini ya Mwamba John Mrema ni dalili tosha kuwa Lisu na genge lake hawata weza tena kuiongoza Chadema, dhambi ya njama za kumpidua Mhe. Mbowe wakati akiwa gerezani itawateteza na kusambaratika. Kilicho baki sasa ni kugawana mbao, maana walio kijenga Chadema...
  4. Kituko cha John Mrema: Adai Kuwa Kwenye Nakala ya Waraka Rasmi wa Chadema Aliyo Nayo Maneno "No Election" Hayamaanishi "Hakuna Uchaguzi"

    John Mrema Mkutano wa John Mrema wa Chadema na waandishi wa habari leo umefichua mengi kuhusu dhamira yake na wanaomtuma. Anasema kuwa wao hawapingi msimamo rasmi wa chama kwa kuwa kwenye waraka rasmi wa Chadema alio nao maneno NO ELECTION hayamaanishi HAKUNA UCHAGUZI. Anachomaanisha ni...
  5. PreGE2025 John Mrema: Kuzuia uchaguzi ni kufanya Jinai, njia ya No Election si sahihi

    Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA John Mrema amesema iwapo chama hicho kitatekeleza mpango wake wa kuzuia uchaguzi bila kushirikia itakuwa ni sawa na kufanya jinai. Mrema amesema hayo leo April 06, 2025 akizungumza na wanahabari juu ya waraka...
  6. Kwanini TFF inashinikiza uchaguzi Wa viongozi wa soka Mbeya?

    MBEYA KUMENOGA HASWAAA Leo ndiyo ile siku ambayo uchaguzi wa chama Cha soka mkoa wa Mbeya ulitakiwa kufanyika. Asubuhi majira ya saa tatu kulitakiwa kuwa na kikao Cha kamati Tendaji lakini baadhi ya wajumbe ambao wako upande wa Elias Mwanjala wakagoma kuingia Kwenye kikao hicho Cha kamati...
  7. PreGE2025 John Mrema: G55 Tunajipanga na kampeni za uchaguzi

    "G55 haimaanishi tupo 55 tu, imetumika kama alama ya kuwakilisha kundi hili ambalo liliundwa baada ya Katibu Mkuu kualika wagombea wa mwaka 2020 na waliotia nia mwaka huu, baadaye tuliunda kundi la WhatsApp na hivyo ndivyo kundi hili lilivyoundwa , na kwenye kundi letu la G55 tuna wajumbe wengi...
  8. Mbeya: Wajumbe Fake wampitisha Elias Mwanjala kuwa Mwenyekiti MREFA

    Leo ndiyo ile siku ambayo uchaguzi wa chama Cha soka mkoa wa Mbeya ulitakiwa kufanyika. Asubuhi majira ya saa tatu kulitakiwa kuwa na kikao Cha kamati Tendaji lakini baadhi ya wajumbe ambao wako upande wa Elias Mwanjala wakagoma kuingia Kwenye kikao hicho Cha kamati Tendaji. Baadae majira ya...
  9. Jinsi ya Kusitisha Uchaguzi Usiofuata Sheria na Kuhakikisha Mshindi Halali Anatangazwa

    Jinsi ya Kusitisha Uchaguzi Usiofuata Sheria na Kuhakikisha Mshindi Halali Anatangazwa: Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Ibara ya 21(1), inasema Hapa https://www.nps.go.tz/uploads/documents/sw-1708320157-KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977 (1).pdf ...
  10. PreGE2025 Mwenyekiti BAWACHA: Akina mama tuungane kudai mabadiliko ya sheria za uchaguzi 'No Reforms, No Election'

    Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Sharifa Suleiman, amewasisitiza Wanawake nchini kuungana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kudai mabadiliko na kutoshiriki kwenye uchaguzi mpaka pale mabadiliko ya kweli yatakapofanyika. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  11. Chadema: Makosa ya Kisayansi ,kufanya uchaguzi wa ndani,badala ya kujiandaa kwa uchaguzi mkuu, kinachosababisha Changamoto Kubwa kwa Chama

    Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ni muhimu kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutazama kwa makini makosa yaliyofanywa ambayo yanaweza kupelekea chama kusambaratika au hata kufa kabisa. Hapa, nitajaribu kubainisha makosa hayo na kutoa mapendekezo ya marekebisho...
  12. NDUGU MWANACHADEMA, UNACHAGUA KUA UPANDE WA KIDEMOKRASIA, NO REFORM NO ELECTIONS AU UPANDE WA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA OCTOBER?

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu, utata na migawanyiko imeibuka hususan ndani ya chadema. Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55, wewe ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko huu wa kidemokrasia ndani ya chadema? :NoGodNo: Mungu Ibariki Tanzania
  13. PreGE2025 Baadhi ya wananchi wamewataka wananchi wenzao kuwa makini na baadhi ya viongozi wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu

    Baadhi ya wananchi mkoani Morogoro wamewaasa wananchi wenzao kuwa makini na baadhi ya viongozi wa kisiasa ambao wanatumia mgongo wa siasa kumbe ni wanaharakati. Wakizungumza na JAMBO TV wananchi hao Ismail Rashidi, Ally Mtoela na Salumu Majaliwa wamesema kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
  14. Uchaguzi wa Mbeya kesho ni batili, TFF kuweni makini

    Chama cha soka Mkoa wa Mbeya kesho aprili 6, kinatarajia kufanya uchaguz wa kuwapata viongozi wake lakini cha ajabu kuna madudu ambayo yanaweza kusababisha maafa jambo ambalo ni muhimu kwa serikali, na wadau wengine kuingilia kati ili Haki ipatikane na mkoa uweze kuongozeka. Iko hivi, awali...
  15. A

    PreGE2025 Mwenyekiti wa Baraza la Makanisa ya Kipendekoste ataka mshikamano Tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mwenyekiti wa Barazaa la Makanisa ya Kipenteksote Mkoa wa Dar es Salaam, Mchungaji Emmanuel Mwasota amesema tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 lipo kwa ajili ya maombi ya kuombea uchaguzi huo. Mchungaji Mwasota amewataka waumini wa madhehebu yote nchini kuiombea nchi ya Tanzania, viongozi...
  16. Huruma sio malezi , safarii hii hakuna kuwahurumia Ccm kauli ni moja nchi nzima hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi

    Huruma sio malezi , safarii hii hakuna kuwahurumia Ccm kauli ni moja nchi nzima hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi
  17. K

    Tume Huru ya Uchaguzi iajiri watumishi watakaosimamia Uchaguzi Mkuu ambao siyo watumishi wa umma

    Ili uchaguzi uwe huru na haki ni vema Tume Huru ya Uchaguzi ikaajiri watumishi watakaosimamia uchaguzi mkuu 2025 ambao siyo watumkshi wa umma. Waigeni wenzenu wa nchi jirani ya Kenya ambayo Tume yao ina watumishi wa kudumu mpaka ngazi ya Kata. Kusitokee tena figisufigisu ya miaka ya 2020 na...
  18. PreGE2025 Wanaotangaza nia CHADEMA wakati kuna ajenda ya No reforms No election, inaashiria nini kuelekea uchaguzi 2025?

    Katika maeneo mengi nchini, hivi sasa joto la teuzi ndani ya vyama vya siasa kuelekea uchaguz mkuu wa October mwaka huu 2025 linaendelea kupanda taratibu, lakin ni kali mno. Vipo vyama vya siasa nchini, mathalani Chadema, eti imekusudia kutumia wanachama wake kuzuia uchaguzi huo muhimu wa...
  19. P

    Ni nini mateokeo ya chadema kutoshiriki uchaguzi mwaka huu?

    Chama kikuu cha upinzani, Chadema bado kinaendelea kusimamia ajenda yao ya No reforms, No elections ambayo ina lengo la kuitaka serikali kufanya mabadiriko kwenye sera na kanuni za uchaguzi mkuu. Vyama vya upinzani vimekuwa vikilalamikia sera ya uchaguzi kutotoa uwanja sawa kwa vyama vyote...
  20. Tunavyo vyama vingi, tusiwabembeleze chadema kushiriki uchaguzi

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Emmanuel Nchimbi amesema kuwa ni kosa la kisheria na kikatiba kukilazimisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kushiriki uchaguzi bali kiungwe mkono kwenye msimamo wao wa kutoshiriki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…