uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbona CHADEMA baada ya uchaguzi walimtenga Kibatala? Hapa wamekosea

    Mkurugenzi na mwanasheria wa chama kwa sasa hawana mvuto ndani ya nje ya chama. Licha ya mwanasheria kuwa Phd from Havard University lakini ukweli katika kesi za kisiasa haziwezi. Uwasiliwashaji wake mbele ya jamii sio mzuri Sijui kwanini walimtenga kibatala ktk uongozi wa CHADEMA Kibatala...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Kabeke akemea uchaguzi wa kihuni

    Nyinyi wanasiasa wewe ni CCM umebahatika umeshika dola haina sababu kwa kuwa wewe una dola unamuona CHADEMA na wananchi unaona ni wabaya, hii ni nchi yetu sote
  3. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CUF yasisitiza kushiriki uchaguzi, yawaalika G-55 kuchukua fomu

    Chama Cha Wananchi (CUF) kimesisitiza kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu, huku kikiwaalika makada wa Chadema waliounda kundi la G-55, kujiunga nao ili wagombee kupitia chama hicho. G55 linahusisha makada wa Chadema waliotoa waraka wakiushauri uongozi wa Chadema kushiriki uchaguzi licha ya...
  4. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama madai ya uchaguzi huru na wa haki hayatekelezeki, tunafanya uchaguzi wa nini?

    Hatimaye Serikali imekiri kwamba madai ya kuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki hayawezekani kutokana na muda uliopo kufikia tarehe ya uchaguzi yaani Oktoba 25, 2025. Mbali na wadau wengine, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimekuwa na madai ya kuwepo kwa mabadiliko ya mfumo wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siyo kwamba CCM hawajui faida ya uchaguzi huru na haki, ila wanajua wakikubali ndiyo mwanzo wao wa kutoka madarakani

    Viongozi wote wa CCM wanajua kabisa endapo watakubali uchaguzi wa Uhuru,uwazi na Haki basi watafurumushwa kutoka madarakani, kwa hiyo wanatumia propaganda kuwaaminisha baadhi ya raia wajinga kwamba Chadema wanataka kuleta machafuko Lakini it's to late kizazi cha sasa hivi siyo kile cha Nyerere...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hii kanuni ya 2.1 (h) ya maadili ya uchaguzi imekaaje.

    Wadau. Napitia kanuni za maadili zilizotolewa hivi karibuni baada ya kusainiwa na vyama 18, Tume na Serikali, nimeona kanuni ambayo kwangu inakanganya. Kanuni hii ni 2.1 kuhusu wajibu vyama.vya siasa na wagombea. Katika kipengele h ndio kuna huo mkangayiko niliona. Inasema; kuhakikisha kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama hakuna muda wa kuifanyia Tume ya Uchaguzi marekebisho UN yaweza kusaidia

    Kama hakuna muda wa kuifanyia Tue ya uchaguzi marekebisho, UN yaweza kusaidia: Utaratibu wa kufuata ili UN kuunda tume huru ya kusimamia uchaguzi katika nchi yenye kufanya uchaguzi kama sio huru na wa haki? Utangulizi: Umoja wa Mataifa (UN) hauna mamlaka ya moja kwa moja kuingilia uchaguzi wa...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Shoo: Wanaosimamia uchaguzi mkuu sikilizeni sauti za wananchi

    Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, ametoa wito kwa viongozi na mamlaka zinazohusika na uchaguzi mkuu wa mwaka huu kuhakikisha wanazingatia maoni ya wananchi pamoja na ushauri kutoka kwa viongozi wa juu na wadau mbalimbali wenye...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Dua ya kuombea (Wagombea) Uchaguzi Mkuu??

    BAKWATA wameandaa dua ya kuombea unaoitwa Uchaguzi Mkuu. Maajabu ni kwamba Wageni rasmi ni Wagombea waliopitishwa na Chama chao kugombea Oktoba 2025 (CCM)
  10. JamiiForums Tanzania Kilichohamasishwa na upinzani ni uchaguzi huru na wa haki sio vurug, tuache kugeuza mambo

    Kilichohamasishwa na watanzania ni uwepo wa uchaguzi huru na wa haki sio vurugu, sio kumteka mtu, sio kumpiga mtu haya madai ya Dkt. Mpango kuwa ni vurugu yanatoka wapi na nani aliyeyasema? Nilimsikia dkt. Mpango akihamasisha wazazi wasiwahusishe watoto kwenye vurugu, sasa uchaguzi huru na wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi: Tukumbuke duniani kuna walioendelea kwa Chama kimoja, Vyama vingi na kwa udikteta wakizalendo

    Tusije tukajisahau kudhani umasikini utaisha kwa kuwa na katiba imara yenye kuleta uwasawa wa kidemokrasia. Hii ni hatua nzuri lakini sio lazima ilete Maendeleo kama watu wetu watakuwa na akili hizihizi. Kuna pengine hii ndio imeharibu kabisa kabisa. Kuna CHINA ilikuwa masikini kwa Chama...
  12. JamiiForums Tanzania Pasaka ni Sikukuu ya Ukombozi na Ushindi Dhidi ya Dhulma, Je Tuitumie Kuombea Uchaguzi Uwe Huru na wa Haki, au Uwe Kama Kawa, Kama Alivyosema Nape?.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo ambayo ni Sikukuu ya Pasaka. Pasaka ni sikukuu ya ukombozi na ushindi dhidi ya dhambi zozote ikiwemo dhambi ya dhulma ya uchaguzi, Je tuitumie Pasaka hii kuombea uchaguzi wetu uwe uchaguzi huru kweli na wa haki kweli, au...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 TEC yasema Muda unatosha Kufanya Mabadiliko kwenye changamoto zilizojitokeza kwenye chaguzi !!!

    Baraza la Maaskofu kupitia ujumbe wao uliosomwa na Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo katoliki Lindi Mhasham Wolfgang Pisa, wameeleza kuwa changamoto zilizojitokeza zinapaswa kufanyiwa marekebisho na ikiwa wenye wajibu wa kufanya hivyo wakiwa na nia basi muda unatosha kabisa. Aidha amesisitiza...
  14. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mbolea bora msimu huu wa kilimo

    Habari wadau wa kilimo poleni na majukumu, misimu ya kilimo hii kama tunavyojua kipindi hichi kumezuka mbolea nyingi sana za makampuni tofauti tofauti za vimiminika (booster) ,na wakulimu tunazitumia na Tunaona ubora wake naomba tushare uzoefu wa booster nzuri ulioyoitumia na kuletaa matokeo...
  15. JamiiForums Tanzania Maaskofu walilia haki na uvumilivu uchaguzi mkuu

  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ubinafsi umefanya vyama vya siasa kutotumia nafasi ya kukataa kutia sahihi kanuni za uchaguzi kuwalazimisha CCM kukaa nao mezani na kubadili kanuni

    Leo hii, kama vyama vyote vya siasa vingechukua msimamo wa kukataa kutia sahihi kanuni za uchaguzi, amini nawaambieni, sasa hivi tungekuwa tunaongea mambo mengine kabisa. Vyama vya siasa havikuiona na kutambua kuwa hiyo ilikuwa nafasi ya kuilazimisha CCM kukaa nao mezani na hata kubadili kanuni...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: CCM inashinda kwa mbeleko ya dola! Atoa msimamo wa ACT Wazalendo kushiriki Uchaguzi Oktoba 2025

    Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo Ado Shaibu amesema CCM inashinda kwa mbeleko ya dola, akitoa msimamo wa ACT Wazalendo kuhusu Uchaguzi https://www.youtube.com/live/F0cmJ6K7t5E Kuhusu G-55 na Wabunge 19 "Tutawapokea, umezungumza kuhusu Kundi la G-55, mtu yeyote anayetaka kujiunga na ACT Wazalendo...
  18. JamiiForums Tanzania Biometric Voter system na wizi wa Kura? Imekaaje?

    Wapo wapinzani Wanadai kuna Kura za Mchongo. Lakini Tume HURU ya Uchaguzi inatumia mfumo Bora wa Biometric Voter System kuandikisha, kuhuisha taarifa za mpiga kura na kuhakiki taarifa hizo siku ya kupiga Kura haya yote yanafanyika ili kuhakikisha Kura zote ni halali. Tunawapongeza Tume Huru kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kampuni gani iliyopewa tenda ya vifaa vya uchaguzi ikiwemo tenda ya kuchapisha karatasi za kupiga kura?

    Ikiwa imebaki miezi mitano tu mpaka uchaguzi ufanyike bila shaka maandalizi kabambe yatakuwa yameshaanza, Je ni kampuni gani walipewa tenda ya vifaa vya uchaguzi ikiwemo karatasi za kupiga kura?
  20. JamiiForums Tanzania ACT wangesusia tu uchaguzi, Huwenda tungepata marekebishobya katiba!

    Kuna mavyama mengine yapo kimkakati nimeamini, Laiti kama ACT na CHADEMA Wangesusia uchaguzi sidhani kama CCM ingeingia uchaguzi na vile vyama hewa 16, ingekua ni aibu dunia nzima maana idadi ya wapiga kura mwaka huu ingekua ni kituko cha karne! Imagine vyama vyote vingesusia uchaguzi, CCM na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…